Тёмный

VURUGU KALI MSIBANI WAOMBOLEZAJI WAGOMA WAZIRI MASAUNI ASIONGEE MSIBANI KWA ALI KIBAO,MBOWE ATULIZA. 

John Ngollo
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#mbowe #chadema

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge 8 дней назад
Jamani Hawa walio fanya hàya mungu awashughuliki yule Alie sema polisi kijana na kisimu Cha tumpote leo yupo Hulu watu wanapote eemungu tetea inchi ya wahuni na wapenda masilahi yesu ateswa msalabani
@JohnSulle-r4q
@JohnSulle-r4q 8 дней назад
Poleni
@AbediTwaha
@AbediTwaha 7 дней назад
Serkali ichunguze sasaivi niwakati wa uchaguzi,yawezekana kabisa aya mambo ya utekaji chadema inausika,inatia mashaka kwanini kiongozi azomewe?tena nawafuasi wa chadema?tena mpaka Raisi anatukanwa,sibule kunajambo apo kunasintofaham serkali iwe makini na ikichama,chamaiki kitaketa machafuko kwenye nchihii.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Mahakama ya serikali ya Samia itafanya nini? Haiwezi hata majaji wamekuwa machawa badala ya kufuata sheria
@knight6757
@knight6757 8 дней назад
🙆‍♂️🤔
@gustafmbemba1027
@gustafmbemba1027 8 дней назад
Kwanin maneno mengine umeyakata
@PetroKadel
@PetroKadel 8 дней назад
Masauni ajihudhulu wizara imemshinda
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Kama wao hawana shida tuombe mahakama ya UN watusaidie.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Masauni umeshindwa wizara hata naibu kubwa kako hata kwenda kwenye msiba ambayo mmeuakisi wenyewe. Msauni na Mama yako mko kumaliza vijana na sasa mnaanza watu wazima. Hamna aibu kudharirisha watu wazima mpaka mnammwagia tindikali. Wewe jangiri kwenda hiyo sehemu kweli kunakitakacho fanyika? Wangekupiga pia na kukutupa huko Tanga kuna misitu mikubwa wakutupe huko huko.
Далее