Тёмный
No video :(

Vita nzito: Esha Buheti akasikirika baada ya Shilole kushinda tuzo waliyokua wakishindania wote 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Месяц назад
Team Esha tupo pamoja nae.Yeye ni mshindi kwenye mioyo yetu.🎉
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Sana wanampendelea bule.shish ajui
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Месяц назад
Esha❤ni wa kwanza kupika kweli uyo dad
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Месяц назад
Tatizo hamjapiga kura ndo mmemuangusha
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Sana
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 Месяц назад
Esha anajua kupika hatukatai vipi kwenye upande wa marketing????Esha na Shilole ni kama Ali kiba na diamond 🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️Ali kiba anajua kuimba ,diamond anajua marketing ya mziki wake🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️
@user-mj5jk5mq7p
@user-mj5jk5mq7p Месяц назад
Wewe basi wasingepiga kura
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Point...
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Месяц назад
True
@janemwageni597
@janemwageni597 Месяц назад
Kabisa hafu mbona yy mwaka juz alidhinda mwenzie hakuongea aache roho mbaya
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Месяц назад
eshe alistahili kwakweli.hata kura zilikua nyingi za esha
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j Месяц назад
Mlikuwepo kwenye kuhesabu!
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Месяц назад
Sio yeye aliye kasirika ni sisi wapiga kura na tumezihesabu kabisa shilole kazidiwa kura na ESHA na Malkiafoods afu et ndio amekua mshindi
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Месяц назад
wamempa sababu ya umaarufu shishi shenz kabisa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Месяц назад
NAsikia ni shoga wa dina huy 😢zuwena. Mashoga hatr. Usem kitu pal
@masoudmohammed2043
@masoudmohammed2043 Месяц назад
Shilole hoyeee mpishi wa kimataifa wa mboga saba 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💕💕💕💕💕🌹✅
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Месяц назад
Esha anapika nyie Shilole sio mpishi sema umaarufu unambeba
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 Месяц назад
Shilole n mchangamkaji sana but buhethi anapika sana
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Месяц назад
Acheni masiala Esha buheti ni Kizuri sana mm nimekula kote ila Kwa buheti ni balaa
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Месяц назад
Dina ana watu wake
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
Anagawa kirafiki 😅😅😅😅
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Buheti number one kwa kupiga
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 Месяц назад
Shishi anajua marketing bwana❤❤❤
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Point mana mm ndio namuona huyo Esha hapa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Kiufupi sijawahi juia km esha mpishi
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
Marketing sio kupiga kura 😂😂😂😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
​@@joycehaule9717chakul cha esha ukikion tu umekul kinamvuto kisafi mpang vyombo we esha nom😂😂
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
@@faidhamyovela179 wee basi azidishe kujitangaza haki sijawahi mfahamu kama huyo shishi ... Nadhan shishi jina linambeba
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
Hizo tunzo zina faida gani ao wana wapaga na pesa? Nifahamishe mm sijui jamani 😢
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Месяц назад
Da Esha anajua kupika jmn nimeshakula sana pale lkn pia Shishi anajua kublandi biashara
@user-td3ss6nk2d
@user-td3ss6nk2d Месяц назад
Esha hafananishwi😂😂😂😂😂
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Месяц назад
Esha anapika nyie
@maryamm7765
@maryamm7765 Месяц назад
Wamempa tunzo mtu wala ajui kupika sambusa wala kates zaidi ya wali maharage kisa anajipendekeza kwa mama
@Zuu673
@Zuu673 Месяц назад
Sasa kwann walishindanishwa?😂😂😂
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn Месяц назад
We hujamsikia mange kimambi😂😂
@user-kh7bc4js1m
@user-kh7bc4js1m Месяц назад
Eti
@user-kh7bc4js1m
@user-kh7bc4js1m Месяц назад
Lakini ukweli usemwe sahihi hajui kupika vitu vingi cna sahihi n makonde wali vitu vya Kiswahili hajui hajui tena hata mikate ya mayai hajui
@Zuu673
@Zuu673 Месяц назад
@@maryamm7765 aliye pewa kapewa imeisha iyo haiwezi saidia kitu
@swaiseif2989
@swaiseif2989 Месяц назад
Eshaa fundi bhna WA jiko
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Месяц назад
Shilole the best ❤❤❤❤
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Месяц назад
I love you buheti
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад
Ila mimi napenda sana chakula ch shilole nilienda nikalaaa pale wali maharage na nyama aaaaah nilikula sahani mbiliiiii aiseee
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Месяц назад
Tatizo Esta ni mswahili sana kha kulikuwa na haja gani kufanya yote haya😂😂
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 Месяц назад
Umekurupuka Esta yupi huyo? Esha sio Esta😂😂😂
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Месяц назад
@@mohammedabdallah6390 kwani kukurupuka kumeingiaje kwa mfano😂
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 Месяц назад
@@angonzamujunangoma8775 😂😂😂 umenichekesha ujue aah
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Месяц назад
Kwakwel kakurupuka et esta 😂😂😂😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Месяц назад
Lakini shilole amepambana sana jamani ana haki mi nawapenda wote
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Месяц назад
Wabongo awaoni
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so Месяц назад
Esha anajua kupika sanaaaa sholole hamna kitu
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Месяц назад
Shishi forever riziki mafungu saba ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@user-ci9sf7vd4z
@user-ci9sf7vd4z Месяц назад
Mimi ni mkenya lakini esha is my fav.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Месяц назад
Ndo shida ya kuwaza karibu kwann kama wewe mkali usiwaze mbali umenyimwa tz pambana upate ya africa au dunia kabisaaaaa
@masoudmohammed2043
@masoudmohammed2043 Месяц назад
Muhimu anajua kupika ugali inatosha hivyo vyakula vingine waachie wahindi sisi tupiga ugali tu shishi apewe 🌹🌹🌹🌹💕💕💕🌹🌹🌹🌹
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Месяц назад
ESHA MPISHI BHANA
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣nimeipenda hii
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Shishi nampenda😂😂😂❤❤❤❤❤
@ZainabuLugwisha
@ZainabuLugwisha Месяц назад
Eshaaaa❤
@fatmamussa6134
@fatmamussa6134 Месяц назад
Esha kwanini asijikubali mwenyewe shilole anatumia umaalufu wake
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
Wivu utakuua buheti
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Месяц назад
Esha anajua sana kupika tena sanaaaa ila shilole anabrand kubwa ndo maana kashida
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 Месяц назад
Dina kazingua... Esha alikua na kura nyingi kuliko shilole
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 Месяц назад
Esha anamzidi shishi wamefanya makosa sana ukweri ni kwamba ki moyo moyo wanajuwa sha anajuwa sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Месяц назад
Duh!!!
@RandB_Channel
@RandB_Channel Месяц назад
Shilole niilete tu yeye niumaarufu tu lakini mmm Esha usikate tama .sio vizuri nyinyi kila wakati ni shilole apewe tu
@willyclassic9263
@willyclassic9263 Месяц назад
Hawa ote hawapiki wanapika wafnya Kaz wao mnshndwa kuelewaa kwel
@MarryDode
@MarryDode Месяц назад
Esha anapika ila anawasaidizi
@user-dk9nc7gh3e
@user-dk9nc7gh3e Месяц назад
Kuta rafiki yangu alikula Kwa Shishi siku moja,lkn anasema chakula cha shilole Bora hata ule Kwa mama lishe mtaani😂😂
@ShabaniAssumani
@ShabaniAssumani Месяц назад
🎉
@Sinzahairstyle
@Sinzahairstyle Месяц назад
Tuongeee kweli mpishi ni esha
@AminakengaKenga
@AminakengaKenga Месяц назад
Yani esha😂 chuki live bila chenga mm nadhan kimya ni kizur
@ICEELECTRICCOMPANY
@ICEELECTRICCOMPANY Месяц назад
Gonga like tufike mbali
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Kumaliza utata washindanishwe waingie jikomoja klammoja apike 😂aumnasemaje
@kherichapa7324
@kherichapa7324 Месяц назад
Shishi atashindwa mpaka atachanganyikiwa ..we Esha ni mtu na nusu 💪
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Месяц назад
Wataunguza banda la kupikia bora tuwaache kila mmoja amalize hasira zake tutawakutanisha mwakani Inshallah M/mungu atujaalia uhai na afya😂😂😂🎉🎉
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Nmecheka sana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Месяц назад
@@KhalidNa-bn4gp We cheka tu naona walikuwa na sababu zao tokea zamani hicho cha tunzo ni corasi tu kiitikio cha nyimbo silioni la kupigizana kelele
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Месяц назад
Wewe esha acha watu wajionee wenyewe usisumbuke jamani
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Hapo ndo kaaribu na kaonyesha yeye JEURI
@AshaAli-f9s
@AshaAli-f9s Месяц назад
Nikiangalia comments zenu wadau wingi mnamsapport esha hii inaashiria zaid kwamb shilole alipendelewa na esha hakutendewa haki kwakweli 😢
@BasuleBasule
@BasuleBasule Месяц назад
Esha Ni Hatar Nyie
@shamimulazaro9518
@shamimulazaro9518 Месяц назад
Esha❤
@ttss7716
@ttss7716 Месяц назад
Toka lini mbara akajua kupika hiyo ni urongo shilole apana sema ni ubaguzi me ni wa kenya lakini hapo ni nop 😂😂😂😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A Месяц назад
Ndio hapo wabara kupika vyakula vyetu vya kizanzibar na kitanga kupika hawajui ndio kwanza wanaviona na ndio kwanza wanavila hio biriani ndio kabusa wanapika michuzi tu masalo ya biriani hasa hawayajui wanajua kutia rangi wali tu huvaa pia wamejua juzi tu na kula vyakula vyetu roho mbaya tu wabongo
@sund2553
@sund2553 Месяц назад
Dina washindi walewale kila mwaka 😮
@chainbre275
@chainbre275 Месяц назад
Afu wote wanafanana 😅😅😅shida ipo
@redemptervictor5006
@redemptervictor5006 Месяц назад
Et ndo alinunia ile Tuzo 😅dada etu mmoja katoa pesa kupata Tuzo
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Месяц назад
Mmh mimi sasa naogopa kuja kula maana vita ni vita mura
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 Месяц назад
Kweli Hajuwi Kupika Shilole Zaidi ya majivuno
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Amekosea sana hapo umeharibu Binti
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Месяц назад
Shilole iko sawa
@user-ln9px2vh6r
@user-ln9px2vh6r Месяц назад
Shishi anajua marketing
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Месяц назад
MBOna sio vibaya
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Месяц назад
Atakuwa mpumbavu kigombania tuzo zilizokuwa hazina hata afya Wala hadhi kitaifa Wala kudunia .. watu wanagombania tuzo za Guinness wao wagombanie tuzo ya Dina who's the fuck is Dina 🤔
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l Месяц назад
😂😂😂😂
@ttss7716
@ttss7716 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 yani bala
@BoklieCutering
@BoklieCutering Месяц назад
Kumbe shida ilianzia huku
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
dinna nae anagawa kirafiki hiz tuzo 😂😂 sio kiuhalali
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Hesha anajua.sana.kupika.wanampendelea sana shishi.sijui.kwa.kujichetua lkn hesha.anajuano
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Shida huyo Esha ajulikani mi ndo naanza KUmwonea hapa wallah
@KhamzatuKitale-kt8rd
@KhamzatuKitale-kt8rd Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@MariaBernard-ev7zl
@MariaBernard-ev7zl Месяц назад
Watu wasiojua kuwa ihi tunzo ni ya watu wanaopambana kuwafanya wateja na mashabiki wafurahi ila tuseme ukweli shishi anajituma bwana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
Esha anakauswahili kwa mbali 😂😂😂 ila anajuwa kupika huyu dada Esha sio mchezo
@SigwaMkinga
@SigwaMkinga Месяц назад
Shilole kupika ajui
@user-dk9nc7gh3e
@user-dk9nc7gh3e Месяц назад
Dina atoke mtaani hata mama lishe huku njee wanamzidi kupika huyo Shishi kama atapa hiyo tuzi 😂😂😂
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k Месяц назад
Atanaminikija tz nitakujakula kwashishi, inatia noma kabisa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
Shishi hajashinda wamemp tu 😂😂😂 hat yy anajua
@teedullah5708
@teedullah5708 Месяц назад
Shishi oyeehh
@vibetz9991
@vibetz9991 Месяц назад
Na Kurogana kupo😂
@mariammariam6356
@mariammariam6356 Месяц назад
HAPO KUNA MPISHI BORA NA MFANYA BIASHARA BORAA
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Месяц назад
Jamani Ester anapika du kiboko chakuka chake. Esha ni kiboko
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 Месяц назад
Kwenye kupika na Radha kiukwe Esha anatisha
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Месяц назад
JAMANI TATIZO NYOTE😅😅😅 ILA SIELEWI MM ACHA NIWE MPENZI MTAZAMAJI JU SIHAWAHI KULA VYAKULA VYAO
@Lulucut
@Lulucut Месяц назад
Anajipendekeza kwa mama tena
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman Esha
@TaarabChannel
@TaarabChannel Месяц назад
Nyi mnayakuza tu mna uswahili mwingi. Tuzo inajieleza ni ya shukrani..munasema vp kua eti hakupenda .....acheni uswahili na unafki😂😂😂
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Месяц назад
Yeye ndio ana uswahili ww mwenyewe ulishawahi kuona mtu akikosa tuzo anatoa tuzo kwa muandaaji wa hizo tuzo kama siyo uswahili
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
​@@rosemahenge9071hapo kaaribu kabisa kajishushia heshima yake hatopendwa hata kwa viongozi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Месяц назад
​@@rosemahenge9071 Hata mimi nimeona Eshe kakosea kakosa angenyamaza alikuwa hana haja ya kumpa tunzo muandaaji kama kajizalilisha hakukubali matokeo 😮😮
@irenemboya7899
@irenemboya7899 Месяц назад
Hahaha kali ya mwaka 😅
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Месяц назад
Eshebuheti anapika Shilole hamfikiii 30% ❤
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Месяц назад
Hukupiga kura
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD Месяц назад
Kwani lazima upike wewe unaajiri wtu wataalamu wa mapishi wtu awaelewiiii😂😂😂😂😂
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b Месяц назад
Pirika baridi
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Huyu dina anaangalia.majina.sio.kipaji.mnafk.mno
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@omanmct135
@omanmct135 Месяц назад
😂😂😂
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Месяц назад
𝐊𝐚𝐳 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐜𝐡𝐮𝐤𝐢 𝐣𝐮𝐮 𝐧𝐝𝐨 𝐧𝐧 😢😢😢𝐍𝐚 𝐰𝐚𝐯𝐢𝐜𝐡𝐨𝐜𝐡𝐨𝐫𝐨 𝐦𝐚𝐦𝐚𝐧𝐭𝐢𝐥𝐢𝐞 𝐯𝐢𝐩𝐢 𝐭𝐮𝐳𝐨𝐳𝐚𝐨 😂😂😂😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Месяц назад
😂😂😂 Esha anajuwa kupika sana , Sema shilole uchawi ndo unambeba nakumpa jina basi
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
We ndo mganga wake itakua
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Месяц назад
​@@joycehaule9717 Umeniwahi nikitaka kumjibu hivo
@alsam4881
@alsam4881 Месяц назад
Esha Buheti anatokea Tanga na wanawake kutoka Tanga ni wapishi hodari sana, chakula chao kingi sharti kwa tui zito la nazi, na hiyo Tuzo alistahili kupata Malkia wa mapishi Esha Buheti na siyo huyo Shilole anayotoka Tabora Igunga aliyozowea kupika mboga za majani na kuweka karanga.
@saeedalyahmadi1738
@saeedalyahmadi1738 Месяц назад
Kila sehemu Wana chakula chao asili so Kila mmoja analadha zake😅 we vipi bwana kama tabora karanga mnataka tz mzima wale karanga na kama huko pwani nazi unataka kutuminiaha nazi ni chakula Kwa tz nzima😢hee
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Shida hajulikani
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Месяц назад
😂😂😂mange alisema shilole anasaga juice leo nimeamini maana chakula ajui kupika labda juice ya mama kizimkazi
@user-ec2yl7hv6z
@user-ec2yl7hv6z Месяц назад
😂😂😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
😂😂😂afu nyie
@ICEELECTRICCOMPANY
@ICEELECTRICCOMPANY Месяц назад
Gonga like tufike mbali
Далее
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 760 тыс.
Friends
00:32
Просмотров 207 тыс.
If you know these words, your English is excellent!
16:49
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 760 тыс.