Тёмный
No video :(

UTASHANGAA! Wananchi watozwa Sh20,000 kulipia kibali cha Mazishi, Afisa Tarafa atishia kuachia Ngazi 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 4,7 тыс.
50% 1

Wakazi wa Kata ya Muyama wilayani Buhigwe mkoani Kigoma ameiomba Serikali kuingilia kati changamoto ya kutozwa Sh20,000 kwa ajili ya kupatiwa kibali cha kufanya mazishi.
Pia wamesema Manispaa hiyo imepitisha tozo ya Sh20,000 kwa ajili ya kulipia kibali cha kufanya sherehe ya asili yenye lengo la kutoa zawadi kwa wanandoa na waliojifungua kwa jamii ya kabila la Waha maarufu kama "Kugemula".
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika jana katika uwanja wa Shule ya Msingi Nyanga wilayani Buhigwe mkoani humo, Lameza Philipo alisema kibali hicho kinatolewa na Mwenyekiti wa kijiji.
Akizungumzia suala hilo, Afisa Tarafa ya Muyama mkoani Kigoma, Eliya Michael bila kutaja idadi ya waliotozwa na sababu za uanzishwaji wake alipiga marufuku Wenyeviti wa Vijiji vya Halmashauri hiyo kuwatoza wananchi fedha kwa ajili ya kuwapa kibali cha maziko huku akitishia kujiuzulu wadhifa wake endapo atabaini kuna mwananchi ametozwa Sh20,000 kwa ajili ya kulipia kibali cha mazishi ya mpendwa wake.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Год назад
Du!!!
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Год назад
Hahaha Chadema achana na Waha, ni wanafiki mno, Sasa mikutano wa chadema au wa CCM?😂😂😂😂😂😂
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Год назад
Hiyo ndo CCM magufuri Ametuletea matatizo makubwa sn chama kimoja?
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Год назад
DUUH HII KALI
@medadykyabashasa1794
@medadykyabashasa1794 Год назад
Ccm ni janga kuu la Taifa
@kulishaandry5730
@kulishaandry5730 Год назад
Mambo ya Afisa Tarafa Buhigwe, Kigoma.
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Ccm imechoka.
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Год назад
Afisa tarafa k vanti nakutumia
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Год назад
Wananchi wamegeuza fursa
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Год назад
Huyu afisa tarafa vipi tena au amelewa
Далее
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 4,7 млн
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 4,7 млн