Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza sasa wameonekana kubadili msimamo wao kuhusu vijana wanaofanya maandamano nchini. Kwa kauli moja, viongozi hao ambao hapo awali walikashifu maandamano ya vijana, sasa wanadai kuwa vijana wa Kenya wanastahili kusikizwa. Lakini kama Nimrod Taabu anavyoarifu, viongozi hawa wakiongozwa na Kimani Ichungwa na Aaron Cheruiyot hawakuonekana kubadili msimamo kuhusu mswada tata wa fedha
6 окт 2024