Тёмный

Uwanja wa chemka leo hoja za majini na Shetani za letwa kwa wingi kumechemka sana 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg 3 месяца назад
MashaAllah Allahu Akbar.....Mwenyezi Mungu awape jannah....Walimu wetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen sote
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 месяца назад
@@abdiidaawah-yv9bg اللهم آمين يارب العالمين
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 3 месяца назад
Masheikh Pole Sana Kwa Kuelimisha Hawa Wezetu Kwa kweli Kumuelimisha Mtu Kuna taka Subra Na Sio Nguvu Lakn Wataelewatu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Inn shaa Allah wataelewa tu
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 3 месяца назад
Aamiin Yaa Rabb
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah 3 месяца назад
Maasha Allah, Allah azidi kuikuza Salim Daawa izidi kulingania dini ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen
@linetkikin4023
@linetkikin4023 3 месяца назад
Mashaallah shekh salim
@janieali5521
@janieali5521 3 месяца назад
MASHALLAH, KAZI MNAYOFANYA NI NGUMU SANA KULIKO KAZI ZOTE ZA ULIMWENGUNI. NAHAO AMBAO HAWATAKI KUTOKA GIZANI KWA UBISHI WAO NAWALA HATA HIYO BIBLIA HAWAIJUI BALI WANABABAISHA TU. WANAFATA MTU AMBAE HAKUTUMWA KWAO, NA WANAMSAHAU BABA YAO PAULO AMBAE AMEWALETEA UKRISTO NA BIBLIA. HATA PROFESSOR LUMUMBA ALISEMA UKRISTO SIO KITU CHA KUJIVUNIA, KWASABABU NI JINA MLILO PEWA NA WAPAGANI WA ANTOKIA. YESU HAKUWA MKRISTO WALA HAKUANZISHA UKRISTO.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Wengi wao hawajui na hawajui kama hawajui
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 2 месяца назад
Wala Yesu hakua muislam wala hakuacha uislamu.Ulikuja baada ya miaka 600 na mohamed ndio muislam wa kwanza sura 39:12 halafu soma sura 36:14 utuambie hao watu watatu ni kina nani?
@Mr.Kalimbasa
@Mr.Kalimbasa 3 месяца назад
MashaAllah barakAllahu fiikum ❤❤❤❤
@josemu870
@josemu870 3 месяца назад
Allah u Akbar dawa is unstoppable allahamdhulla barikiweni sana sana kwa mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu ujumbe umefika
@mwangimuhammad-sx9hb
@mwangimuhammad-sx9hb 3 месяца назад
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah..wallah Allah awahifadhi na awazidishie
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 месяца назад
Ma sha Allah tabaraka Rahman
@ibnusleyyum9743
@ibnusleyyum9743 3 месяца назад
MashaaAllahu
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 3 месяца назад
Mungu Awape swiha na afya mashekhe wetu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen sote
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 3 месяца назад
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@saafisafiyoss4380
@saafisafiyoss4380 3 месяца назад
Masha allah tabaraka allah ❤❤
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 3 месяца назад
😂😂😂Kuna watu hawajui na hawajijui kama hawajui. Eti hiyo si Qur'an ni juzuu. Ya leo kali sana.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
🤣😂😂🤣😂 wakristo wanaweza kusema chochote kile
@sulleysidey2844
@sulleysidey2844 3 месяца назад
allah awabariki sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen pia wewe
@aishasalim9546
@aishasalim9546 3 месяца назад
Salim huyo msabato anasema Halka yani gharka ushanipata
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Okey unajua haeleweki
@AbdullahKalicha
@AbdullahKalicha 3 месяца назад
tafadhali mnisaidie na verse ya mwenye akona kanzu mbili ampe mwenye hana kanzu
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg 3 месяца назад
3:11 Luka
@dominicwafula3997
@dominicwafula3997 3 месяца назад
Assalam Aleykum masheikh wetu. Let salim Cook wazungu wanasema 😂😂😂, jama ankuja kwa kifua na Aya ya jini bila kusoma bibilia yao amezimwa Na Sheikh nikacheka sana, mara usiedit sasa n yy anatamani kuedit asionekane namna alivo zimwa😂😂😂 MashaAllah chezea waislamu ww utajuta, wasomi kma nini.😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah
@dominicwafula3997
@dominicwafula3997 3 месяца назад
Sana 2 Salim mkali wa haya mmbo natamani muda ungekua kma 30 zingine atoke kma amesekuomba usiposti, ila ukweli bana🤣🤣🤣.
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 3 месяца назад
Mash ALLAH alhamdulilah Neema wa Jumaa Kareem insh ALLAH ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Alhamdulillah
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 3 месяца назад
MashaAllah Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ahmedsido5838
@ahmedsido5838 3 месяца назад
Asalamu alaikum, hiyo area inaitwa nini?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mkuru kwa Ruben
@Lgut-xn9hi
@Lgut-xn9hi 3 месяца назад
❤❤
@Adm9464
@Adm9464 3 месяца назад
When they lose argument and can’t proof what prophet was the Bible given and where and what time . He starts wasting time for others to ask a question.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
That is what they do always
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 месяца назад
Wataelewa tu.
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 месяца назад
Suratul ya 46 Ayah ya 29 Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani Basi walipo ihudhuria walisema Sikilizeni Na ilipo kwisha somwa walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya. Ayah ya 30 Wakasema Enyi kaumu yetu Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. Kulingana na Ayah hizi mbili zaonesha kuwa majini walisikiliza Kitabu cha musa pia sio Qurani pekeake
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Masha Allah ni kweli ila huyu mkristo alikuwa mbishi hakuja kuelewa
@mkenyampole5793
@mkenyampole5793 3 месяца назад
Hebu toa kwenye biblia mahali walisikiliza kitabu ya musa​@@salimdaawah123
@PatrickChnace
@PatrickChnace 3 месяца назад
😊😊😊
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 3 месяца назад
Allah awaongoze wakristo waione haki na waifuate. Amiin
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Aameen ameen ameen
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 2 месяца назад
Haki ni nini? Tuanzie hapo
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 месяца назад
Wame tumwa kuvuruga muhadhara
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Yeah but hawataweza inn shaa Allah
@SaidMgeni
@SaidMgeni 3 месяца назад
Mtu kama huyo ametumwa apoteze mda
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Yeah ni ukweli kabisa
@AliAliyan-ps5to
@AliAliyan-ps5to 3 месяца назад
Hakuna sauti ustadh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Jaribu kufungua tena inn shaa Allah iko sawa sasa
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 3 месяца назад
hiko sauti
@salhkasmm558
@salhkasmm558 3 месяца назад
Huyo hajitambui kataka 41.6 sio 6.41 lakini hajitambui ndio kufuata mkumbo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Na ni mbishi hajui na hataki kujua kama hawajui
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 3 месяца назад
The ignorance is appalling.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Kabisa wataelewa tu inn shaa Allah
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 3 месяца назад
😂ati hiyo sio quran ni juzuu..mliona wapi juzuu na quran na nyie ni wakristo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 месяца назад
Hawajui na hawajui kama hawajui
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 месяца назад
Huyo msabato alazimisha kuwa kama majini walisikiliza quran mbona hawakusikiliza bibilia? Twamwambia silazima walisikiliza quran wawe wame sikiliza taurati au injili
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 2 месяца назад
Jinn hawezi karibia Bible...huo ni moto🔥
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 2 месяца назад
@@NathanielNathan-m4o 😀😀😀😀😀
@davidjuma3440
@davidjuma3440 3 месяца назад
Mbona Quran inasema kuwa Mohammed ndiye alikuwa wa kwanzwa kusalimishwa ila Ibrahim alikuwa kabla ya nabii Mohamed, swali ni nani alimusalimisha
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 3 месяца назад
Aya gani?
@suleymanali431
@suleymanali431 3 месяца назад
(Suratul 2 Al Baqara) vers 131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote
@ambbabu4122
@ambbabu4122 3 месяца назад
N sawa kusema hivo sababu huwezi kuwa mwalim ukafundisha watu Kabila wewe mwenyewe hujaukubali walim, lazima uukubali walim kwa moyo ndipo upate cheti ukafundishe watu, Kwahio manabii wote kabla wapewe unabii lazima wanyenyekee kwa mola wao na huko ndiko kusilim yani ( kunyenyekea kwa mola wa ulimwengu wote
@dulividuli5237
@dulividuli5237 3 месяца назад
Kwanza Unajua maana ya Kusilimu kabla ya kukujbu hilo swali lako
@PatrickChnace
@PatrickChnace 3 месяца назад
😊😊😊😊
Далее
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн