Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
Hakika dada MUNGU Anaishi ndani yetu bila kutuchoka Atabaki Kuwa Mlezi Wetu Milele Daima Nikwambie Tu Kitu dada hii ni nyimbo Ya Kuhudimia Watu Na Kuwakumbusha Watu Kutokumtegemea Mwanadamu maana,wanadam wanatuchoka lakini MUNGU hatuchoki Ujumbe mzuri dada Angu Nimeipenda Sana
Kunywa soda mtumishi na usikubali kutembelewa jirani ni mbaya sana alitaka kumdanganya yesu ,eti akimwambia atampa Kila kilichopo ulimwenguni,yesu akamwambia,na akamshinda Kwa neno ubarikiwe dada sana
Hakika "UMEBAKI MWENYEWE BABA" ni wimbo ambao kiukweli una ujumbe mzuri sana aisee maana MUNGU ndo kimbilio la matatizo yote, iwe njaa hutushibisha, huzuni yeye ndo mfariji pekee, kwahiyo ni vizuri kumtegemea yeye katika shida zote. Hongera sana Dada Mungu azidi kukubariki na kukuinua katika kazi ya uimbaji🙏🙏
BWANA YESU akubariki sana mpendwa wangu. Yaani nikisikia nyimbo zako, apata nguvu ya kusonga mbele. Ubarikiwe kiroho na kimwili, YESU akufanye kichwa, usiwe mkia. Nakupenda sana