Тёмный
No video :(

VITASA | Said Mkola vs Said Bwanga (TKO) | Dar Boxing Derby 29/06/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Said Mkola amechezea TKO kutoka kwa Said Bwanga katika vita kati ya Mbagala na Manzese. Ilikuwa fight moja ya maana mno, raundi zote nane zikiwa na moto mkali, huku kila upande ukionja sakafu kabla ya raundi ya nane…
Tazama pambano zima, tazama TKO ilivyotokea
Lilikuwa ni pambano la saba katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
#NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@abduryjumbe7447
@abduryjumbe7447 2 месяца назад
Champions ni mmoja tuuu Bwanga Mbagala finest na dada Yao sada Mkola tushamlamba
@user-ye7ij4nr2o
@user-ye7ij4nr2o Месяц назад
Bondia wangu sku zote ni bwanga mpeni sana shavu ana kitu 🔥 🙌🙌
@mohamedabdalla5302
@mohamedabdalla5302 2 месяца назад
Said Bwanga Nimependa Boxing Yake Huyu Dogo Ni Full Package 🔥🔥
@SaidiApollo
@SaidiApollo Месяц назад
Familia nakuona mbali sana BWANGA..KAZA KAKA AMINI ILO NATAKA YULE MTOTO WA KIZULU UMKALISHE AMINI FAMILIA
@MadiniMadinariBorntofight
@MadiniMadinariBorntofight Месяц назад
Big up sana Mkola punch ziko na unarusha mawe
@edunyedetembaa5322
@edunyedetembaa5322 Месяц назад
Nice
@paulmwangoka
@paulmwangoka Месяц назад
bwanga ni chanpioni
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Месяц назад
Bwanga🎉🎉🎉❤❤ mkola bado Sana ww kanyonye
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb Месяц назад
Side Bwanga 💪
@paulmwangoka
@paulmwangoka Месяц назад
bwanga unatisha Sana nakupa BG up
@greysonmandai132
@greysonmandai132 Месяц назад
mshindi kapatikana kihalali toka mwanzo huu dogo alikuwa makini sana ,ila ni mabondia wazuri sana waendelee kukaza buti
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 2 месяца назад
Bwanga na mkola wote mabondia wazur
@SaLuChampeZ
@SaLuChampeZ Месяц назад
Sawa Bwanga kashinda lakini refaree kazingua ili mtu ahesabiwe bas lazima aliemueka chini mwenzio arud kweny kona ndo refaree aanze ku count lakini Bwanga bado yuko hapo hapo araf refaree anahesabu hii sio Sawa kabisa
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 месяца назад
Bwanga kabebwa
@RegnaldZamberi
@RegnaldZamberi 2 месяца назад
Ize
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Месяц назад
Said bwanga yuko anjua kam davis tank
@liaonaoliver18
@liaonaoliver18 Месяц назад
tank unamjua vzr kaka
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Месяц назад
CHAMPION
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 месяца назад
Punguzeni Mahaba
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Месяц назад
Mbagala boy wajna bwanga
@Ram_1893
@Ram_1893 Месяц назад
Vijana wameonyesha ubora mkubwa sana Aliyepata matokeo chanya amestahili 🥊
@Hemed-b2v
@Hemed-b2v Месяц назад
Bwanga kashinda kihalali kaza dogo utafika mbali unajuwa kajanja
@SalumkifuLukwe-wk7sp
@SalumkifuLukwe-wk7sp Месяц назад
Bwaaaaaaaaaanga
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Месяц назад
kweli hii ilikuwa derby maana sio mchezo
@abubakarjumakhamisi370
@abubakarjumakhamisi370 Месяц назад
Mechi drooo
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 2 месяца назад
Huyu bwanga ndy wa madafu au mkola
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 месяца назад
Nyie mnao ongea mna mapenzi na Bwanga ila kachapika tu
@athumanimakange9346
@athumanimakange9346 Месяц назад
Wewe hizo body panchi ndio kachapika, bwanga yeye alikua anascore kichwani tu
@user-zg6ne2nn9w
@user-zg6ne2nn9w Месяц назад
Kuna watu wengine hawajui ngumi wasikusubue bro​@@athumanimakange9346
@donmafarasi2443
@donmafarasi2443 Месяц назад
Ujui ngumi wewe akijifunze acha majungu
@donmafarasi2443
@donmafarasi2443 Месяц назад
​@@user-zg6ne2nn9wni kweli kabisa ana anachokijua uyo
@user-ze8hp1ls6t
@user-ze8hp1ls6t 2 месяца назад
Kushindwa sio rahisi na kutoa droo marufuku
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Месяц назад
Umepigwa
@FatumaPepeyu
@FatumaPepeyu Месяц назад
Bwangaaaaaaaaaaaaa
@DatzKay-dz9wv
@DatzKay-dz9wv Месяц назад
Ila azam max mnazingua sisi tulioko nje ya nchi tunapata tabu sana
@user-ob6cm8gs2y
@user-ob6cm8gs2y 2 месяца назад
Acha taarab ww kigugumiz
@ndarnationsoundtz
@ndarnationsoundtz Месяц назад
Uyo mtot ndo anamhitaji ibra class ataxia uwanjani
@RegnaldZamberi
@RegnaldZamberi 2 месяца назад
19:05
@salumabdallah852
@salumabdallah852 Месяц назад
Bwanga AK 47
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Месяц назад
Watangazaji wasenge
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Месяц назад
Saidi Mkola amedhulumiwa Kwani ameshinda round nyingi zaidi, round aliyoipoteza Ni hiyo aliyopata knock down basi Sasa iweje mshindi awe Saidi Bwanga? Mbona Kiduku alipigwa knock down na Dullah Mbabe round ya kwanza Kisha akashinda round zilizofuata na akapewa ushindi wake? Majaji Mungu anaeaona watu wanamwaga jasho hapo ulingoni mjue!!!
@athanasmgungusi9996
@athanasmgungusi9996 Месяц назад
Washamba wamemdhurumu , hawa was waswahili ni shida sana . Mkola ameshinda very clean . Amescore kuanzia raundi ya 1 hadi ya 7
@rogertuga007
@rogertuga007 Месяц назад
@@athanasmgungusi9996 mliangalia pambano tofauti na hili labda
@yunusmbonde8890
@yunusmbonde8890 Месяц назад
Watazamaji wengi hamjui shiria ya ngumi hamuoni penat nyie mnaangalia bod mkola Bodo Hana nidham ya 32:59 mchezo yeye mwewe kadondoka mala mobili hasemi ajipange tena
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Месяц назад
Safi Bwanga aliangushwa Ila refa hahumuhesabia ola Saidi Bwanga ali po muangusha Saidi Mkola kabla hata hajarudi kwenye Kona yake refa ameanza kumhesabia!!. Hii ni dhuluma, tunataka pambano hili na like la Nasib vs Choki yarudiwe. Semunyu....Semunyu...Semunyu .....turudishie haya mapambano mawili tafadhali.
@rogertuga007
@rogertuga007 Месяц назад
😂😂😂kama hutaki dhulma ulitakiwa uongelee na raundi ya 3 Mkola alivyopelekwa chini nae hakuhesabiwa.
@abduryjumbe7447
@abduryjumbe7447 Месяц назад
Jibizaneni mukumaliza tulieni sisi kazi tushamaliza
@donmafarasi2443
@donmafarasi2443 Месяц назад
​@@rogertuga007nikweli kabisa ata mkora akuhesabia haki bin hami😂😂
@FabianMkirikiti-fn9mb
@FabianMkirikiti-fn9mb Месяц назад
Nipo na wewe naunga mkono hoja
@JosephevansLyimoo
@JosephevansLyimoo 2 месяца назад
Bwanga mtu mbadi
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 41 млн