Тёмный

Vedastus & Mathias Walichupa - Bado Nahema (Official Music Video) 

Mathias Walichupa
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 203 тыс.
50% 1

/ @mathiaswalichupa
Listen to Mathias Walichupa
Apple Music / mathias-walichupa
Boomplay www.boomplay.com/share/artist...
Spotify open.spotify.com/artist/5aHMq...
Audiomack audiomack.com/mathiaswalichupa
Deezer deezer.page.link/3SAAY1Hfi86G...
Tidal tidal.com/browse/artist/23641862
Stay in touch with Mathias Walichupa
Instagram / mathiaswalichupa
Tiktok: / mathiaswalichupa
Facebook: / mathiaswalichupa95
Threads: Facebook: www.threads.net/@mathiaswalic...
Stay in touch with Vedastus
Instagram / mgvedastus
Tiktok: / vdatus
For Booking: WhatsApp +255757255858
Email: @chupaprotz33@gmail.com
Director: Majag
Producer: Mathias Walichupa (Winners Voice Records)
The official RU-vid channel of Mathias Walichupa. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.
#BadoNahema #Mathiaswalichupa #Vedastus

Видеоклипы

Опубликовано:

 

11 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@HanenMgeni
@HanenMgeni 21 день назад
Me ni muislam ila huu wimbo nikiskia nakumbuka niliumwa sana baada ya kujifungua mapacha watoto waliruhusiwa kurudi nyumbani me nilibaki hospitali nchi za watu sina ndugu,mume alikua nchi nyingine mama mkwe ilibidi awe anahudumia watoto nalala hospitali mwenyewe bas kuna usiku nililala desperately i wasn't even sure nitarudi nyumbani alive usiku saa tisa nipo usingizi mzito wa madawa nikiskia sauti kama inanipa amri amka!fasta nikakurupuka nikajua ni asubuhi kuangalia muda ilikua saa tisa ikabidi niinuke nikae maana nilipata hofu na nilikua siwezi kunyanyuka mwenyewe ila niliinuka nikakaa that day bas kuanzia hapo nikatembea mwenyewe na nafuu kubwa nilipata kuanzia hiyo siku!mungu yupo jamani!niliwaza kuna wamama wengi wacha mungu pengine hata kuniliko ila mungu anawachukua wanaacha vichanga yatima ila mungu aliniinua mimi kwa ukamilifu upi daah😢
@ebenezerchristopher9605
@ebenezerchristopher9605 17 дней назад
Hakika Yesu anakupenda😊
@columbathomas7083
@columbathomas7083 5 дней назад
Hakika mungu ni mwema 🙏
@carohlynedwin8410
@carohlynedwin8410 3 дня назад
@HanenMgeni Mungu ni mwema sana
@florencelucas2175
@florencelucas2175 18 дней назад
I don't know why am crying but Mungu abariki kila mtu akutane na destiny helpers wake in the name of Jesus. 😢
@emmanuelomokola
@emmanuelomokola Месяц назад
This song is so big in Kenya 🇰🇪
@yvonneazangu2225
@yvonneazangu2225 Месяц назад
I was at my lowest after the accident we had with 8 family members, we almost fell from the flyover but God saved us all, when I discovered about this song it made me realize we've been given another chance 🙏🙏 thank you.
@flosiekaloki705
@flosiekaloki705 3 дня назад
I will be back here after two months with my testimony
@eltonjoachim2932
@eltonjoachim2932 10 дней назад
The most underrated privilege in the world is good health. Mungu ni Mwema. Wimbo una baraka za kutosha.
@nuruyusuph5562
@nuruyusuph5562 День назад
Maashallah wimbo mzuri Sana wa shukran Kwa MUNGU wetu haubagui
@user-vs1yg3ts8b
@user-vs1yg3ts8b 2 дня назад
Kaka umetisha,
@mbuguajayKE
@mbuguajayKE Месяц назад
Much love from 254 🇰🇪🇰🇪💯🔥
@user-cg9df5nt1f
@user-cg9df5nt1f Месяц назад
Naomba like za tunaoamini mungu yupo❤❤🙏🙏
@patrickemanuel3105
@patrickemanuel3105 Месяц назад
Unaforce hadi like 😂😂😂. Huu mwka wa kufosi kwelikwelii😂😂😂
@user-cg9df5nt1f
@user-cg9df5nt1f Месяц назад
@@patrickemanuel3105 sawa kjana
@Kichecheog3
@Kichecheog3 10 часов назад
Yaaani icho kiitikio ndo kinanimaliza kabisa
@SimonMsuka-bs1sw
@SimonMsuka-bs1sw 2 дня назад
Nice bro
@stephenmuthui5112
@stephenmuthui5112 5 дней назад
This Gospel Song is underrated! I relate with it!
@SbusisoMahlalela-up2ne
@SbusisoMahlalela-up2ne 7 дней назад
I can't understand a thing but this song 🔥🔥🔥🇸🇿🇸🇿🇸🇿
@ClareRoberts-fd7nf
@ClareRoberts-fd7nf 5 часов назад
Happy to see we still have such youths who thank God. So much love from me one of you guys. Beautiful product. Our next generation will be proud to see their ancestors did something useful with their lives in their young age ❤❤❤
@enjoomaliya1399
@enjoomaliya1399 8 дней назад
Hujawahi kukosea , nyimbo zako zote pambeeee ni nzuri, karibu xn mkoa wa kagera.
@adhiamboruth
@adhiamboruth Месяц назад
This keeps me going. Been listening to this daily❤. Nashukuru bado nahema🔥🔥🔥🔥 If this blesses you everyday leave a like❤
@EkiliaJohn
@EkiliaJohn Месяц назад
Haukuruhusu machozi yanitoke bure😢,,,wimbo ni mzuri sana ubarikiwe mtumishi
@mwainyongesa5744
@mwainyongesa5744 4 дня назад
...hukuniacha Bwana, hukuniacha Bwana...🥹🥹🥹
@IreneWarinda-yj4iw
@IreneWarinda-yj4iw 6 дней назад
Wimbo huu ni poa
@messers254
@messers254 22 дня назад
Listening while in bed recovering from chestpains❤️❤️🙏
@nderekanoella817
@nderekanoella817 19 часов назад
Big up sana 😢😢😢😢
@Glory261
@Glory261 Месяц назад
Naombeni like za watu wa kahama hapa
@Sifakwaya261
@Sifakwaya261 Месяц назад
Kahama tuko hapa aisee nimebarikiwa na huu wimbo nikiamka tu lazima niusikilize vedastus nakukubali sana
@poluvocalcoach
@poluvocalcoach Месяц назад
Waoooh! Kahama nawakubali sana Mungu awainue zaidi zaidi
@HCB447
@HCB447 Месяц назад
Amen
@vitalisjuma4451
@vitalisjuma4451 Месяц назад
Huyu mwamba niwakahama!! waaah
@HCB447
@HCB447 Месяц назад
@@poluvocalcoach Amen
@thadeusmathiews2564
@thadeusmathiews2564 Месяц назад
Mwanangu wa damu Veda GOD BLESS YOU Tangulieni kwenye Game Kelly wise yuko nyuma yenu soon
@sanyureagan9984
@sanyureagan9984 20 часов назад
I don’t understand anything but the way am enjoying this song ❤
@isaacmelkiontz
@isaacmelkiontz Месяц назад
#BADONAHEMA🎉
@GOg-zk5yr
@GOg-zk5yr 11 дней назад
Nyimbo imekaa mkao wa kusikilizwa hii..very nice song
@GOg-zk5yr
@GOg-zk5yr 11 дней назад
❤❤❤
@Cosmas_Kayamba
@Cosmas_Kayamba Месяц назад
Mzee kajua kuvaa uhusika, story imenigusa sana dah! 🥹🙌
@clorithanellyauses551
@clorithanellyauses551 21 день назад
❤ much love from Namibia 🇳🇦👏
@emmanueljaphety
@emmanueljaphety Месяц назад
Nakusubr Sana iyoo nimesubr Sana Leo na hisi nitabarikiwa Zaid kupitia video iyoo I'm waiting
@samgathenge8763
@samgathenge8763 25 дней назад
Those watching this in 2090, be blessed
@cosmajoseph1649
@cosmajoseph1649 Месяц назад
🔥🔥wimbo mzuri saaana unatia nguvu
@sibomanaemmanuel1831
@sibomanaemmanuel1831 28 дней назад
Amen from Rwanda 🇷🇼❤️
@esthermandania5921
@esthermandania5921 25 дней назад
Amen
@user-ks8rq5wp3z
@user-ks8rq5wp3z Месяц назад
"Nashindwa Jinsi Namna Ya Kusema, Nashukuru Bado Nahema,Sikustahili Umentendea Wema... Hivi Nimekupa Kitu Gani Baba 🙏
@CarolineKaranja-nd4uu
@CarolineKaranja-nd4uu Месяц назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@benkwabitheafricanchurchbo3117
@benkwabitheafricanchurchbo3117 Месяц назад
Kahama tuko hapaa
@RyamEmily
@RyamEmily Месяц назад
Nyimbo nzur sana yenye baraka
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Месяц назад
"....haukuruhusu machozi yanitokeee yanitoke bure, haukuruhusu huzuni idumu ili niumie haukuruhusu mapito yanikaribishe Umenipa mwisho baba wenye ushuhuda..." 🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️❤️❤️
@Beckie-zk2ko
@Beckie-zk2ko Месяц назад
am really blessed with this song🥰 God has a purpose .......in everything
@AminaGerald
@AminaGerald Месяц назад
Wow nmefrah sana
@Mycar2090
@Mycar2090 25 дней назад
Still listening 1billion times your such a blessing
@myincomeblog8202
@myincomeblog8202 19 дней назад
Watching from Nigeria so much love the song.
@eliudamini
@eliudamini Месяц назад
Congratulation boss kazi njema🎉
@RehemaMpangile
@RehemaMpangile Месяц назад
Mungu awabariki nice vidio
@user-oc7px5zx2c
@user-oc7px5zx2c Месяц назад
nmebakiwa sana
@user-cq3nn5bc5o
@user-cq3nn5bc5o 23 дня назад
My favourite song dah
@diannvictoria
@diannvictoria Месяц назад
Naupenda Sana Huu Wimbo.. Ule Utulivu Unaleta Ili Uusikilize, Ujumbe.. Kila Kitu Ni Cha Kusikiliza. Barikiweni Tuu🤗🤗
@joanithatumusime558
@joanithatumusime558 11 дней назад
Safi san kaka🎉
@khalwalejohn6255
@khalwalejohn6255 Месяц назад
This song has made me strong my mum was diagnosed with cervical cancer stage 4 we discovered it last year the medication is expensive each and every day nashukuru mamangu akihema nanjua atapona ❤❤
@dorcasdaud
@dorcasdaud 17 дней назад
jmn hakika MUNGU n mkuu san kuliko yote tuyawazayo i believe ❤❤❤❤
@LimbeZacharia
@LimbeZacharia 10 дней назад
I like this song ❤🎉
@alex_vincent
@alex_vincent Месяц назад
Hallelujah
@Mwl_Lupimo_
@Mwl_Lupimo_ Месяц назад
Blessed More Kaka Mathias, together 🤝
@realmoisebaraka
@realmoisebaraka Месяц назад
Endeleeni hivo hivo ndugu zangu, nyimbo hizi nizaroho ya Mungu kiukweli, ombeni sana ili Mungu aongeze mafuta
@wesongamuriel2048
@wesongamuriel2048 Месяц назад
Bado nahema kwa baraka zake Mungu!! Kama unapumua sasa, patia Muumba like yake.
@joycenjoroge7230
@joycenjoroge7230 Месяц назад
The message ❤❤❤
@janemuthoni3608
@janemuthoni3608 Месяц назад
finally the video is here so happy
@charlesmayungampemba1022
@charlesmayungampemba1022 Месяц назад
Ngoma Kali vdio Kali Yani ni Kali times two
@MaseleSylivester
@MaseleSylivester Месяц назад
Napenda Sana nyimbo zako japo namimi napenda kuimba ila sina saport
@enockbuluma277
@enockbuluma277 Месяц назад
wapi likes jameni this is a trending song
@IanMarvent
@IanMarvent Месяц назад
Listening from Kenya 🇰🇪 this Song is Amazing
@musabahegwa_official3381
@musabahegwa_official3381 Месяц назад
Man of the living GOD!
@leahkariuki8306
@leahkariuki8306 Месяц назад
Awesome🎉
@emmanueljaphety
@emmanueljaphety Месяц назад
Mungu mwema na ana zidi kuwa mwema Zaid hakika video iko powa na Ina Challenge zuri nimeupenda Sana Mungu awabariki waimbaji na wote walio husika katika hili Mungu akawe baraka kwenu
@yvonnemwende304
@yvonnemwende304 10 дней назад
Sifa zote kwa Yesu🙌🙌🙌
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 Месяц назад
Amen and thank you so much for this wonderful song be blessed guys 🙏🙏🙏
@coolbenzofficial8508
@coolbenzofficial8508 Месяц назад
Mimi nimekupa mini Baba....ambayo kwa akili za kibinadamu nisingeweza......Umenifusha na mengi Bwana.......still listening to this hit I can't get enough of it big up Walichupa (so deep) listening from Kenya.
@empresski8731
@empresski8731 Месяц назад
I started my year in pain because of betrayal,,I was assaulted but today I say thank you Lord as I listen to this song ❤❤
@nchilima_dcj
@nchilima_dcj Месяц назад
Amém God bless this video, here 👀👀🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@annathomas784
@annathomas784 Месяц назад
Jaman huu wimbo hauchoshi video nayo imekuwa nzuri sana
@stellamark3242
@stellamark3242 28 дней назад
Yupo mungu kweli I can testify that
@ericnzuki90
@ericnzuki90 Месяц назад
I came from TikTok kutafuta huu wimbo. This Is set to go viral pretty soon. Great tune there
@MilcomMJ4798
@MilcomMJ4798 Месяц назад
Sema jamaa angu umenepa Mungu azidi kukufanikisha zaidi naipenda sana kazi yako
@liliannkinda3581
@liliannkinda3581 9 дней назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 to the world
@andrewaineman5697
@andrewaineman5697 Месяц назад
Tujuane tunaobarikiwa na huu wimbo.
@SamsonMalaba
@SamsonMalaba 16 дней назад
Mungu mwema wimbo mzuri
@blessed8119
@blessed8119 17 дней назад
It's such a blessing to listen to the song
@PriscaMtweve
@PriscaMtweve Месяц назад
Nashindwa jinsi namna ya kusema Mungu wangu🙏
@user-vf8qy6jd4b
@user-vf8qy6jd4b Месяц назад
I thank God that bado nahema na familia yangu🙏🙏🙏
@linaschannel3769
@linaschannel3769 Месяц назад
Bado nahema Mimi ni Nani Bwana nashukuru 🙇🙇🙇🙇🙇🙇
@user-qd4pn2ev7s
@user-qd4pn2ev7s Месяц назад
Wow wow 😮 wimbo unanibariki sifa na Utukufu tumpe Yesu
@nelsonkagema3964
@nelsonkagema3964 Месяц назад
hii nyimbo yanituliza mawazo especially what am going through now 🥲😥😭
@joyceamanda-oi9pp
@joyceamanda-oi9pp 28 дней назад
@wesongamuriel2048
@wesongamuriel2048 Месяц назад
Wow!! God is great and gracious 🙏 More grace brother to serve him better 🙏🙏
@Chizoofficial
@Chizoofficial Месяц назад
Collaboration Kali sana hakika mmeua kinomanoma ,mwenyezi mungu awabariki✅ Bado nahema 🔥🔥
@RobertMwakabalula
@RobertMwakabalula Месяц назад
😍 nimeisubiri sana hii video, Mungu awabariki saana
@JoanKitunga
@JoanKitunga 11 дней назад
Hongera Sana mwanangu... Surely its a hit song so powerful, more blessings
@PriscaMtweve
@PriscaMtweve Месяц назад
Nashukuru Mungu wangu bado nahema
@Ngwarai
@Ngwarai Месяц назад
I don't understand the language but I really like the song much love from🇿🇼🇿🇼
@Graciousmom679
@Graciousmom679 Месяц назад
Mungu awabarikiii sanaaa Kwa kaz mnayoifanya kwakweli
@Mariaemanulmagomba-rr1xp
@Mariaemanulmagomba-rr1xp Месяц назад
Nyimbo nzurisana yenye baraka
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Месяц назад
Ngoma kali sana
@DeborahMugisha-dg6xw
@DeborahMugisha-dg6xw Месяц назад
Nashukuru Bado nahema🙏🙏🙏🙏
@floramarco255
@floramarco255 Месяц назад
Kazi nzuri hongereni sana watu wa Mungu
@ulaweboy9826
@ulaweboy9826 Месяц назад
Wimbo mzur saaan
@DoctorEvarist
@DoctorEvarist Месяц назад
Amen 🙏 be blessed for the song
@deboraanyango5584
@deboraanyango5584 Месяц назад
Woow ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@user-qg4ph9in7b
@user-qg4ph9in7b Месяц назад
Barikiwa watumishi wa mungu
@user-ol7pe4rl4r
@user-ol7pe4rl4r Месяц назад
Nahema kwa Neema ya Mungu tu😭🙏🙏
@susanakinyi5672
@susanakinyi5672 23 дня назад
This song uplifts my soul, even in waiting I will keep on trusting in God.❤