Zuchu ana cheza kama yy,,, the most amazing thing for a lady to know is how to tame the predictor.. Which she's doing now letting diamond to quech for more..
Mnaomsema zuchu Hana kiuno ata hao kina zari na hamisa wa zamani tuliwaona hivo hivo wakiwa bapa km waliopigwa makofi Ila uturuki imewafanya hivyo he mnawajuwa hatma yao itakuwaje ushauri wa bure kwako mdonge mwezangu zuchu Baki km ulivyoumbwa uzuri wa mungu no Bora kuliko wa kiwandani ☺️💕
hapo atakula atasusa......amezama ndani ya penzi Kali...... Zuu analeta kipato WCB,ana heshima,anajua kupika alafu dawa kidogo.......so Mondi hatoki ng'ooooooo