Yaa Hayyu Yaa Qayyum! Tunakuomba mpe afya njema, mzidishie ilmu yenye manufaa na uislam, msamehe anapokosea,msamehe makosa yake pamoja na Wazazi wake,ksha mjaalie mwisho mwema yeye pamoja na sisi na waislamu wote. Allahumma Aamiyn
Hakika hicho ni kipaji Sheikh ulichoruzukiwa na Allah na ninaamini miongoni mwetu wafatiliaji tutafanikiwa kufata mafunzo hayo ili tuwe na matendo mema, na Mwenyezi Mungu akulipe khair inshallah
Shekhe na mkubali Sana hapo alipo sema كَانَ إِذَا بَلَغَ النَّبِيَّ عن الرجل الشيئُ kapita Mara ya kwanza kwa dhwamma ya yayee kwenye tamko la nabiyya lakini akaona uuh hii مفعول مقدم akawekea fatha yake kiufaswaha na ile الشيئُ akairibia dwamma akaipa haki yake maashaallah baarakallah fiika