Whenever i miss my late father it's only this Nasheed i wish to listen to... feel some comfort then feel the loneliness that his gone and am just to live with memories of him... i miss you papa🥺
Ukumbusho mzuri Sana. Mpaka chozi limenitoka Kwa kuhisi mapenzi haya. Ama Kwa hakika watukiwa hivyo ndio hazina pekee itakayokuombea msamaha baada ya mauti eidha iwe baba au mwana. Mafunzo mazuri yakutowa hisia zako Kwa unaowamilili