Тёмный

UTACHEKA: KIBWANA NA JOB WAJIANDAA KUFANYA TIZI LA KIMATAIFA/SIKIA STORI ZAO. 

Yanga TV
Подписаться 677 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@ashuramhandoashuramhando6798
Upendo wenu hata sisi shabiki zenu tunapendana hivyo tunawapenda sana natunawaombea matokeo mazuri huko Tunisia InshaAllah 💚💛🙏🙏🙏
@Queen-nx6qq
@Queen-nx6qq Год назад
Mungu awatangulie Sana Wana yanga🙏🙏🙏
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg Год назад
All the best
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Awajamaa Mabest sana hadi raha. Mungu awape nguvu mdumu ktk kazi zenu.
@halimamimarich3799
@halimamimarich3799 Год назад
ALHMDHULILLAH...ALLAH ATUJLIE UZMA N AFYA🙏🙏ALLAH AWAJLIE MUFKE SALMA🙏🙏ALLAH AWAJLIE USHINDI MKUBWA MURID NA FURAHA TANZANIA
@scopy0428
@scopy0428 Год назад
Nimeamin kama Pesa ndio inayotengeneza furaha na ndio inayovunja aman ebu check maisha wanayoisha wachezaji wa yanga had raha
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 Год назад
Kweli
@mussajabiry3891
@mussajabiry3891 Год назад
Hat kweny mausiano maish ya kawaid usipobkuw na pesa utaishia kuw msindikizaj
@semenimbwambo9324
@semenimbwambo9324 Год назад
9
@neemaisrael688
@neemaisrael688 Год назад
Vijana wa Kitanzania OG wapo vizuri.
@nickolaskasiani5469
@nickolaskasiani5469 Год назад
​@@zaudatmakula3454😊😊
@dannylinguist15
@dannylinguist15 Год назад
Aisee hiyo area Avic ni classic 🔥 🔥
@marystambuli8045
@marystambuli8045 Год назад
Ni kweli kabisa hata gym ni ya kimataifa. Haina haja ya kusumbuka Kama madunduka mpaka wafate Dubai au Misri hizi facilities.
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Год назад
Yarabi tujalie ushinde jumapili Ya allah tuongoze yarabi allah awatangulie
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
Amina
@ruqayaruqayq
@ruqayaruqayq Год назад
Amiin
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 Год назад
Aaamin
@mwelimazozo9691
@mwelimazozo9691 Год назад
Mungu atubariki ila awa watu kibwana na job noma😁😁😁
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Год назад
Uishi maisha marefu Ghalib Said Mohamed GSM🙏🙏 Uishi maisha marefu Enginear Heris Said🙏🙏
@ruqayaruqayq
@ruqayaruqayq Год назад
Yahayu yaa qayyum birahmat tukadirie USHINDI mnono tareh12 mwez wa 2 amiin
@kennymandita547
@kennymandita547 Год назад
Nimefurahi sanaaa Kumwona Dickson Job yupo vizuri huyo mwmba akiwa kiwanjani Mimi naamani hapana shakaa kwakweli tunamwombea sanaaa huyo Nguzo yetu Wana Yanga wote
@i_am_rolemodel_
@i_am_rolemodel_ Год назад
Wewe kama mimi tu. Hata nisipoangalia game, nikimuina Job kwenye squad basi furaha yangu tu inatosha
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Safi sana wanakwetu....tupo pamoja nanyi...YANGA AFRIKA for LIFE...!
@jannathasnani3548
@jannathasnani3548 Год назад
اس الك الله فوز الكبير في هاذه المتنافس ان شا الله🤲🤲
@aminakunja277
@aminakunja277 Год назад
Nampenda sana musonda yuko hapy
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 Год назад
Mwenyezi Mungu awajalie uzima ushindi muhimu tunawapenda Sana daima mbele nyuma mwiko
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 Год назад
Job na kimbwana nawapenda sana jisimnavo ishi mendele ivo ivo
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
🤣🤣🤣🤣umemsaau nkane
@fra_nyuki
@fra_nyuki Год назад
Amazing Duo... Safi sana hii kitu
@gracegofrey4677
@gracegofrey4677 Год назад
Wananchi tuko nyuma yenu kuwaombea dua kila ka kheri mkafanye vizuri kwa ushirikiano kwa wachezaji wote mkapambane kwa umoja kupigania nembo ya club 🙏🙏🙏🙏🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Год назад
So fun, good coverage and good content...muda siyo mrefu wanaanza kuleta matangazo...
@mgenikhalfan7471
@mgenikhalfan7471 Год назад
Mungu ibariki yanga wabariki viongoz na wachezaji wote na madakitar wote mungu atawalipa inshaallah mutapata ushind
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Год назад
Huuu ni ubunifu mzuri saaana ambao mnasababisha TV iangaliwe na wengi
@amiduchipalu8649
@amiduchipalu8649 Год назад
Hamidu chipalu nashukuru sana kuwaona hawa wko vizuri mungu awafanyie wepesi
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Год назад
In shallah nawatakia safari njema
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Год назад
Tunawaombea sana,,nawapenda kibwana job pià
@rizmarkabraham3921
@rizmarkabraham3921 Год назад
Hongereni vijana
@lama6310
@lama6310 Год назад
Mbna Mamadou dumbia kama Beki mkatilii😂😂😂Yani kabunda hatar
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Год назад
Nawapenda sanaaaaa,wananch wenzang yanga...yangu
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 Год назад
Jamn tulitamani tuendelee kuanglia 🔥💛🔥💛💚💚 ila Yanga raha San,,Alwatan utuongee dakika ya leo raha San,,Msonda mwepes amejua kiswahili haraka
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 Год назад
Jamn chifu kingalo bado anausingzi🤣🤣🤣🤣
@noonnoon9476
@noonnoon9476 Год назад
Awawatu nawapendaga sana haswa wakiwa wanawahoji huwa najiskiya furaha
@simonthomas7969
@simonthomas7969 Год назад
Hawa jamaa wanaweza
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 Год назад
Yanga Raha Sana 💚💚
@maikokapelo5508
@maikokapelo5508 Год назад
Nakubari.yanga.tamuuuu
@hellenpaschal-ye6ow
@hellenpaschal-ye6ow Год назад
Nawapenda jaman Hawa kama mapacha💛💚💛💛💚💚
@rashidkhamisjuma3714
@rashidkhamisjuma3714 Год назад
Eh huyu dumbia yupo au hii video ya mwaka jana
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
Yanga Raha nyie
@davidiccasmir288
@davidiccasmir288 Год назад
All the best!!!
@habibahmuhammed3534
@habibahmuhammed3534 Год назад
😂😂😂 napendaga kumuona musonda anaonekana ana vituko kama Aziz na morisson
@shabanimrisho8260
@shabanimrisho8260 Год назад
Waruguru wetu Wana tabu hawaa😂😂😂💚💚💛💚💛💛
@malugumabula5075
@malugumabula5075 Год назад
Kiukwel jaman wachezaji wayanga wanarah sana
@mariamkisra5966
@mariamkisra5966 Год назад
Safi sana 💚🔰
@GIFT37tv
@GIFT37tv Год назад
Chif kingalo
@queenjuma5322
@queenjuma5322 Год назад
Wananchiiiii 💚💚💚💛💛💛
@alfredbowa9677
@alfredbowa9677 Год назад
Safi nimependa ubunifu
@idemo4680
@idemo4680 Год назад
TV bora kabisa kwa sasa.
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Wana nifurahishaga waki anzaga kuzinguwana😀
@skorahmgala8736
@skorahmgala8736 Год назад
Tutaomba na kufunga mungu atatusaidia tutapata ushindi
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 Год назад
Nmependa huu ubunifu wake alwatan
@farajamtalemwa9336
@farajamtalemwa9336 Год назад
dah inafraisha sana
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Год назад
Angalieni high balls asilimia 90 ya mabaa ya usm ni high balls
@aminakunja277
@aminakunja277 Год назад
Musonda yuko happy tu
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@idemo4680
@idemo4680 Год назад
Hawa jamaa nawakubali wapo kama pembe na senga😂😂
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kiatu.....
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
🤣🤣🤣yeye mwenyeji
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Год назад
Kibwana bado anausingiz
@AllyASalum
@AllyASalum Год назад
Next time usichukue tena videos mpaka wahusika wafyeke nyasi hizo. Sio poa kabisa yani.😓
@verosteve3612
@verosteve3612 Год назад
💚💚💚
@scholasticadotto5993
@scholasticadotto5993 Год назад
💚🖤💛🔰tunawapenda wafuti media 😂
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 Год назад
Upande wa pili huwakuti wakiwa na furaha kama hivi🤣🤣🤣🤣💚🔰🔰
@brathonisanga8391
@brathonisanga8391 Год назад
achana na faraha wambie waposti tu kambi yao😂😂😂😂
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 Год назад
@@brathonisanga8391 🤣🤣🤣🤣
@simonjoseph2698
@simonjoseph2698 Год назад
💚💛
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Год назад
💚💛💚💛💚💛💛
@siaramadhan4707
@siaramadhan4707 Год назад
So funny
@ridhiwanijuma5743
@ridhiwanijuma5743 Год назад
Huyu alwatan aliyemleta yanga moja kwa moja peponi kwenye hii nchi huwezi pata kijana mwenye akili nyingi Kama alwaatan abla aziz
@ErickDionizius-vt5ky
@ErickDionizius-vt5ky Год назад
Mazoezi kibao
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 Год назад
Kibwana flana imekuzid kila saa unaivuta
@nailaidd9591
@nailaidd9591 Год назад
Alafu nyinyi ni mahandsome boy ila job hb zaid kwa sababu mweusi
@joharishabani2048
@joharishabani2048 Год назад
💚💛💚💛🔰🔰
@mwasa_tv
@mwasa_tv Год назад
dar fraha sana yaan
@zainabmikidad791
@zainabmikidad791 Год назад
Mamadou kapoa huyo au hajazoea mazingira 🤣🤣
@rauliagift8997
@rauliagift8997 Год назад
Mpk tunamsahsu
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 Год назад
😁😁😁😁 kuna mtu anajua kifaransa ila shida ni ulimiii
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 Год назад
Cc Ndio yanga
@farlykunga8599
@farlykunga8599 Год назад
Awa mabwege ujue wanakula sana bata ,,an bac tu
@moviekaa
@moviekaa Год назад
🤣🤣🤣🤣maswali ya kihuni na wanajibu kihuni 🤣🤣🤣
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Год назад
GSM PEPONI MOJA KWA MOJA
@shaibuomary4936
@shaibuomary4936 Год назад
Jobu ninoma Sana beki mtuku2 yanga tamu😄😄😄
@siaramadhan4707
@siaramadhan4707 Год назад
Hawa jamaa bana
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Год назад
kwani munaondoka lini
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
Leo jumanne.
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Год назад
@@maryamtan682 shukran🙏🙏🙏
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
Leo wapo njiani wanaelekea airport
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 Год назад
Ila job
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 Год назад
Oa uyo doumbia yuko siriaziiiiii mpk alwatan kaogopa
@rehemaabdullah7606
@rehemaabdullah7606 Год назад
Bek unatakiwa uwe Serious mpaka mpinzan akuongope😂😂😂
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Год назад
💚💛😂
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38
MINECRAFT CREPPER EXPLODES SHARK PUPPET!
00:15
Просмотров 8 млн
Школьник угомонил бандита!
01:00
TASTE OF LUXURY: PACOME ASEMA KIBWANA ANAMATATIZO
3:43
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
Просмотров 73 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38