Тёмный

Vita Ya Maneno Lyrics - Arnold Juma ft Anne Koyo 

Hyp Tunes
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 334
50% 1

Vita Ya Maneno by Arnold Juma✔
Official Video : • Arnold Juma ft Anne Ko...
🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! Subscribe for more Videos
Arnold Juma. Follow Here👇👇
RU-vid: / @ajm_ke .
Vita Ya Maneno Lyrics :
STANZA 1
Vita ya maneno
mimi sina nguvu yakujibizana
kuyatematema mambo hapa pale
uitue ganzi kinywani kwangu.
Nisiwe mbishi
weka kituo ulimini kwangu
nisinene yachomayo wengine tena
niwakere Kwa matamshi yangu X2
CHORUS
Ulimi wangu unyamaze
usiseme kila Jambo
Usipaze sauti Na kujipa majigambo
wakupige kumbo wanaokuchunguza
Uyapunguze maneno yako
mtegoni usiwe chambo
ukisema jichunguze usiteleze
kuna watu na mitambo
watakafanya umbo X2
STANZA 2
Nisiwe Mwepesi
wa hasira niingie mtegoni
subira iwe nguzo ulimini
nisije kusema uozo
Tena wakuone zuzu
Kwa Jambo lolote lisilo la juzu
dhaifu mshika bomba ujiweke
ngambo lile hapo ndipo utafuzu X2
CHORUS
Ulimi wangu unyamaze
usiseme kila Jambo
Usipaze sauti Na kujipa majigambo
wakupige kumbo wanaokuchunguza
Uyapunguze maneno yako
mtegoni usiwe chambo
ukisema jichunguze usiteleze
kuna watu na mitambo
watakafanya umbo X4
Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics
RU-vid: / @hyptunes
TikTok: / hyptunes
⏸⏹Send your Submissions to: hyptunes.main@gmail.com⏮⏮
All credits goes to the rightful owner.
⭐No copyright infringement intended / Don't reupload
💌hyptunes.main@gmail.com💌
IF WE HAVE UPLOADED YOUR SONG AND YOU WANT US TO DELETE IT.
PLEASE CONTACT US ON EMAIL AND WE WILL DELETE IT IMMEDIATELY
#hyptunes #vitayamaneno #arnoldjuma #annekoyo

Видеоклипы

Опубликовано:

 

25 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Arnold Juma ft Anne Koyo Vita ya Maneno/Ulimi Wangu
5:05
Mwimbie Bwana - Your Voice Melody Lyrics
7:13
Просмотров 1,7 тыс.
100 Дней Хардкора в Valheim | Ashlands
2:08:53
KIJITO CHA UTAKASO #Tenzi za Rohoni.
9:13
Просмотров 85 тыс.
NAYEON "ABCD" M/V
3:42
Просмотров 25 млн
Şəbnəm Tovuzlu - Həsrət Qalasan (Yeni 2024)
3:31
Просмотров 750 тыс.
5УТРА - Как твои дела
2:55
Просмотров 479 тыс.