Wakazi wa Ufuaga na maeneo ya jirani walivyokumbwa na oparesheni ya kuhamisha wakazi wanaosemekana kuvamia msitu wa ISAWIMA uliopo wilayani Kaliua mkoani Tabora.Je ni madhara gani yaliyojitokeza na hatua gani zimechukuliwa? Tazama makala hii hadi mwisho.Toa maoni yako hapo chini
10 сен 2024