Тёмный
No video :(

VITA ISRAEL NA PALESTINA: IRAN YAIONYA ISRAEL ,WAACHE KUISHAMBULIA GAZA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 106   
@KenethNdingo-tm2gc
@KenethNdingo-tm2gc 10 месяцев назад
Vita sio vizuri kabisa ukiangalia wanadamu pande zote hufaa hapo mshindi hatakuwepo kabisa.ila tumuombe mungu zote bila ushabiki wowote ule.vita hii isye mara moja.
@zainabshariff114
@zainabshariff114 10 месяцев назад
Namuomba Allah aingamize Israeli
@richardngao5511
@richardngao5511 10 месяцев назад
Usiombe tu maana mpaka ajibu ndugu zako watakuwa wameixha maana wanafutwa
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 10 месяцев назад
Hawez ifuta maana ni nchi ambayo inayotembea na nguvu za mungu ni ngumu mno
@Huruma-ze5xk
@Huruma-ze5xk 10 месяцев назад
Kuiangamiza israel ni ngumu ndugu
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
Amina Amina Amina
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
​@@richardngao5511kama Mungu wenu peke yenu wataisha 😂😂😂
@omaryally6959
@omaryally6959 10 месяцев назад
Dhulma haindoki bila kumwaga damu Palestine allah atawapa ushindi amiin amiin amiin
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
Amina Amina Amina 😭😭
@anushkabarvat3924
@anushkabarvat3924 10 месяцев назад
Hebu tufikilie mukose huduma kama maji umeme afya 😢 hiv mtais vip wawaache kila mtu ana haki katika ardhi hii mm nasema nusra ya mwenyezi mungu ipo karibu na hak itatendeka
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 5 месяцев назад
Zungu ok vizuri ila hao jamaa wenye vitambi had wanashindwa kuminya vishoka hao hakuna kitu
@y1h1y1-m
@y1h1y1-m 10 месяцев назад
Zungu anaongea kweli Israël Na Palestine awawezi kuishi pamoja
@mwakatundujr1674
@mwakatundujr1674 10 месяцев назад
6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; Amosi 1:6 7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake. Amosi 1:7 8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU. Amosi 1:8
@AliFamau-fj5uj
@AliFamau-fj5uj 10 месяцев назад
Muamerica Na Wafuasi Wake Wote Pamoja Na Israel Wakifanya Jambo Siokitu Wakifanywa Wao Watu Wengi Wanakua Ni magaidi America Wapumbavu Sana.
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 10 месяцев назад
Zungu upo Vizuri sana.
@user-kf4hu9tu6d
@user-kf4hu9tu6d 10 месяцев назад
Mnazungumzia vita kama mnachambua mpira..Na vicheko vya ovyo..wabongo bana
@user-pp8qb3bb9r
@user-pp8qb3bb9r 10 месяцев назад
Ebu nenda na ww ukachambue
@Mumewangu
@Mumewangu 10 месяцев назад
Mzozo utaisha wapalestina kwa kupewa Taifa lao huru
@omaar5693
@omaar5693 10 месяцев назад
amin
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 10 месяцев назад
Waondokee israili kwenye ardhi ya walestein
@anushkabarvat3924
@anushkabarvat3924 10 месяцев назад
Hapa kuna wenye kuungwa mkono hata wakifanya kosa wako sahihi na wengine waitwa magaidi mh wanamiliki binadamu wenzao 50% bila kazi maisha magumu wanawanyima wenzao kila kitu
@user-qf1wy4vj5l
@user-qf1wy4vj5l 10 месяцев назад
Alichokifanya Marekani Iraq Kwa Saddam Husein Pamoja na Libya Kwa Gaddafi Kilikuwa ni Kitendo Gani?
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 10 месяцев назад
Mchuma Jana hula na wakwao,ukiyavulia nguo maji utayaoga.
@mombasa0076
@mombasa0076 10 месяцев назад
KINACHOFANYWA NA ISRAELI NA NDUGUYE AMERIĶA.......NI MAUWAJI. YA WATU WASIO NA HATIA.
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 10 месяцев назад
Na walicho kifanya Israel nikitu gan na litaitwa kundi gani mbn watu wakidai haki zao munawaita magaid hasa akiwa muislamu akifanya jambo tu anaitwa gaidi kila mmoja anahaki ya kudai haki yake na akidhulumiwa sheria inamruhusu kupigana kupata haki yake wewe lala hapo
@mangaremechanic4062
@mangaremechanic4062 10 месяцев назад
Kwahiyo anadai haki yake kwa kuuwa wengine wasio na hatia sio fikiria unachoo ongeea
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 10 месяцев назад
Wote ni magaidi ila Israel magaidi zaidi.
@MsAggie5
@MsAggie5 10 месяцев назад
Kwa nini kiongozi WA wapalestina aseme Hamas hawawakilishi wapalestina? Hiyo ina maana Hamas inamuwakilisha Nani? Mungu aingilie kati vita iishe
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 10 месяцев назад
Nafikiri njia waliotumia kudai haki yao ya muda mrefu si sahihi hata kidogo.
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 10 месяцев назад
Palestine miaka 75 wanadai haki na kupigwa juu Sasa wafanyaje
@user-vp1kj7id8q
@user-vp1kj7id8q 10 месяцев назад
Hii yote ni sababu hamas haitaki mahusiano ya kawaida kati ya Israel na mataifa ya Uarabuni ndiposa kuanzisha vita hii kwa kushambulia raia wasiokuwa na hatua kisha kujificha miongoni mwa raia.
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 10 месяцев назад
Vita haina mshindi, hugharimu maisha ya watu wasio nanhatia(
@user-su6yd2lt5f
@user-su6yd2lt5f 10 месяцев назад
Ugomvi wa msjid aqsa,
@eliudimwakasenga9754
@eliudimwakasenga9754 10 месяцев назад
Nawaona makamanda
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 10 месяцев назад
Well said 🤝, waisrael wamichongo fake, washukuru marekani Kwa msaada,najana nimesikia south Africa wamestop uhusiano na Israel.
@user-hz2od3qf8o
@user-hz2od3qf8o 10 месяцев назад
Waambieni na hao sijui hisbolaa sijui ijibolaa nao watajiponza kurusharusha tukombora twao kazi itawakuta
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 10 месяцев назад
Sekunde tu israel itateketezwa na maji na MOTO. Soon mtanitafutaa. Na usa pia😂😂😂😂ALLAH ANAWAZOOM, MTANITAFUTAA
@BrightDaud-hq3ul
@BrightDaud-hq3ul 10 месяцев назад
Haya mataifa yako wapi mbona kama hawaelewi kinacho endelea kule 🇦🇪🇦🇪 :Afghanistan, Algeria, Bahrain, Bangladesh, Egypt, Indonesia, Iraq, Kuwait, Libya, Malaysia, Mauritania, Morocco, Oman, Pakistan, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Tunisia, United Arab Emirates, a Yemen.
@user-ym3gi6xp6d
@user-ym3gi6xp6d 10 месяцев назад
Waach
@mombasa0076
@mombasa0076 10 месяцев назад
MAREKANI NDIO ANACHOCHEA YOTE HAYO. KUTOKANA NA KICHWA MBOVU YA ISRAELI HUU MZOZO UNAZIDI
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 10 месяцев назад
Jamani musipigishane kelele unapo pelekwa pahali hata kama kushazaa kushajukuu lakini ukiwa hutakiwa urudi kwenu ss israili ande alikotoka marekanii
@mangofish9079
@mangofish9079 10 месяцев назад
We zungu Iran sio nchi ya kiarabu sawa
@johnnyarara3463
@johnnyarara3463 10 месяцев назад
Hamas ndo wamechokaza Israel,
@SimonyMbogo-qh4yh
@SimonyMbogo-qh4yh 10 месяцев назад
Jaman vita hatari
@user-yb2gz8dh4l
@user-yb2gz8dh4l 10 месяцев назад
Avita ilianza tangu Esau na yakobo wakiwa tumboni mwa mama yao hatimaye Esau kuuza nafasi yake ya mzaliwa wa kwanza
@RogersMziwanda-dc2xr
@RogersMziwanda-dc2xr 10 месяцев назад
Hamas ni magaidi kweli ni wapalestina wao wameua raja Israel VP Israel wake kimya
@salummohd4971
@salummohd4971 10 месяцев назад
Siokwelinyie
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 9 месяцев назад
Mayahud huua watoto hawajaanza leo nikawaida yao na hamas hupiga jeshi la israil kwaio israil haiwez kupambana na hamas na hizbullah na
@yonamsemo6634
@yonamsemo6634 10 месяцев назад
Hamas ni magaidi sana hilo kundi linapaswa litokomezwe kabisa,walichokifanya Israel ni unyama hivyo wajutie kwa walichokianzisha.
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 10 месяцев назад
Wewe ni MTU mweusi kweli ? Unapo sapoti israel
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 10 месяцев назад
Ww ndiyo utokomezwe. Yanimtu akipambania hakiyake ndiyo atokomezwe we vipi unaakili nni
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 10 месяцев назад
Umerogwa wewe ndio utokomezwe mzayuni wee
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 10 месяцев назад
Haujui kitu upo tu
@Is-hakaKassim
@Is-hakaKassim 10 месяцев назад
.
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 10 месяцев назад
Kwan kikund chao cha hamas wakat knaanza kuvamia Israel hao wa Iran hawajaona?..kwann wasngewaonya na kuwakataza!?..hvyo waltaka israel ipgwe na kutekwa wanyamaze tu waumie?..hapana ngoja wanyooshwe kwan walianza wao
@badilikhatib8592
@badilikhatib8592 10 месяцев назад
حططجح
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 10 месяцев назад
Vita na Uhasama wa Israel na Palestina vinachochewa na Marekani kwa faida ya Taifa hilo. Kuundwa kwa mataifa mawili ni ufumbuzi pekee, lkn Marekani na Israel hawawezi kukubali Palestina wawe na Taifa lake.. ? Utaifa wa Palestina utaupatia uwezo wa kupata misaada kutoka nje ... 😂😂 Siku Marekani itakapopata kipigo cha kweli kutoka popote, mambo yatabadilika sio Mashariki ya Kati, Bali pote Duniani...
@UnissSaimon-qn6em
@UnissSaimon-qn6em 10 месяцев назад
😂😂Kaka sisi acha tupambanie ugali wetu tuu, kwa mujibu wa biblia Marekani na Urusi ndo wakubwa wa dunia mpk mwisho iyo. Zingine zoote ni proba... tuu
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 10 месяцев назад
Uyo .purtin .ni. Muuwaji. Anapoteza. Maisha. Ya. Waukrein.
@mombasa0076
@mombasa0076 10 месяцев назад
WAUKRAINE HAWANA AKILI, WAMESHABIKIA WENYEWE KUPIGANA NA URUSI BAADA YA KUSHAWISHIWA NA AMERICA NA NATO.
@godfreynyapanga3380
@godfreynyapanga3380 10 месяцев назад
Hamas wameyatimbaa
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 10 месяцев назад
Hata wayahudi hawapendi vita maana wapalestine wanakaa nao vizuri tuu ila zionist hawa ni waisrael wengine wenye chuki hivo vita ni serikali yao lakini hawa wenyewe waushudi hawapendi kabisa wanaishi vizuri na wapalestine
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 10 месяцев назад
Uchambuzi wenu hauko vizuri mnaegemea upande mfalani hivi mnashindwa kubalance habari mnashabikia palestina hilo litawakosti sana
@mombasa0076
@mombasa0076 10 месяцев назад
HUU MZOZO HATA MIMI NAWEZA KUUONDOSHA, LAKINI KAMA AMERICA ATAKUWEPO HAPANA KITAKACHO KUWA.
@abdulswamadabdallashee5802
@abdulswamadabdallashee5802 10 месяцев назад
Hata nelson Mandela aliitwa pia gaidi
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 10 месяцев назад
Vita ya urusi ,ameshindwa kabisa ni sawa na sisi tupeleke jeshi zanzibar kwa ndugu zetu halafu tuko na kila aina ya silaha tunajisifi eti tumeshinda yaani ni uongo mkubwa sana
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 10 месяцев назад
UMEISHIA FORM NGAPI???
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 10 месяцев назад
Rudi darasan
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 10 месяцев назад
Inauhusiano Gani na shule?
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 10 месяцев назад
kwa walichokifanya Hammas, ni kitendo cha kigaidi. hvyo lile ni kundi la kigaidi.
@barakaba8417
@barakaba8417 10 месяцев назад
We ulishaoshwa akili.kizazi cheusi cha shetani kinasubir mito.adam na hawa ni weupe mungu ni mzungu yesu ni mzungu malaika ni wazungu we shetani mweusi biblia inakuambia the curse of ham baba yako ni shetani mweusi
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 10 месяцев назад
Ingekuwa Ni Wewe umefungiwa Gaza ungefanyaje ?
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 10 месяцев назад
@@barakaba8417Sasa huyo Allah mwarabu kama yupo hai kwanini asiwasaidie,maana yake naye ni dhaifu kama wewe,mnamwamini kwa misingi ipi kila siku mnaongea ipo siku,mnaishi kwa ku kubet,amka kifkra ndezi wewe
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 10 месяцев назад
Acha kumkashifu Mungu we kenge
@shakila3982
@shakila3982 10 месяцев назад
​​@@vincentcharles4385mbona yesu kama ni mungu hakujinusuru kwa kipigo cha wayaudi waungu wenu? Mwenyezi Mungu afanyi kitu kwa wakati wa binadamu, uwenda watapigana milele manake ufalme wa Mungu ulishaondolewa Israel kasome Matthew 21-43 kenge wewe, mtu akilaaniwa kwasababu ya zinaa hawezi jinusuru kwa zinaa mpaka apate msamaa kutoka kwa alie mlaani, ufalme wa Mungu ulishaondolewa Israel kwasababu walikuwa wakiua manabii hovyo, kwa hiyo muisrael hawezi acha kuua mpaka apate msamaa kwa Mwenyezi Mungu, na hiyo haitawezekana mpaka qiama itampata muisrael akiua,
@jeryjery8566
@jeryjery8566 10 месяцев назад
Acheni kuongea utumbo nendeni mkakae mstar wa mbele wa Vita muone matiti ya nyoka yanajua vp
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 10 месяцев назад
Hamas nikama wambeya nisemu yamchi,niwale wanaosema Bandar nikama hamas kwahio nyinyi wambeya nimagidii?
@lajumaofficial3629
@lajumaofficial3629 10 месяцев назад
Kuonya kawaida Yao,tumewazoea
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor 10 месяцев назад
Umemzoea nan
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 10 месяцев назад
yeye alipunguza kwa ukraine shubamit kweli huyoo
@user-ci4yg1uo7i
@user-ci4yg1uo7i 10 месяцев назад
Kifo kwa mayahudi wote
@omaar5693
@omaar5693 10 месяцев назад
amin
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 10 месяцев назад
Amyn
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 10 месяцев назад
Aamin yaa Rabir aalamin
Далее
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 6 млн
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 6 млн