Тёмный

UTACHEKA UFE MANENO YA MWAKATOBE, NIMEJIPATA, KICHECHE NI MCHUMBA TUU 

Подписаться
Просмотров 88 тыс.
% 1 380

Опубликовано:

 

25 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 142   
@JinAzzy
@JinAzzy 7 месяцев назад
Big boss uliuwa sana ndonilipo kujulia mwakatobe kaz nzur
@CatherineJohnson-y2h
@CatherineJohnson-y2h 4 месяца назад
Nampenda mwakatobe hajiskii pia Hana dharau❤❤❤❤
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 8 месяцев назад
Mwakatobe sanamu yangu, ni mkubwa sana, nampenda tangu DRC 🇨🇩
@DorothyCheti-n7i
@DorothyCheti-n7i 8 месяцев назад
I love mwakatobe,s acting
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 8 месяцев назад
Nampenda saana uyu kaka ❤❤❤❤❤❤🎉anajua mpka anajua tena
@djhajiztz
@djhajiztz 8 месяцев назад
mwakatobe sijawai kukupinga❤
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 8 месяцев назад
Clam awe blessed .. he has raised huyu jamaa
@luwalindembo4835
@luwalindembo4835 8 месяцев назад
Mwakatobe pls usimpake dawa mtangazaji wetu😂😂😂😂😂
@mchabonde370
@mchabonde370 8 месяцев назад
Mwakatobe upo vizuri Big up broo
@HalfaniMalki-cy7lr
@HalfaniMalki-cy7lr 8 месяцев назад
Sarut sana team mwaka Tobe hunabaya brother
@NgaboMoise-od5lx
@NgaboMoise-od5lx 8 месяцев назад
mwakatobe ni bora kuliko kicheche hadi United State
@Tomdaktari
@Tomdaktari 8 месяцев назад
Mwakatobe hana mfananisho❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@babajuma2500
@babajuma2500 8 месяцев назад
Mwakatobe yupo juu movie zake zaeleweka na kicheche ni venye tulimuona wakwanza but mwakatobe uko peke yko uganga na uchawi ndio your style
@eggysulle7988
@eggysulle7988 8 месяцев назад
Kicheche n yupi
@mrh2812
@mrh2812 8 месяцев назад
Mwakatobe yupo vizuri zaid😊
@LovermanFunny-v1q
@LovermanFunny-v1q 8 месяцев назад
Nampenda sana huu dada kbx
@juniorsamuelsamuel1224
@juniorsamuelsamuel1224 8 месяцев назад
Shida yenu mnapenda sana kujisifia badala ya kusifiwa na sisi watazamaji,KICHECHE ni moto mwingine kabisaaaaaa
@Ecamaenda
@Ecamaenda 8 месяцев назад
Hivo umehona huyo jamaaa amejisifu
@Rapdoscomos
@Rapdoscomos 8 месяцев назад
Clam Vevo ni mkali❤
@djhajiztz
@djhajiztz 8 месяцев назад
jamaa anaongea point
@KIJUKUUCHAHILALI
@KIJUKUUCHAHILALI 8 месяцев назад
Sijaona mwakatobe kujisifia Bali mwandishi tu anamsukuma huko
@KIJUKUUCHAHILALI
@KIJUKUUCHAHILALI 8 месяцев назад
Mtangazaji unauliza propaganda za bifu kuwa inakuza Sanaa halikuwa nyie waandishi ndo chanzo Kwa kuuliza maswali ya uchochezi
@DottoMartine-t8t
@DottoMartine-t8t 8 месяцев назад
Nakupenda
@PeterPetersay
@PeterPetersay 5 месяцев назад
Mwakatobe namukubari sana huu ni wakati wake wakutaba
@PeterPetersay
@PeterPetersay 4 месяца назад
Mwakatobe namukabiri sana kwenye nyama ya mwanangu anachekesha sana
@sabrahally3797
@sabrahally3797 8 месяцев назад
Mwakatobe ni moto ni moto moto wa kuangukia mbali... Jmn muangalieni kwenye big boss huyu babah
@abuumussa2390
@abuumussa2390 8 месяцев назад
Mwakatobe anafaa sana akiigiza kwenye vipande va uchawi
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 8 месяцев назад
Your doing well mwakatobe kazi nzuri keep going
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Wanakudanganyaa brooo .una njaaa sana tunakujua usiwaponde wenzio Tafuta pesa
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 8 месяцев назад
Mwakatobe Yuko vizuri Tena TU,ila kicheche Kwa kweli ni moto,bana wewe,kicheche mweke Kwa Steve na clam sio mwakatobe
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 8 месяцев назад
Acha kumfananisha clam na vitu vya ovyo bhna😂
@JohnBaraza-xd9er
@JohnBaraza-xd9er 8 месяцев назад
Acha mungu awe nao
@JohnBaraza-xd9er
@JohnBaraza-xd9er 8 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jSJ0bOVfXKc.htmlsi=26Hm5nzxBm8yCYWF
@Lulualshagri
@Lulualshagri 4 месяца назад
Kicheche matusi mengi​@@rajabushedafa6397
@JUMAJUMAMAGUZU
@JUMAJUMAMAGUZU 4 месяца назад
Nakubali Sana bg❤❤❤❤❤❤❤❤
@E.JAyboyMwaibambe
@E.JAyboyMwaibambe 8 месяцев назад
Mwakatobe is the Best❤❤❤❤❤😅😅😅
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 7 месяцев назад
Mwakatobe yupo juu na istoshe hayupo kwenye siri yasi na mwajatobe yupo siriyasi
@timothykaiza327
@timothykaiza327 8 месяцев назад
Lichawi la taifa letu 😂😂
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
Mwakatobe anafika mbali
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 4 месяца назад
Makatobe ni hatari 🙌
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
Mwakatobe yupo juu
@PascalChales-r7o
@PascalChales-r7o 8 месяцев назад
Mwakatobe noma sana tuache utan na wivu
@ZekySuleimanAus
@ZekySuleimanAus 3 месяца назад
Wakatobe htli jmn❤❤❤
@FaridaUmary
@FaridaUmary Месяц назад
Nakukubali sana mwakatobe
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 8 месяцев назад
Safi kaka unapambana kwakwel
@ibrayomapenzi7048
@ibrayomapenzi7048 7 месяцев назад
Mwakatobee nakukubaliii
@SamuelNtibeshya-o6w
@SamuelNtibeshya-o6w 7 месяцев назад
Kaza utaminywa😂
@maryanomar119
@maryanomar119 4 месяца назад
Napenda unavyo igiza mwanga tobe napenda ulivyo cheza nyama ya mwangu nimependa
@OskarNjumbo-ml6dr
@OskarNjumbo-ml6dr 8 месяцев назад
Afu mwakatobe we jisifie tuu kwasababu ayo nimatunda Yako chukua maua yako na ata anae kuchukia akiangalia tuu action Yako anacheka automatic 🎉🎉🎉
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 8 месяцев назад
Kweli kabisa
@NicodemusSimiyu-lg2ny
@NicodemusSimiyu-lg2ny 8 месяцев назад
Mwakatobe ulibarikiwa Na Sauti ya ugangaugangaaaaa😂😂
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@kibwanakhamisi5604
@kibwanakhamisi5604 8 месяцев назад
Mbona waandishi mnaulizaga sana maswali yakutengeza ugomvi baina ya wasanii? Waandishi waandishi waandishi pliz up ur game
@Queenrinna98
@Queenrinna98 8 месяцев назад
❤❤❤
@emmanuelsichula7117
@emmanuelsichula7117 8 месяцев назад
Weee kicheche level nyingine wew
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 месяцев назад
Kabra hajajakwa cram vevo nirikuwa simujuwi apa namujuwa kupitia kwa cram vevo vevo ni simba
@shazilnamkoko-jx4fp
@shazilnamkoko-jx4fp 7 месяцев назад
Napenda unavyochakesha,ila punguza majigambo na kuponda wengine inakuaribia c.v,pia punguza zuchu nyingi....huwa zinakinai..
@SaidhajiMwaruka
@SaidhajiMwaruka 4 месяца назад
Chekexha ww bac km unaona unajua xn.ww kwel mxhamba 7bu Kila mchekexhaj ana style yak
@AmaniRazalo
@AmaniRazalo 8 месяцев назад
Ukweli mwakatobe yuko vizuri kwa sababu ni mbunifu zaidi maana ukweli hana maneno mengi ya kuchekesha kama kicheche lakini bado mwakatobe yuko vizuri na nimbunifu sio kama kicheche kila move anatoa lazima aseme umbwa Mimi au pumbavu zangu sasa kiukweli wengine tumesha zichoka tayari
@austinowiti5693
@austinowiti5693 4 месяца назад
Kila msaani ni mzuri kivyake
@MussaNkombanira
@MussaNkombanira 8 месяцев назад
Punguzeni sifa mwakatobe
@Nathanielmwangemi
@Nathanielmwangemi 8 месяцев назад
😂😂😂
@HaznaLuhanjo
@HaznaLuhanjo 8 месяцев назад
Alafu mm nilimusahau nimeshazoea kumuona na magauni ya kichawii😂
@bakariomari8758
@bakariomari8758 8 месяцев назад
😂😂😂
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 8 месяцев назад
Mimi nawakubali wote ila mwaka tobe juu zaidi
@Dannymwaki
@Dannymwaki 7 месяцев назад
hataree huyoo
@ImaniZawadi-mo2qz
@ImaniZawadi-mo2qz 5 месяцев назад
Kicheche anajua Ila mwakatobe anajua zaidi
@Spagles
@Spagles 8 месяцев назад
Ili jitu linachekesha 😂😂liacheni tu mchumba tuuu
@Harryking001
@Harryking001 8 месяцев назад
Mtangazaji wewe zuchu tu😂😂😂😂 acha maswali ya kupiganisha
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 7 месяцев назад
Kicheche toka aanze kujitia mahabuba amekuwa hana jipya
@barthbrazak
@barthbrazak 8 месяцев назад
Well ❤🇨🇩🇨🇩
@OmarAssira
@OmarAssira 8 месяцев назад
Kwanini nyinyi mnajisifu wenyewe badala ya kusifiwa
@Rapdoscomos
@Rapdoscomos 8 месяцев назад
Kwani uyo jama amejisifia wapi? Acheni uchoga🙄🙄🙄😒
@issapere8283
@issapere8283 7 месяцев назад
Jamaa mtu sana
@YonafikaNehemia
@YonafikaNehemia 8 месяцев назад
Huyu jamaa anajua ila Asifananishwe na kicheche Huyu jamaa mwakatobe ndo anajitafuta
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 8 месяцев назад
Kila mtu Ana uzuri wake na kipaji chake kicheche ni mzuri ila hawezi kuwa mwakatobe kwenye nafasi ya uganga kicheche hatoboi
@christopherrimba2276
@christopherrimba2276 8 месяцев назад
Jambaz wa kula ice cream hii kiboko mwakatobe
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 месяцев назад
Kazoea vilingeni hakuna vitamu leo kaviona hawezi viacha😂😂😂😂
@MonicaBenson-k2b
@MonicaBenson-k2b 8 месяцев назад
Mchumbaaa tuuuu❤😂😂
@NYOTAWAMCHONGOTV
@NYOTAWAMCHONGOTV 8 месяцев назад
Mayomayo yeeeee
@faithmwende-o8t
@faithmwende-o8t 8 месяцев назад
Snake boy uliua bro
@Lulualshagri
@Lulualshagri 4 месяца назад
Chogo ka mwiko 😂😂😂
@JosephAmos-pz9en
@JosephAmos-pz9en 7 месяцев назад
Mwakatombe chefuu
@Mukomariboy
@Mukomariboy 8 месяцев назад
Ako sawaa akiigiza Kwa uchawi sanaaaaa
@hakimuyusuph966
@hakimuyusuph966 8 месяцев назад
Mwandishi unashindwa hata kuuliza miaka ya mwakatobe jina kamili
@charlesmahenge5306
@charlesmahenge5306 8 месяцев назад
Alishawah kumuhoj lakin huyuhuyu dada,akawa ametaja vyote,kiufupi history yake nzima
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@abbytaurus652
@abbytaurus652 8 месяцев назад
Huna maswali unalazimisha kutafuta ushindan baina ya watu
@Mary_sup
@Mary_sup 8 месяцев назад
Mwakatobe hayo mandevu yanakuzeesha Bora ukayanyoee
@HalfaniJuma-tj4jr
@HalfaniJuma-tj4jr 8 месяцев назад
Ayo yauganga
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 8 месяцев назад
Nakukbal xn mwakatobe
@MariazitoMaguendo
@MariazitoMaguendo 8 месяцев назад
Mwakatobe atali
@JosephAmos-pz9en
@JosephAmos-pz9en 7 месяцев назад
Huyo daga kebwa
@dicvanofficial
@dicvanofficial 8 месяцев назад
Laina me nakupendaga aseeee
@AnerithBraham-ok3cz
@AnerithBraham-ok3cz 8 месяцев назад
Let's see what kicheche will say
@paulkasembe4046
@paulkasembe4046 8 месяцев назад
mwakatobe ni moto
@fananiBreezy72
@fananiBreezy72 7 месяцев назад
Chungu
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 8 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉Mwakatobe
@egidendayishimiye8879
@egidendayishimiye8879 8 месяцев назад
Mwakatobe we ni gifty tumepewa na Mungu
@RamsoPedro-t3g
@RamsoPedro-t3g 8 месяцев назад
Kicheche bado
@muyangetv
@muyangetv 8 месяцев назад
We mchumba tu
@FazileMalale
@FazileMalale 18 дней назад
Kiopivru
@Amochiku
@Amochiku 8 месяцев назад
Tabia ya kushindanisha wasinii ni ujinga. Wote ni wazuri na wako na mashabiki. Ifikie mahali sisi waafrika tuamkeni na tuzingatie mambo muhimu yanayotujenge. Tuache ujinga guys, let's wake up and work hard.
@saumurashid5535
@saumurashid5535 8 месяцев назад
King mwakayobe
@mpolanzaEyoboy
@mpolanzaEyoboy 12 дней назад
Yuko poa
@Vanbbh7
@Vanbbh7 8 месяцев назад
Kwakweli aweziiii kabisa uyoooo kicheche kushindikanasan mwakatobe aweziiii kushinda ni shwa na vitu vya ajabuuuu uyoooo chicheche atapigwa na kitu kizito mimaviiiiiiiiii pwaaaaaaaaaaaaaa pwaaaaaaaaaaaaaa pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@DottoMartine-t8t
@DottoMartine-t8t 8 месяцев назад
Chogo kama mwiko
@simonmuriithi6023
@simonmuriithi6023 7 месяцев назад
crazy
@DirectoryM-dizo-bl2kf
@DirectoryM-dizo-bl2kf 8 месяцев назад
Nice
@farajambaza
@farajambaza 8 месяцев назад
safiii
@MuziriAmisse-wd4pe
@MuziriAmisse-wd4pe 8 месяцев назад
vipi
@Nuhu-gb2qw
@Nuhu-gb2qw 8 месяцев назад
😮
@dilwesafaridi_jodan625
@dilwesafaridi_jodan625 8 месяцев назад
Maswali yaleyale kila interview
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 месяцев назад
Ley mchongqnishi
@meshack3266
@meshack3266 8 месяцев назад
Waandshi nyie ni makumzzzzz tu unaacha kuuliza maswali umekalia tu kuwachonganisha hao unaboa sasa we mdada pumbavuuu
@SelemaneMuemedeGdogo
@SelemaneMuemedeGdogo 8 месяцев назад
Kazikazi
@suleimankitango
@suleimankitango 8 месяцев назад
jambazi mlooo
@kaykinami
@kaykinami 8 месяцев назад
wewe dada jifunze kuhoji kwa maswali ya kujenga amani kati ya wasanii... hii tabia iache ..
@suleimandaraja49
@suleimandaraja49 8 месяцев назад
Zuchuu tuuu😂
@piasonNicholas-us1wh
@piasonNicholas-us1wh 4 месяца назад
mwakatobe wewe ni mba moja
@EdwinMathias-m2x
@EdwinMathias-m2x 8 месяцев назад
Zuchu tu
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz 4 месяца назад
😂😂😂😂