Asante eeh Mungu wangu kwa kunitetea na kunipigania,isingekuwa n ww singefika mahali nimefika😭😭🤣🤣.sina cha kukulipa ila tu n kusema asante😭😭.i will praise n thank u until my last breath🙏🙏🙏🙏
Dada ake mm love my dear Asante Mungu kwa kumuinua huyu dada Mungu ni maombi yangu kwa Mungu akuinue zaidi,tusikate tamaa jaman hata kama umeanguka inuka jifute vumbi kisha songa mbele🎉🎉🎉🎉💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
DADA VICTORIA N mie nazid kubarkiwa nkiwa TEKU-Mbeya! Nyimbo zako zanbark kupta niwezavyo kuandka! Acha niandke Naisubr kwa vdeo ya hii nyimbo aiseeee!