Тёмный

Viungo / spices za kiswahili | Viungo tofauti vya jikoni na matumizi yake. 

Rukia Laltia
Подписаться 401 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
If you would like to watch English video press the link ➡️ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TFVutmTlL3M.html
@blessedchrists3995
@blessedchrists3995 4 года назад
Thanks so much for sharing Rukia, this means a lot. Your spice jars are so beautiful.
@kingswamai3873
@kingswamai3873 Год назад
Ahsante sana Rukia. Unachangia sana katika ukuzaji wa lugha hii teule ya Kiswahili !!! Video hii imenielimisha katika upishi na pia katika lugha ya Kiswahili. Shukran za dhati !
@rahmarahma6259
@rahmarahma6259 4 года назад
Mashaalla rukia uko vizuri sana,uminifundisha kujua baadhi ya masalo,kwani wengi hawazijui,na kukubali ww na aroma znz,hakika mko vizuri mashaallahu
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Asante sana ❤️
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 4 года назад
@@RukiaLaltia Dada naomba namba yako nikutafute binfsi tuwasiliane
@fatihiasalim8753
@fatihiasalim8753 3 года назад
Mashallah Mashallah
@aishahemed138
@aishahemed138 4 года назад
MashaaAllah,tufahamishe jinsi yakutengeza spices, nimepnd sanaaa, na napnda mapishi yko
@sitihassan9439
@sitihassan9439 4 года назад
MashaAllah na jars zako nazo MashaAllah
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 года назад
MashaAllah tabarakaAllah naomba ukipata mda utuonyeshe video ya iyo carry powder ya samaki
@naylajamal8849
@naylajamal8849 4 года назад
Thanks a lot rukia u r da best
@aminasjoekitchen7959
@aminasjoekitchen7959 4 года назад
Vikopo vizuri Sanaa hivyo vya spices Masha Allah👍
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Shukran ❤️❤️
@didatratranee2531
@didatratranee2531 4 года назад
Rukia dia nilikuomba uniambie ninaduka nahitaji kuweka snacks ambazo hats zikilala haziharibiki tafadhali nisaidie ili niweze kuongeza kipato kiwe unique nijibu tafadhal
@Qadar-vx4gj
@Qadar-vx4gj 4 года назад
Shukran Jazaka-Allah Kher
@tanimbarak4366
@tanimbarak4366 3 года назад
Vizuri sana ila ingependeza zaidi kufafanua kwa mfano curry powder ya sambusa na kababu imechanganywa na viungo gani na gani
@sitijannah8322
@sitijannah8322 4 года назад
MashaAllah Ahsante sana, hizo jars best niko nazo tele my best coffee "Douwe Edgberts" comes in those jar Do you have recipes, in what ratios you can make those those spices at home? ( The curries and the masalas)
@zuhurazuberi9720
@zuhurazuberi9720 4 года назад
Namba unitajie hirini kwa Kingereza na binzari nyembamba
@sitijannah8322
@sitijannah8322 4 года назад
@@zuhurazuberi9720bizari nyembamba ni cumin Hiliki ni cardamon
@zuhurazuberi9720
@zuhurazuberi9720 4 года назад
@@sitijannah8322 asante
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 года назад
Shukran allah akulipe kheri
@happymassawe4417
@happymassawe4417 3 года назад
Asante. Tunaomba utuambie matumizi ya AJI-NQ-MQTO, faida ma madhara yake katika chakula tafadhali.
@munnyswaleh6107
@munnyswaleh6107 4 года назад
Assalamu aleykum...nko hpa Mombasa Kenya...spices hizo ntazipata wapi?
@happynessmolla1781
@happynessmolla1781 4 года назад
Asante kutuelimisha maana vingine nilikuwa sivijui.
@hidayamohammed3877
@hidayamohammed3877 4 года назад
Allah akubarik
@meaningoflife651
@meaningoflife651 2 года назад
Aisee thanks a lot
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 года назад
Maa Shaa Allaah
@rehemajackson8453
@rehemajackson8453 4 года назад
Asante sana mumiii
@mamunote3507
@mamunote3507 4 года назад
Mashallah Mashallah Shukran sana Habibity
@mohammedally9208
@mohammedally9208 Месяц назад
Nice one
@hoodhood899
@hoodhood899 4 года назад
Shukran antie rukia
@odethamathew8920
@odethamathew8920 4 года назад
Thanks a lot dear
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 года назад
Hzo jars za mwanzo zenye silicon seal kipindi sina coffee machine nilizipata nyingi kwa kununua coffee. Maa shaa Allah nzuri ilikua sizitupi😂😂😂
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Haha 😅mashallah sana nzuri eeh hizi nescafe coffee I have 1
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 года назад
@@RukiaLaltia, zangu ilikua douwe egberts coffee🤩🤩🤩
@furahinishechonge5698
@furahinishechonge5698 4 года назад
Asante umenielimisha sana napenda sana mapishi
@alphashao
@alphashao 3 месяца назад
asanth
@evagadiel2824
@evagadiel2824 3 года назад
Napenda kujifunza Sana asnt
@mbodze6668
@mbodze6668 4 года назад
Spices jars zako ni nzuri...Ulizununuwa wapi?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Maduka ya vyombo
@dydahjahadhmy4920
@dydahjahadhmy4920 4 года назад
Try check nawal centre
@sadahuwase8614
@sadahuwase8614 4 года назад
Asante sana kwa viungo. Na basilic leaves nitaeza kuitumia kwa cakula gani?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Kwa mchuzi
@issamdoe3330
@issamdoe3330 4 года назад
Hi rukia naomba kujua ni coffee gani naweza tumia kwaajili ya michirizi au yoyote tu ya unga
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-JPSigJkCNFM.html. Video ipo tayari
@issamdoe3330
@issamdoe3330 4 года назад
@@RukiaLaltia Asante
@AzminaMuhaji
@AzminaMuhaji 3 месяца назад
Mashallah
@hamidurashida7834
@hamidurashida7834 4 года назад
Nilukuwa nasubiri...Da Rukia nigawie hivo vikopo
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
😂😂😂 🙈🙈
@hurumadaniel6977
@hurumadaniel6977 3 года назад
Helow, naomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata darasa la kujifunza kutengeneza Spice ana kwa ana na si online
@shabanimlahagwa105
@shabanimlahagwa105 4 года назад
asante kwa hiki bt naomba sauti pia ikuwe kubwaaa tuko pamoja
@nelicekelly6289
@nelicekelly6289 Год назад
Vyombo vyako ni vizur sana
@ashamidello8298
@ashamidello8298 4 года назад
😘😘Shukrani kipenzi
@doctormkawa3313
@doctormkawa3313 4 года назад
Thanks dear
@FatmaAboubakar-z7o
@FatmaAboubakar-z7o 5 месяцев назад
Shukuran dada
@veromwasamila967
@veromwasamila967 2 года назад
Asanteee
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 года назад
Maa shaa Allah
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 года назад
Vizuri km ungesema vya mix nini na nini ili iwe raisi mtu kutengeza mwenyewe
@beatriceluhende4671
@beatriceluhende4671 4 года назад
Hilo kabati bei gani kulitengeneza na friji kama hyo na hyo oven na microwave
@mbodze6668
@mbodze6668 4 года назад
Asante manake zingine nilikuwa sijui
@ablatuny5406
@ablatuny5406 4 года назад
Thanks habibty wangu
@najjyali8176
@najjyali8176 4 года назад
Shukhran sis
@monalisahcalvin379
@monalisahcalvin379 4 года назад
Nzuri sanaa hii
@bukhitembarak91
@bukhitembarak91 4 года назад
Shukran Sana Aunty
@vailethsteven6146
@vailethsteven6146 3 года назад
Antie lukia nakufwatilia sana video zako manjano natumiaje kung'alisha uso
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 года назад
Changanya na maji ama rose water
@fatmasule1175
@fatmasule1175 4 года назад
Nakupenda bure mashallah
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 года назад
Masha'Allah nice video sista 🥰
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Shukran sista
@isayaos5416
@isayaos5416 2 года назад
Je, vitu hivyo nina weza kupata wapi?
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 4 года назад
Spices unatengeneza mwenyewe?
@JoyceMulokozi-pv5sd
@JoyceMulokozi-pv5sd Год назад
Naomba unierekeze jinsi yakuchanganya asari na kahawa
@vanessaiwato4480
@vanessaiwato4480 4 года назад
Dada eti io jumbo kwenye supu unawekaje
@esthermbogo2056
@esthermbogo2056 Год назад
Na mnapatikana wapi
@happinessmwaipopo5979
@happinessmwaipopo5979 4 года назад
Good,,,, ila naomba video ya pishi la Sharif,,,,
@gladysikunga1652
@gladysikunga1652 4 года назад
In Nairobi where can one buy all this
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Sorry I actually don't know where you can get them in nai
@getrudemembe4236
@getrudemembe4236 4 года назад
Thank you so much Rukia
@badrahibrahim6867
@badrahibrahim6867 6 месяцев назад
Hello nifundishe kutengeneza viungo hv vyote
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 6 месяцев назад
😂😂😂😂biashara ya mtu siwezi toa Siri
@starexraheem3901
@starexraheem3901 3 года назад
Nilikuwa naomba unielekeze jinsi ya kuandaa hivi viungo from scratch. Yani kuvisaga mwenyewe
@halimamohammed856
@halimamohammed856 4 года назад
Samahani naomba kujua tofaut ya curry powder ya kabab na samaki
@bintmohamed4136
@bintmohamed4136 2 года назад
Naomba kujuwa matumizi ya coriander powder
@aishakisusu5480
@aishakisusu5480 4 года назад
Asante
@zuwenasabeya1269
@zuwenasabeya1269 3 года назад
Mashaallah 😍
@leilahmohamed2225
@leilahmohamed2225 3 года назад
Sorry niviungo vip unaweza kuweka kwa supu yoyote ikajoga????
@fatmaomar8180
@fatmaomar8180 3 года назад
Da rukia baharat kiswahili jina lake plzz
@mukiAurelia
@mukiAurelia 4 года назад
Hi, where do you get your spice jars?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
I buy them from utensils shop
@aminachappa7885
@aminachappa7885 4 года назад
Twazipata wapi My dear Siz
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Maduka ya vyombo
@munnayahya1165
@munnayahya1165 4 года назад
Duka LA kiponda...linaitwa Ankal! Ankal....pia anazo chupa hizo
@meaningoflife651
@meaningoflife651 2 года назад
Jamani anae jua sehem nakoweza pata ivi viungo vyote
@ReylaMaiko-ls9mc
@ReylaMaiko-ls9mc Год назад
naomba mafunzo zaidi ya kutumia viungo hivyo
@bintsaidhamisi3045
@bintsaidhamisi3045 4 года назад
👌
@rashdaomary8339
@rashdaomary8339 2 года назад
Naweza kuvipata wap vyote ,mm nipo kigambon ,na Bei yake n Bei gan
@jofreychongo1777
@jofreychongo1777 2 года назад
Mimi naomba namba yako Niko Zambia naitwa Asia kunakitu nataka tuongee
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 2 года назад
U can email me thank you (Rukaya.demey@outlook.com
@MwanaidiAli-s8w
@MwanaidiAli-s8w 10 месяцев назад
Nipo zanzbar nitavipata wapi hivi viungo
@najmanassor6377
@najmanassor6377 Год назад
Dear plz naomba unifahamishe sehem nitapata hivyo vikopo
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 2 года назад
Jinamoto sijaona
@rahmatysalim5947
@rahmatysalim5947 4 года назад
Hivyo vikopo ulivyowekea viungo jaman nimevipenda naeza kupata wapi
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Maduka ya vyombo
@munnayahya1165
@munnayahya1165 4 года назад
Vikopo hivo pia vipo ...Unguja ...mtaa wa kiponda...na duka linaitwa Ankal!Ankal!
@esthermbogo2056
@esthermbogo2056 Год назад
Niko Dodoma bei mbona hamtaji
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 4 года назад
Mie nahitaji kiungo kizr cha nyama
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Beefmasala pilipilimanga na garamasala
@judithbariki1351
@judithbariki1351 4 года назад
Naomba unijuze thaimu na labania
@JoyceMulokozi-pv5sd
@JoyceMulokozi-pv5sd Год назад
Irikuondoa michirizi nikahawa yyote
@hanifamati8915
@hanifamati8915 4 года назад
Natamani kujua jinsi ya kusafisha sinki kwa hyo hamira mana ndo nasikia leo
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
😳😳😳hamira kusafisha sink noo ni baking soda
@mbodze6668
@mbodze6668 4 года назад
Haha ata mm Da.Rukia nilikuwa nishangae...Hamira tenaa😲
@mariasshilla4528
@mariasshilla4528 4 года назад
Mm naomba kujua kahawa jinsi ya kutoa michirizi pls
@hanifamati8915
@hanifamati8915 4 года назад
Eeh nilisikia kwenye hamira ndo nikashangaa, ngoja nisikilize vzr
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 года назад
Nimesikia hamira inasafishiwa sink masikio yamenisimama, mana naisaka yakupikia imepotea madukani kabisaa🤔
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 4 года назад
Kama unge kua na mbengu ingekua bora kuzifaham
@hunnamkevo7023
@hunnamkevo7023 4 года назад
unaweza nipatia majina yote ya hivo viungo
@issamdoe3330
@issamdoe3330 4 года назад
Na unatumiaje tafadhali
@biramsakh9212
@biramsakh9212 4 года назад
🌹❤️👍👍👍
@shelamsongwe8500
@shelamsongwe8500 3 года назад
Hauna darasa la mapishi
@fatumahamza8498
@fatumahamza8498 Год назад
Nahitaji
@sitihassan9439
@sitihassan9439 4 года назад
MashaAllah na jars zako nazo MashaAllah
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 года назад
Asante sana
@annarichard2886
@annarichard2886 6 месяцев назад
@@RukiaLaltiakama unauza viungo tunaomba namba
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 года назад
Maa Shaa Allah
@Maryammohd-z9e
@Maryammohd-z9e 6 месяцев назад
Mashallah
Далее
VIFAHAMU VIUNGO MBALIMBALI VYA CHAKULA/MAHANJUMATI
32:40
BASIC SPICES AND THEIR USES // #SPICES
21:06
Просмотров 84 тыс.
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 602 тыс.
CHAI YA MUME INAFAA KUPIKWA HIVI‼️
2:32
Просмотров 99 тыс.
VIUNGO SITA MUHIMU JIKONI KWANGU
3:56
Просмотров 3,3 тыс.
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
VIUNGO 30 VYA KUPIKIA @FoodloversTz SPICES ZA JIKONI
7:52