MUNGU akimaliza amemaliza, akiponya ameponya, akiinua ameinua hakuna wa kusimama juu ya neno la MUNGU wimbo Imeisha hiyo ni wimbo unaokupa ujasiri kutembea kifua mbele unapobarikiwa na MUNGU bila kujali chuki za watu, hapana za watu au vitisho vya watu MUNGU akikutendea Imeisha hiyo. # #VailethMwaisumo #MusicVideo #ImeishaHiyo
27 фев 2023