Utukufu ni Wako (Wanaruka kwa Shangwe na Vifijo) Composer : Bernard Mukasa Singers : Evans Kibet Family & Friends Audio : Mozen Pro Video : BugaTi Studios
As the first one to comment ... Lemme say this song is on 🔥🔥🔥🔥... I love the song.. the uniforms... The shoot... Everything... Congratulations 🎉 Evans Kibet and the team ..
Mungu aibariki parokia ya mpepai kupitia Hawa watoto Kwa maombezi ya mama bikira maria na Mt Rita wa kashia afanye mabadiliko ya mioyo ya waumini wa mpepai,hongera sana mukue na Imani hiyo msisongwe na maguu
Hongera sana kaka na familia kwa ujumla. Kazi nzuri sana yenye kupendeza. My good friend Rev Fr. Sospeter Kangogo of Eldoret Diocese loves this song so much. I already shared with him. God bless.
Wow, nzuri sana hii. Kanikumbusha hapo zamani. Nakumbuka mwaka wa 2001,2002 na 2003, wimbo huu ulivuma sana parokiani nilikokuweko. Wakati huo ni sikuwa najua kwamba nilikuwa naitwa katika utume huu, ila niliupenda sana wakati huo wimbo huu. Hongera sana kwa kazi nzuri. Bwana Mwombeki Bernard Mukasa, akuzidishie marefu maisha Mwenyezi Mungu.
Nice song ❤❤ from Evans and friends congratulation may Almighty God blessings rain 🌧️ to you and may you continue with that spirit of praising God with songs 🎉❤❤❤