Тёмный

Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni | Maisha Magic Bongo 

Maisha Magic Bongo
Подписаться 513 тыс.
Просмотров 525 тыс.
50% 1

Je ulitazama #kapuni wiki hii? Hali ni vituko na visanga, kama ulipitwa yaliojiri ndio haya, Koku apata kipigo cha mwaka, Brown bado hapatikani, Liwalo na liwe Robert anaamua kufika kwenye mazishi, Brown anawasiri -atisha kufukua kaburi, nani atamtetea? usikose #kapuni kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku.
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: maishamagicbon...
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 5 лет назад
Team Recho nani yuaona vibao Recho anavyompiga jini kisirani havijamtosha aongeze
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 5 лет назад
Asha Swaleh yaani ningekuwa karibu nigemusaidia
@Fatu-yq3pr
@Fatu-yq3pr 5 лет назад
Asha ksma angeitaj msada mm ningekua wakwanz
@rakbinhemidi3992
@rakbinhemidi3992 5 лет назад
Asha nimimi apa tena ata robo avijafika
@wifematerial8943
@wifematerial8943 5 лет назад
Jini Kisirani kweli kafata nini msibani kama c umbea
@hildegaldamushi6110
@hildegaldamushi6110 5 лет назад
Aongeze kwa kweli
@visionman8277
@visionman8277 5 лет назад
tunaomkubali recho likes zetu hapa
@sararashid5150
@sararashid5150 5 лет назад
Amosi Mburu
@chizainazahrrey4397
@chizainazahrrey4397 5 лет назад
Nampenda sana
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 2 года назад
Yaan kapuni bonge la move kama juakali tu
@mariyammuhammed4428
@mariyammuhammed4428 5 лет назад
Safi sana Recho hongera kwa kumtia adabu koku
@mariajuma9223
@mariajuma9223 4 года назад
Vizl lecho
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 лет назад
This people they are so creative clap 👏✌💕 for them
@annadotto2429
@annadotto2429 5 лет назад
Recho hivyo vibao havimtoshi huyo mwanaharam ungempa vya kushiba ili wakasimliane vzr na huyo kahaba mwenzie
@vennymaxmillian9505
@vennymaxmillian9505 5 лет назад
Koku Kumbe mdomo tyuuu huna lolote ,,, vibao vya hela yote
@zaneenbeauty
@zaneenbeauty Год назад
Kapuni ilikua nzuri Jamani sijui ntapata wapi mwanzo mwisho iliokamilika bila kuruka hata kipande kimoja
@tundaclassic2704
@tundaclassic2704 5 лет назад
Hahaha brown Malaya wakawaida eleweki ampenda Nani kila amuonae amtolea macho hehehe
@mohamedabdalah9124
@mohamedabdalah9124 4 года назад
Nimeipenda sana igizo
@patramoisam256
@patramoisam256 2 месяца назад
Am team recho all ways n all years❤
@mukaipeter2186
@mukaipeter2186 Месяц назад
Nampenda sana recho
@dizobaba4681
@dizobaba4681 3 года назад
Anaweza je du
@violethkileo7703
@violethkileo7703 5 лет назад
Brown kavurugwa 😢Jamani Recho sijui upo kwny hali gn 😭😭hii move inamafunzo mengi sana bigup💪kwa alietunga hii storry 💪💪
@azzamohamed6649
@azzamohamed6649 5 лет назад
Majumbani kuna mengi 😢😢😢 wapi wanaume kama brouw 😭😭😭
@hjhj6230
@hjhj6230 5 лет назад
Hakika ndoa zina siri kubwa nikejifunza kitu kupitia Recho
@azzamohamed6649
@azzamohamed6649 5 лет назад
Yani haya yanayoigizwa yapo kabisa yakiwa hayaja kufika unaona kama igizo lakini sisi tunaopitia changamoto hizi kwa kiasi kidogo tunaelewa nini kinachofanyika hapa
@youngmwema5266
@youngmwema5266 5 лет назад
Bora jack wa watu kazikwa
@everlinekavula9198
@everlinekavula9198 5 лет назад
Tunangoja full,kichapo😂🤗
@edresallrab85
@edresallrab85 5 лет назад
Recho km mm ningekua rais bas ungekua bodigadi wangu wallahi tn wew dada ninoma San ila vle vibao vimemuinhia koku🤣🤣🤣umenifurahisha kuwadi was mume wa mtu hongera recho brown broo 🤣🤣🤣kivuruge kwel kwl mawenge ila nakukubali sn unayaweza🤣🤣🤣
@mpenzujaneth7119
@mpenzujaneth7119 5 лет назад
Safiii! Hapo Rachel umenifurahisha
@normansanga4305
@normansanga4305 5 лет назад
Hvyo vibao nimevipenda jomn🙌🙌🙌🙌
@mudasina900
@mudasina900 5 лет назад
Mimi pia alistahili amuengezeee
@emmanuelmagembe876
@emmanuelmagembe876 4 года назад
Brow hakika unajua kuigiza kweli kaka nakukubali sana
@bintinasseb8527
@bintinasseb8527 5 лет назад
Jamaniiiiiii msituwekee nusu nusu Plz 🙏
@shadyjuma7688
@shadyjuma7688 5 лет назад
Mbn mtatuwekea tuvipande tufupi sana.. Na hazieleweki yaaan pangilieni vzr tunaomba na muweke dakika nyingi pls naombeni jmn me mpenzi wa kapuni ila hvy ambao hatuna dstv mbn tutakomaaa
@tinafrenk5540
@tinafrenk5540 5 лет назад
Safi sana Sabrina rupia yupo
@shadyjuma7688
@shadyjuma7688 5 лет назад
Pangeni kama maneno ya kuambiwa series itakuwa taamu sana jmn mnaweka dakika4 wakti inatmiaga kama nusu saa
@hamissatweetshamissatweets1310
Hayaaa nasubir mwendelezo jmni ❤️❤️❤️
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 5 лет назад
Uwii muvi tam
@wonkentshuntshe761
@wonkentshuntshe761 3 года назад
Nakubali
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 лет назад
Huyu ni bora baba sio baba bora
@zakiasaidi5922
@zakiasaidi5922 5 лет назад
Braun analeta uchuro kwakweli recho jamani looh huruma sana
@fransiscakimaro9036
@fransiscakimaro9036 5 лет назад
Mwendelezo
@extamwaijuni3199
@extamwaijuni3199 5 лет назад
Mchungajii uko vzr🤩
@nurafedrick378
@nurafedrick378 5 лет назад
Kok mwanamke asiyetosheka nawanaume loo kazi ipo
@jescamundo7794
@jescamundo7794 5 лет назад
Love u odama
@axiommirgab882
@axiommirgab882 5 лет назад
Situliombali hata hatufaid mnaweka vipande nusu nusu
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 5 лет назад
Kapuni kumenoga sana
@lemmysavye8618
@lemmysavye8618 5 лет назад
Tunaomba muwe mnaweka na youtube
@habibhabiba.saleh.5590
@habibhabiba.saleh.5590 4 года назад
Nc
@SalehAhmed-ic3pf
@SalehAhmed-ic3pf 3 года назад
Season nzuri
@hamislucas6252
@hamislucas6252 5 лет назад
Kumbe ulipigwa hiv duuu
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 5 лет назад
Daaaah koku umenifelisha ungekaza ata kdogo
@marylandmary4067
@marylandmary4067 5 лет назад
Huyu mume bwege brown ajiyui na ajitambui huu ni mfano wanaume kama brown wako wengi na wamesaidiwa ulezi
@fatmabakar2107
@fatmabakar2107 5 лет назад
Tupeni full jamani
@Loren_23
@Loren_23 5 лет назад
Kwani hii ni adi tv . Haipo online ata jmn😩
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 5 лет назад
Recho mwongeze vibao ya hela yote jeuri sana uyoo
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 лет назад
Yaani Brown ana visa!!! Oscar amekasirika vibaya!!
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 5 лет назад
Mmejitahidi kiduchuu
@salmaahmed1460
@salmaahmed1460 5 лет назад
Tupeni full episod jamani
@lelamsengi9366
@lelamsengi9366 5 лет назад
safi sana recho
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 5 лет назад
Aisee brown hayupo sawa kashachanganikiwa na dawa za wanawake tofautitofauti
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 15 дней назад
Patamu
@sophiaathumani393
@sophiaathumani393 5 лет назад
Jamaniiiiiiii si mtuwekeeee yoteeee
@mbogojaphet8713
@mbogojaphet8713 5 лет назад
Jaman mbona munatupa kidogo
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 5 лет назад
Yani nyie mnatukosea walai Sisi watu tuko nje ya nchi tunatamani kuona jamani mnatuonea 😢😢😢😢😢😢😢
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 5 лет назад
Brown uso umejaa janapa ungeanguka ww azizimiy recho
@munnababygal8460
@munnababygal8460 5 лет назад
Hatimae mtoto amezikwa
@neemasaidi9895
@neemasaidi9895 5 лет назад
gea
@patramoisam256
@patramoisam256 2 месяца назад
Yea
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 5 лет назад
Brown ni kichaa
@scoretv6834
@scoretv6834 5 лет назад
Lamatellah unajua mpaka basii
@gracebenedict2093
@gracebenedict2093 5 лет назад
Alichokifanya bro kinatia aibuuuuu
@user-nm1je5pt4u
@user-nm1je5pt4u 5 лет назад
wanaume kama hawa wakisha ingia kwenye matako ya wanawake hawaoni hawasikiyi nyuma ya giceko ni ayibu
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 5 лет назад
Duuu Braun kiboko bola nyeusi inaeleweka
@winfridapeter969
@winfridapeter969 3 года назад
Haitokuja kutokea Kama hii
@mercysimon8450
@mercysimon8450 2 года назад
Kapuni
@JohnJohn-fm2qi
@JohnJohn-fm2qi 4 года назад
Mambo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Brown siyo mzima huyu jamani,limbwata limeshamkolea,fujo zako watu wamezichoka watakufunga sasa looooo.eti nifukuwe kaburi simaajabu hayo
@hildegaldamushi6110
@hildegaldamushi6110 5 лет назад
Hili baba vip kma jini
@jenifakayanda8337
@jenifakayanda8337 5 лет назад
leo konku kapatikana recho muongeze vibao huyo
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 5 лет назад
Koku amekomeshwa
@amynamsomaly7883
@amynamsomaly7883 5 лет назад
Brown uishi vituko wewe mwendelezo jamani
@kidotiali9799
@kidotiali9799 4 года назад
Gabo duh
@asherinashoni4526
@asherinashoni4526 5 лет назад
Cokuu sasa mtumie best yako msg kua umechapwa makofi,Eee simulikubaliana kinachojili utatuma msg
@nurafedrick378
@nurafedrick378 5 лет назад
Nasijui mbona huwamwaeka vipande mpakautamuunaisha
@maryouma3460
@maryouma3460 4 года назад
Brown!brown!brown
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Yaani huyu brown jamani☹☹☹
@monahlove117
@monahlove117 4 года назад
100
@didakalaule7840
@didakalaule7840 5 лет назад
Dawa yake koku
@witnesskihaga2241
@witnesskihaga2241 5 лет назад
dawa yake ni dora
@yusfatfadhil6170
@yusfatfadhil6170 5 лет назад
Afadhali ila haziendelei km hiv
@wemapiano4420
@wemapiano4420 5 лет назад
Masikin koku Leo amepatkana
@bbyashreyally761
@bbyashreyally761 5 лет назад
mnazinguw sn mamb yenyew mbn robo robo ndonn ss?
@winifridakawawa4193
@winifridakawawa4193 4 года назад
Huyo mjinga nini...... Yani cmpendi tena mshenzi mkubwa wewe kazi u Malaya tu...... Lione ovyooooo et tufukue kafukue mavi yako
@agnesmutheu6005
@agnesmutheu6005 2 года назад
Am with u Simpendi hata
@saleheselemani7406
@saleheselemani7406 5 лет назад
Sifa ya kapu lina contain a lot of things with different tastes...bt kapu lenu for a 80% ni brown issues only.. .
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
Mzabe mikofi yasawasawa😆😆😆
@maryouma3460
@maryouma3460 4 года назад
Brown we ndo mwanaume unatosha
@gladnessmakundi421
@gladnessmakundi421 4 года назад
Naomba nifukue hahaha
@alimahemed8622
@alimahemed8622 5 лет назад
Koku nimdomo wabur amkanyage
@gladnessmakundi421
@gladnessmakundi421 5 лет назад
Kapuni ni nooma
@iranangole7007
@iranangole7007 5 лет назад
Tatzo lenu vipande vidogo
@wemapiano4420
@wemapiano4420 5 лет назад
Ivi uyo brown anapepo
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Brown malaya asie jitambua
@cathelinmaulid345
@cathelinmaulid345 5 лет назад
Katika yote binafsi sijapenda kipande hiki cha makabulini binafsi msifanye masihala na kifo sio poa kingine hichi kipande kimechukuwa mda mlefu sana kiasi kwamba sisi mashabiki wenu kimetuboa bwana msimba mchezo
@gracemayemba4552
@gracemayemba4552 5 лет назад
Cathelin Maulid sema we kimejuboa siyo sis......n kumbuka hayo ni maigizo tuu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 5 лет назад
Brown kull down ulikuwa wapi kwaza ulitekeleza family sahii ndounaona umhimu wamwanao umalaya umeueka mbele family nyuma sasa subiri matokeo
@jacklinimgeni745
@jacklinimgeni745 5 лет назад
inaonyeshwa tv gan
@nurafedrick378
@nurafedrick378 5 лет назад
Magic bongo
@jacklinimgeni745
@jacklinimgeni745 5 лет назад
@@nurafedrick378 sawa
@beatricemkinga7275
@beatricemkinga7275 5 лет назад
Pumbavu na robo llijakuja ka zombi eti nifukue
@user-rh6jw9np7y
@user-rh6jw9np7y 5 лет назад
Wekeni you tb basi...wengin tuko nch
@trecyjoansen5526
@trecyjoansen5526 5 лет назад
Jamni tausi ety anakambia
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 лет назад
Piga uyo
@Thereishope33
@Thereishope33 2 года назад
Call the police he is crazy
@dadamisele6287
@dadamisele6287 5 лет назад
Brown wewe nikichwa umechukua number ujuu
@mohamedabdallah4846
@mohamedabdallah4846 5 лет назад
brown huyu ni chizi ataka kumfukua mtu aliyezikwa
@nuweirali3376
@nuweirali3376 5 лет назад
Yani brown hutaacha ww
@ingridanna6722
@ingridanna6722 4 года назад
inamaana kila ambae anataka ku post kapuni ana post bila shida? jamani munakwama nyie, tieni ordre mû vi2 vyenu😡😡😡😡😡
@nickodexwagz5877
@nickodexwagz5877 5 лет назад
Jordan nyie kiboko
@tanzaniangirl1980
@tanzaniangirl1980 5 лет назад
Brown unanini lkn
@asmaally8353
@asmaally8353 5 лет назад
KWA MATATIZO YA NGOZI, KAMA MICHIRIZI SUGU, MAKOVU,NYAMA UZEMBE, KUONGEZA SHEPU, N.K,NJOO UANZE NUSU DOZI LEO KWA TIBA YA UHAKIKA, SMS/WHATSAP 0693_330284
Далее
Rachel aomba talaka- Kapuni | Maisha Magic Bongo
3:52
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 55 тыс.
NIA Episode 1
25:49
Просмотров 27 тыс.
Rachel bado hospitalini - Kapuni | Maisha Magic Bongo
3:38
Rachel atoka hospitali - Kapuni | Maisha Magic Bongo
3:25
NANA DOLLZ  AMEFUNGUKA KUFUKUZWA NA BABA YAKE MZAZI
3:30
Brown na Mchungaji- Kapuni | Maisha Magic Bongo
3:28
Просмотров 544 тыс.