@@luganosheyo1128 yani wajitolea kumpenda mtu miaka 3 alafu akuona kama hamnazo mimi husna sisemi kama sintopenda tena ila dah hapana yani nikimuona Thomas hivyo najina ni mimi kabisa najikuta nalia peke yangu yani
Kaz nzur ila inabid mchekeshe siyo kuweka igizo la muda mrefu kuliko vichekesho,,najua hii ni serious comedy ila vichekesho vitake place that is my advice