Тёмный

Video ya Jay Z akiendesha Land Rover Defender yawafanya Zamaradi na Dogo Janja nao wajivunie zao 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

7 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
Land Rover Defender 110 Hardtop PUMA. The British Machines. Hili ni Ndugu Jeshi hauwezi kufananisha na Toyota Vibakuli. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@rachaelkeith5095
@rachaelkeith5095 Год назад
Kujeni Arusha..yapo Mengi sana💪
@nurudovino4587
Hata mm naipenda japo sina hata mia yakumiliki gari ila ninzuri sana haswa kwa family
@alonerider7164
@alonerider7164 Год назад
Nunua unachokipenda na kinachokufaa,,sio wanachokipenda na kuwafaa watu wengine.
@swaglishauto846
@swaglishauto846 Год назад
Guys this car is so expensive in UK 🇬🇧 mume wa queen 👸 Elizabeth ilikuwa ni gari yake number 1 na hata alipokufa basi msafara wake alipandishwa kwenye hiyo gari to be honest that is not a cheep car binafsi i wish one day nimiliki and yeyote alikuwa nayo must proud himself that car is worth 💙 na kila miaka ikienda that car huzidi value its a different car in this world 🌎. SNS TO UK 🇬🇧
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Hatariiii na nusu
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 Год назад
Zamaradi kaelezea maneno mazuri sana, kwa hili nimejifunza kitu kupitia kwake
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda Год назад
Watu wengi hawajui kuwa Range Rover ambayo ni gari pendwa ni product inayotokanna na Land Rover. Hizo jamaa wa Arusha wana zi customize na zinakuwa powa sana. Wasouth wanazitumia sana. Ni gari expensive sana kwa sasa pengine kuliko hata magari pendwa ya sasa. Mimi binafsi ni gari yangu pendwa ya siku zote
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Год назад
Wadanganyika bwana😂😂 ya Jay Z ni tofauti na hizo zenu ilimradi msipitwe tu
@luciagabriel4520
@luciagabriel4520 Год назад
Nilichojifunza tuko tofauti kwny mitazamo yetu mbali na landrover tu endesga baiskel unaonekana mtu asiye na kipato inshort ni kutokuelewa
@user-os2dc7hi7y
@user-os2dc7hi7y Год назад
Unashindwa kuheshimu mumeo,unamuheshimu jay z😢
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 Год назад
Arusha matajiri ndo tunaendesha hizi gari...😂,kawaida sana
@piterasifa3757
@piterasifa3757 Год назад
Hawajui hawa
@donlee9992
@donlee9992 16 часов назад
Dogo janja. Mshenz nae😂😂
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Land Rover na Range Rover zote ni kampuni moja ya muingereza Uk 🇬🇧
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Год назад
Hii gari hata mimi naipenda sana coz iko juu yaan defender, jeep na land cruzer nazipenda sana zik juu juu na zinapita barabar aina nyng hasa za tz 🤣🤣 zinapita tu popote mashaallah.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
😂😂😂😂😂😂heri yao
@Megadreamzfx1
@Megadreamzfx1 Год назад
Bongo ushamba mwingi sana s/o to dogo janja all the way
@KingRomyJay
@KingRomyJay Год назад
kwaiyo unaipenda kitu eti kwa sababu Jay Z ameonakana nayo dah watu bado wanaakili zisizoweza kujitawala na kuchagua kitu unacho anakipenda yeye kama yeye hawa ndy watu wanao sombwa na tamaduni za magharibi kwaiyo Jay z akiwa shoga leo na ww unakuwa shoga au unamruhusu na mwanao awe kama jay z ?
@doreenrabera
@doreenrabera Год назад
Ile peer pressure iko TZ
Далее
Jay-Z’s  $500k Defender vs  The Cyber Beast
20:17
Просмотров 76 тыс.
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 6 млн
Dogo Janja - NGARENARO (Official Video)
3:17
Просмотров 2,9 млн
Mercedes G-Wagon vs Land Rover Defender V8!
16:56
Просмотров 682 тыс.