Тёмный

VUTA NI VUTE ILIOTOKEA WAKATI MJADALA UKIENDELEA, JANJA JANJA ZA KUKWEPA KUJIBU MASWALI. MUNAQASHA 

KHIDMA TV
Подписаться 37 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

• VUTA NI VUTE ILIOTOKEA... #KHIDMATV

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@SulhiaMohd
@SulhiaMohd Год назад
bachu ni mdhaifu sana, kama angejua angemuacha sheikh said atoe ile khadith lakini akajikanyaga akasema yeye mwenyewe kwamba ni khadith dhaif sasa suali lilokuja limekuwa kubwa kwake mpaka ameharisha kwenye kiti
@JumaMaulid-g3y
@JumaMaulid-g3y Месяц назад
Ustadhi saidi nakupenda sana sheikh wng kwaajli ya Allah akuhifadhi
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Год назад
Hiyo ndio mombasa ya mambrui kitovu cha elimu
@JeilaniAbdulkadir
@JeilaniAbdulkadir Год назад
Alhamdulilahi nimepata faida kubwa sana katika munaqasha wajana baada yakusikia mara kwa mara,kuwa kumbe barzanji ni ukweli ila ilitumika hadithi dhaifu ...lkn hakuna uwongo kwa barzanji. Alhamdulilahi ...
@lusitoally5623
@lusitoally5623 4 месяца назад
Wewe mwenyewe bachu hiZbi
@AbdillahAlly-q6j
@AbdillahAlly-q6j Год назад
Bachu jibu swali
@MohammedTahir-v8i
@MohammedTahir-v8i Год назад
Tumeelewa kuwa maulid si ibada ni maslahi yawatu kwaajili yanjaa tu
@HakizimanaZainabu-f8d
@HakizimanaZainabu-f8d 5 месяцев назад
Masheikh mnazililisha dini ya uislam ilitakiwa mkae chini peke yenu mrekebishane na sio kwenye mitandao ivi mnawapa picha gani wasiokuwa waislam Allah awaongoze
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
"It is difficult to bring a fool into sense" - (Issa bun Maryam, Peace be Upon Him)
@amiryibrah
@amiryibrah 2 месяца назад
Jibu swali ulilo ulizwa
@MbwanaMakamba
@MbwanaMakamba 3 месяца назад
Tatizo la wahabi mwafata mkumbo bila elimu halafu pia hamuwasikilizi mashekh zenu
@IsmailMohd-b5z
@IsmailMohd-b5z Год назад
Bachu elimu yakupiga chenga halafu ubishi umeuweka mbele wasubua wtu2 kwnza kasome kaka halafu ndo uje mombasa heee?
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh Год назад
USIKOSE KUTAZAMA KHUTBAH YA JUM'AH YA SHEIKH BACHU NA JUMANNE ATAKUWA LIVE KUELEZA KITABU CHA BARZANJI MUNKAR YAKE KWA KITABU YAANI MAOVU YKE KUPITIA ALHAJAR TV AU UTAZIPATA BAADAE KWA CHANEL YA SHEIKH BACHU MPAKA KIELEWEKE NA WAELEWE UNASOMA NINI KATKA MAWLID MAANA WENGI HAWAJUI WANACHOKISEMA KWA MAWLID WALA TAFSIRI ZKE ABADAN.
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Год назад
Athibitishe wanyama
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 10 месяцев назад
Kasome afa kuskiliza munakasha kapekue vitabu usomeshwe usiwe kama mjinga
@Salimsaid-nk1qv
@Salimsaid-nk1qv 6 месяцев назад
Nyie mashekhe wote hapo hamna elimu kama barzanji kaandika maneno ya uwongo si muongo?ina maana hadithi ndio inafanya maneno ya barzanji kuwa kweli? Acheni upuuzi wenu kuwadanganya waislamu
@swalehmohamed1590
@swalehmohamed1590 Год назад
BACHU AMEULIZA SWALI KISHA AKALIJIBU MWENYEWE KWA RIWAYA YA ABU NUEIM AKAULIZWA SWALI NA SAID JUU YA RIWAYA AKAKWEPA NA HUKU ATETEWA NA ABU AHMAD..
@mkude
@mkude Год назад
Wewe itakuwa unatabu ya uelewa sanaa.bachu amedhihirisha kitabu Cha barzanji kina munakari dhaifu.hao wanazungusha zungusha wanataka Bachu athibitishe uongo sheikh Bachu amesema hatumjadili mtu tunajadili kilichomo kwenye kitabu Cha barzanji
@swalehmohamed1590
@swalehmohamed1590 Год назад
@@mkude hhhhhhhhhhhh KILICHOMO NDANI YA BARZANJI KIMEANDIKWA NA MTU, UKITAJA KITU KINA ALOKIANDIKA UKISEMA NI CHA UONGO NA YULE ALOKIANDIKA PIA NI MUONGO, BACHU NDO ALOZUNGUSHA WATU NA PIA YEYE NA WENZAKE HAWANA UELEWA..AYA NI ZA MUNGU, HADITHI NI ZA MTUMI S. A. W MANENO YA BARZANJI NI YA NANI, HHHHHHHH, MBONA HAMUELEWI.
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 Год назад
😅Hawa ashabul ubwabwa Wabish na utoto mwinqi, Wameshindwa kuthibitisha Walichoambiwa badala yake nao wanauliza suali. Elimu ndoqo na ubishi tu. Kiufup wamejitekenya wenyew na kucheka wenyew.
@khamismwalim5604
@khamismwalim5604 Год назад
Mjadala wa Ahlu Twariqa vs Mawahabi 1-0
@MuhaMago-ce3bx
@MuhaMago-ce3bx Год назад
Anaejuw ajibu ilitujuwe tusiojuw
@mohamedimcheni2068
@mohamedimcheni2068 Год назад
Bachu kasome
@AbdillahAlly-q6j
@AbdillahAlly-q6j Год назад
Bachuuuu chaliiiii ukome kuwatukana wanazuoni
@SALEHKK864
@SALEHKK864 Год назад
Mtoto wa bach ka shindwa kujibu tena arudu akasome
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Год назад
Hajashindwa kujibu sema kila mmoja anatetea hoja Yake bachu yupo sahihi sema tu hawez kuwabadilisha ispokua Kwa uwezo wa mungu Tu
@HassanKhamis-pz5hy
@HassanKhamis-pz5hy Год назад
Shekh Bach achakuwasumbua watu
@HuzaimaRamadhan-kb1wz
@HuzaimaRamadhan-kb1wz Год назад
Bachu tutajie mwanawazuoni alie thibitisha hojazako
@mkude
@mkude Год назад
A.edhibitisha munakari dhaifu kwenye kitabu Cha barzanji kwahiyo mnasoma kitabu kwenye maulidi ambayo ni urongo ambayo hayajadhibiti Kwa mtume s a w
@MbwanaMakamba
@MbwanaMakamba 3 месяца назад
Subhaanallah nyie wahabi hamna lolote mnakurupuka Sana Allah awasamehe Sana
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
BACHU KATUMWA NA MUNGU.
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw Год назад
Asa kuna mjadala wa nini apo wakati mtu anajibu hoja kwa hadithi zaifu
@issambamba9236
@issambamba9236 Год назад
Tofautisha dhaifu na uwongo.
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Год назад
Dhaifu bachu kaulizwa wanawachuoni gani wamesema ni hadithi dhaifu ni ya uongo bachu kakimbia kiti wewe ni nan mpka unasema hayo
@zigzag4487
@zigzag4487 Год назад
​@@abubakarhussein2186tafsiri ya kitu dhaifu kinafaa kutumika au hakifai
@AbubakarShundi-og8ce
@AbubakarShundi-og8ce Год назад
Yani wewe humuogopi mungu ktk kumtusi mwanachuo unaogopa ulimwengu hakika wewe ni جاهل مركب
@ShamimWanjiru-bm6ve
@ShamimWanjiru-bm6ve 5 месяцев назад
Mambrui hio!!!!
@DeiraKd
@DeiraKd 4 месяца назад
Iyo ime nikosha sana kuona bachu ame kosa jibu
@OmariBakari-p3b
@OmariBakari-p3b Месяц назад
😂
@LibuDaudi
@LibuDaudi 11 месяцев назад
Huyo bachu ni mbabaishaji halafu huongea sana na mtu ambaye huongea sana huwanimbabaishaji.
@abuuzainab8581
@abuuzainab8581 2 месяца назад
Maa Shaa Allah ustadh Saidi
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Год назад
Bachu wew ni mbabaishaji tu huwezi kujibu hata swsli moja wew ni msomi gani huna ilmu
@MahadaAdam-hb7hm
@MahadaAdam-hb7hm 2 месяца назад
Bachu,ni mbabaishaji katika dini anawatowa watu ktk dini anawapa makafiri njia ya kuudharau uislam.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
​@@MahadaAdam-hb7hmsio kweli
@cusmancabdullah7127
@cusmancabdullah7127 Год назад
Walahi bachu ni vitisho tu kumbe
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp 3 месяца назад
Masha Allah Ustadh Said❤❤
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ Год назад
Bachu na ujanja wako wote leo ume pata janjaure Zile hoja zako za kupotosha wajinga leo hazipo tena Ume ulizwa swali dogo lime kushinda kujibu Shida yako ni little knowledge bro kasome mamburui
@safiasaidi3280
@safiasaidi3280 Год назад
Mjinga huy nd amsomeshe bachu au? Mhh mwana wenu kaangukia pua
@abdulkarimukusaga3617
@abdulkarimukusaga3617 Год назад
Sawa we said bachu kasema nyie niwazushi tuambie kama sio uowongo tuendelee na maulidi ukisindwa leo tunaacha maulidi
@HemedSerious
@HemedSerious Год назад
Usifanye punguani km mlitaka kujibiwa hoja zenu mlitakiwa kujibu mlichoulizwa alafu na hoja zenu c mngepata kujibiwa ttzo lenu nyny mnajiona nyny tu ndo mna Haki ya kuulizwa, kwani walokimbia ni akina nani pale, suali b. Km mngejibu shkh saidi angeondoka pale? Nyny mnataka mumtawale mtu mumuulize nyny tu masuala alafu la kwake kauliza mwanzo mnjifanya hakuna jibu kumbe hamjui chcht zaid ya kuropoka ropoka uhuni tu
@moringesokoine4614
@moringesokoine4614 10 месяцев назад
Ni bora ya makafir kuliko hawa mawahabb kina bachu
@AbdillahAlly-q6j
@AbdillahAlly-q6j Год назад
Bachu anategemea coment za wafuasi wake ili wamtie nguvu lakin safar hii umefeheka sanaaa janjajanja yooooote kwishaaa
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Год назад
We Mjing nn
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Год назад
Ushawaion bbak akicoment apa shenz kbx mtu anatia qauli z wanazuwon unalemba umalaya wako
@mkude
@mkude Год назад
Bachu amedhihirisha Dunia kama yaliyomo kwenye kitabu Cha barzanji ni uzushi kwahiyo kwenye maulidi yanasomwa maneno yasiyokuwa sahihi na wamaulidi wakakubali ila wakaanza kuzungusha zungusha amjadili mtu yeye kasema hajadiliwi mtu tunajadili uzushi kwenye kitabu Cha barzanji
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Год назад
Mwenye kuelewa ashaelewa kka bachu ametufungua maskio...ni msomi kabsaaa
@ZaujiyatSuhfi-rl8sr
@ZaujiyatSuhfi-rl8sr Год назад
Ama kwa hakika uislam hauna ujanja ujanja wala kupindisha mambo yote yamekamilika na ukileta ujanja utaumbuka tu
@seifsalum3018
@seifsalum3018 Год назад
Hii niqash kiufup hakuna majibu ya kuwa barzanj maneno yake si uhongo, na hakuna hadith ya kuonyesha kuwa maneno ya barzanj ni ukwel, watu wa twarik wanakwep maswal, aisee namshukur Allah kunitoa ktk bidaa ya kukat viono
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Год назад
Acha ujinga
@suleymanmrutu9498
@suleymanmrutu9498 3 месяца назад
Backu kazidiwa
@ShuhaybuomaryAbdullah
@ShuhaybuomaryAbdullah Месяц назад
Swaf swal zuur masuf wajibiw wao 2 wao kujb maswali hapn kupg mdom 2
@MbwanaMakamba
@MbwanaMakamba 3 месяца назад
Wahabi nyie endeleeni kupiga kelele kazi yenu ubishi tu ila hamna elimu kaeni chini mfundishwe msikurupuke mtaumbuka Sana inshaallah kwasabab pia mnaubinafsi ndani yake
@AbubakariGuzuye
@AbubakariGuzuye Год назад
Bachu yupo sahihi ww shekh said toa ushahidi wa kielim so ubishi kuna watu wanakuskia wapate elimu # bachu allah akuhifadh unatoa elim hujaj kushinda nadhan nmeeleweka vzr
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Год назад
MNAMPA MOYO TU JAMAA YENU KAGARAGAZWA
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 10 месяцев назад
Hakuna elimu kwenye mtandao acha ujinga kasome
@hassanisihaka910
@hassanisihaka910 Месяц назад
Bach kushindwa kujibu swali la mustwalahal hadithi nyiee msiojuaa mustalahal hadithi mnaropoka.
@zeinabkamiwa5674
@zeinabkamiwa5674 18 дней назад
Wapi mtume kasherekeya maulid ama maswahaba
@walidhamed7835
@walidhamed7835 17 дней назад
Bachu Hana lake kusema kweli alipigwa kichapo
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Год назад
Uhai wangu wote sikudhani bachu atashinda home and away. Yaani Tanga ni majazi na mombasa ni munkar = uzushi wa maulidi.
@HemedSerious
@HemedSerious Год назад
Jaahili, unadharau majazi, had kwenye kuran majaz inatumik sana tu, km hujui ndgu yngu ulie jahili hukusoma shule Wala madrasa upo kiushabiki, Lugha ya mashairi km kilivyo kitabu Cha barzanji au kitabu chcht za barzanji lazima "majaz" kasome japo kidg Ili ucje kufa na ujinga wako ndg
@abdullaseifkhamis4277
@abdullaseifkhamis4277 Год назад
Mashekhe mwatia Aibu Jambo hilo tu ndilo lawatoa mishipa wakati kuna mengi yadonwa na kuku. Nyote mwatakiwa Musome na Hekma
@saidsobongo912
@saidsobongo912 Год назад
Sufi ukimpeleka kwa dalili hajibu hata siku moja😅😅
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Год назад
Dalili zipi uyo anaropoka tuu leo uwahabi umeporomoka 😂😂
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 Год назад
Sufi au wahabi
@maulidmaulid2106
@maulidmaulid2106 7 месяцев назад
Muhammed bachu yupo sahihi kabisa.mtume akusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala maswahaba awakusherehekea.maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...
@ahmedmattar4661
@ahmedmattar4661 Год назад
Bachoro leo umepata Aibu unatukana watu leo mungu kadhihirisha kua wew unazoea matusi tu leo umepata mvwamba
@tahaddath
@tahaddath Год назад
Hahaha bachu umefeli wewe huna elimu yeyote na mawahabi wenzako unaleta mambo ya ng'ombe fala w
@AbubakariGuzuye
@AbubakariGuzuye Год назад
Kama n swali ameshindw bachu kujibu bas lijibu ww tupate elimu kama unajuw hatutak kushindan tunatak elimu
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 Год назад
Bachi ndio anasema siku zote kuwa Barzanji ni muongo.Sasa ajibu hilo suala. Ndio au Hapana?
@abduljecha7779
@abduljecha7779 11 месяцев назад
Hapa kuna wengine wana utoto
@aliabdallah5183
@aliabdallah5183 Год назад
Hamnakili mnaweka zogotu
@swalehmohamed1590
@swalehmohamed1590 Год назад
BACHO AJUA KUSOMA KITABU NA KUFASIRI LAKINI HAELEWI MAANA NA UNDANI WA ANACHOKISOMA
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ Год назад
Swadakta bro wewe ume elewa vizuri sana
@asifznz
@asifznz Год назад
Jamma wa tarika said yeye hajali kwamba kitabu cha barzanji ndani munauwongo yeye anataka tu barzanji asiitwe murongo au muongo 😂😂😂😂😂sasa kitabu kime jaa uongo shirki kibao he doesn't mind what his people are reading is inauthentic he doesn't mind at all 😂😂😂😂😂people are going astray from the right path he doesn't mind 😂😂he wants people to not call jaffer barzanji a liar, kumekucha!!!!waafuasi wake wacha waende mtoni kwakufanya shirki lakini BARZANJI asiitwe MUONGO 😂😂😂yeye KASHINDWA kabisaaaaa kuitete kila kitabu cha BARZANJI Dahhhhh what loss,halafu anarukaruka eti kashinda,hoja hata moja haijajibiwa ,na yule jamma alova miwani anapokea simu za watu wakati mjadala unaendelea mwambie ashikilie hapo hapo😂😂😂😂😂halafu saidi anazugumza kalegeza mikono ,WEEEEEWE,😂😂😂😂😂Eti kashinda😂😂😂😂
@aliabdallah5183
@aliabdallah5183 Год назад
Nyote hamnaakili
@hassanmambomambo8442
@hassanmambomambo8442 Год назад
leo bachu umeaibika ukome siku nyengine kutukana mashekh ona sasa ulivyo fedheheka watu wanaakili wewe si umemuita BARAZANJE kuwa ni muongo wewe? na video zako zipo leo wakataa ngoja zitaletwe ili watu wakujue kuwa wewe nikinyonga kujibadilisha rangi naleo umemuita Imamu albarazanje na Dua umemuombea ukome siku nyengine
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 6 месяцев назад
Mashekhe wote muliopo hapo ktk mdahalo murudi kwa allwah mumlaani shetani Hapo nimegundua mumejawa na shetani kwenye nafsi zenu "Ushindani" na" kibri " Kila mtu kati yenu anataka awe bingwa Kwahiyo mumesahau ata malengo yaliyowaleta hapo
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 6 месяцев назад
Assalaam alaikum. Masheikh wangu nawapenda nyote kwa ajili ya ALLAH, ningetamani mkae chini wenyewe peke yenu mjadiliane haya mambo pasi na mavideo na mapicha na ndani yake pakiwa na staha kwa kila upande. mwisho mkubaliane mnayokubaliana na mkhitalifiane mnayokhitalifina na mkubali kukhitalifiana halafu uislamu usonge mbele
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Год назад
Mm ninacho kiona nikwamba kila mmoja ashike upande wake sisi wanadamu hatuwezi kuzuiya haya ispokua Kwa uwezo wa mungu
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm Год назад
Mambo ibainishwe kisha kila mtu ashike yake hakuna makosa wala hatulazimishi hata kurani ndio ina yo sema bainis há MAMBO na hicho ndicho bachu alicho dai thibitisha riwaya usiseme inaweza tumika 2 natayari mnajua ní munkar hadith
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 4 месяца назад
kiukweli kama ukimfuatilia jafar barazanji huwezi kumuita mzushi...utakuwa bado huna elimu na hukumfahamu...uwe umesoma mda gani ikawa unaelimu zaidi...soma zaidi elimu ni pana
@swalehmohamed1590
@swalehmohamed1590 Год назад
BACHO HAJUI TAKHRIIJ WALA NATIJA YA TAKHRIIJ,
@youmoha8200
@youmoha8200 11 месяцев назад
kusema kweli hana elimu kabisa...kasoma muqarar tu..yote yaonesha umuhimu wa kusomeshwa na ustadh
@AbubakarShundi-og8ce
@AbubakarShundi-og8ce Год назад
Swala la منكر hakukulisema شيخ سعيد kalisema huyo kijana anayejikweza dhidi ya Sheykh wa barazanji yeye Sheykh saidi alithibitisha tu alilo sema bachu alafu Sheykh said akauliza
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Год назад
Mtume s,w,a ameondoka ametuachia kitabu na sunna sasa bachu yupo vema Bali huyo mwingine ni mtu wamaulid nandio hao Wenda wazee wao walikiwa wajiita mashariff.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
Halaf nichokiona kwamba huu mjadala pia hamupo kutafauta ukweli mupo kwenye kushindana tu na kitu chengine kwamba lugha munazozitumia hazipendezi katika kufahamishana tukumbuke sisi ni waislam
@rashidsimba3680
@rashidsimba3680 Год назад
Bachu amepanic sana
@AbubakarShundi-og8ce
@AbubakarShundi-og8ce Год назад
Wewe ni ktk wajinga nakuusia wacharia wacha kutukana wanachuoni wacha ilo swala
@hidayaramadhani1833
@hidayaramadhani1833 4 месяца назад
Mwana wabachu ajielewi kabisa mawahabi someni mwatutia aibu
@HuzaimaRamadhan-kb1wz
@HuzaimaRamadhan-kb1wz Год назад
Tupe ushahidi kutoka kwa wana wazuoni kuhuxu barzanji, maana wewe hujafikia kua mwana wa zuoni,
@khadijacassim151
@khadijacassim151 11 месяцев назад
Kwanini nyinyi watu wa bidah kumbe mmefahamu kwamba wanyama hawakuzungumza lakini mwawadanganya watu siku za maulidi kwamba wanyama walizunguza
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Год назад
Yaani huyu bachoro hajui hata kutamka maneno ya kiarabu hajui tafsiri hajuilkani anasema nini wala anakusudia nini
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw Год назад
Ata na mie ningeshindwa sio bachu tu kwa kutumia hadithi za uongo kua ni ushahidi ndugu zenu mashia pia wanayoyasema wanatoa hadithi za uongo na kama itakua hivo basi hii dini kila mtu atatunga hadithi yake itumike kwrnye dini
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Год назад
Sio hadithi ya uongo ile ndugu ingekuwa ya uongo ingeitwa hadithi maidhuu
@saidihaji3739
@saidihaji3739 Год назад
Alhamdulillahi haqqi imeshazihir kuwa Bacho ameshindwa . Bacho alidai kuwa : katika barazanji kuna uwongo. Na dalili alioisimamia ni kwamba " hadithi iliotumika ktk kitabu ni (( munkar )) Akaulizwa : Jee kutumia hadithi munkar katika kitabu inapelekea kuitwa menye kitabu ni ((Muongo )). Au maneno hayo yatazingatiwa kuwa ni uwongo ?? Lakin Bacho hakuweza kujibu mpaka mwisho wa mjadala . Alikuwa anakwepa kwepa . Leo imedhihiri : Ukosefu wa dalili kwa Bacho na kumsingizia lmam barazanj kuwa ni muongo. Amesema maneno hayo bacho bila ya dalili yoyote . bali ni kumtuhumu tu mwanachuoni .
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
HAO MAKHURSFI WANAJIFANYA HAWANAZO!!NA WAJINGA WENZAO WAWAUNGA MKONO WAJINGA WENZAO!! ACHENENI NA HAO MASUFI!!
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
Hapa tu nimejifunza kwamaba kwemye usilam kuna baadhi ya watu wametia maneno yao na mawazo yao ili kuharibu Uislam na haya ndio yanatokea leo na mijadala mijadala isio na suluhisho
@jambojambosafaris
@jambojambosafaris Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2iljhLEqQyw.htmlfeature=shared Ujanja wa bachu wajulikana
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 месяцев назад
Bachu janja janja nyingi leo amekamatwa
@hosinali8164
@hosinali8164 11 месяцев назад
Nyamaza huna lakusema ulishindwa kujibu uskut
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Год назад
Bachu yupo vizuri tu lakn huyo said hamna kitu 😄😄😄
@farijalaidd-sv8zb
@farijalaidd-sv8zb Год назад
labda na wewe usogee kati na vipeperush vyenu
@hassanhussein2422
@hassanhussein2422 11 месяцев назад
Bachu haja Fika kuwango YA niqash Na sh said sh said m.a
@masudbasra566
@masudbasra566 6 месяцев назад
Hamuna elimu yoyote munatafu sifa tuu
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Год назад
Moh bhachu kaangukia pua jmn doooo aibuuuuu .hodari kuuliza .yeye leo kaulizwa swali moja hoi taabani
@AbubakarShundi-og8ce
@AbubakarShundi-og8ce Год назад
Basi mjibu wacha kibri dogo
@jumajuma1324
@jumajuma1324 11 месяцев назад
Ukishikamana na upuuzi wa barazenji unajitayaishia njia ya kwenda motoni mana unamzulia Mtume s.A.w na Mtume kasema atakae mzulia atayarishe makaalio yake na moto
@SaidaFankupi
@SaidaFankupi 11 месяцев назад
Hkna urongo wowoteee nyinyi hamna kitu😅😅
@AminaAmina-pc5ke
@AminaAmina-pc5ke Год назад
We festi lvn nashidwa nhwu
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 Год назад
haya mmbo yanajeka chuki tu
@hindamir2008
@hindamir2008 Год назад
Kalale umeshindwa kujibu waleta stori z kuku nabngombe
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Год назад
حيت سئلوا wanapoulizwa au walipoulizwa
@adamrajabu231
@adamrajabu231 10 месяцев назад
WATU WATETEA UGALI WAO😂😂
@youmoha8200
@youmoha8200 11 месяцев назад
ngombe ina vichwa 3 n 5
@ShamimMsofe
@ShamimMsofe Год назад
Bachu kunywa maji shehe
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Год назад
Leo umeaibika mno ndugu yangu bacho
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 Год назад
Kaaibika vibaya mno chaliiiiii
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Wala hajaaibika!!
@AbubakarShundi-og8ce
@AbubakarShundi-og8ce Год назад
Dogo kibri cha kutukana wanachuoni wacha kitakupeleka pabaya huna unacho kijua tafadhali wacha kutukana vipenzi vya Allah utalanika
@HemedSerious
@HemedSerious Год назад
Eti wanalalamika kadhalilishwa bachu km hatoacha kuwatukana wenye elimu zao ataendelea kudhalilika bdo hajadhalilika aswa, ata thumni ya adab alokua nayo baba ake yy hana
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Год назад
Mawahabi hawafahamu kitu
@AminaAmina-pc5ke
@AminaAmina-pc5ke Год назад
Huyo
@HaroubShaaban
@HaroubShaaban 10 месяцев назад
Sasa
@ShaabaniAyyubu
@ShaabaniAyyubu Год назад
Twarika hamna kitu kwanza kanuni ya mjadala walikubalian kujibu kwa dalili zenye thabit mbna alikubali kuwa hadithi yake ni dhaifu hapo kwanza kwenye kanuni ya makubaliano saidi yupo nje alaf mbona shekh said mbna kajibiwa alaf na kam sio sawa alivyojibiwa mbna hajatuambia yeye sisi tulitaka faida lkn bado
@MUBKAM-th3ln
@MUBKAM-th3ln Год назад
Hili jamaa jinga kweli Analeta mambo ya tarabu .... kwenye Mambo ya Elimu... Funny yako kuimba kaswida
@basmabasma6287
@basmabasma6287 Год назад
Sheikh bachuu Allah yahfadhak wu yitawil omrak.ameen You nailed it.
@seifsalum3018
@seifsalum3018 Год назад
Leo nimeamin watu wa bidaa hawapendi kusoma, dj side kaulizwa swali naye anauliza kabla ya kujibu
@mkude
@mkude Год назад
Sheikh Bachu amedhihirisha uzushi uliomo kwenye kitabu Cha barzanji.hao wakaanza kuzungusha zungusha lakini imeeleweka vizuri sanaa
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 Год назад
Ila uongo huo upo kwenye hadith sio barazanji waliosema wamenukuu hadithi dhaifu ila hadithi dhaifu ulamaaa ngani anasema ni uongo ? Ajibu bachu asilete ujanja
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh Год назад
​@@mohdhilaly7900SAID KAULIZA SWALI AMBALO KWAMBA BARZANJI SI MPOKEZI WA HADITH KWAN ULAMAA WA HADITHI WANAMUHUKUMU MPOKEZI AU MATNI AU ISNAD YAANI CHENI KUANZIA ILIPOPOKELEWA LKN IMAM BARZANJI SI MPOKEZI WA HADITHI AMENUKUU AKAANDIKA NA KUSIMULIA KWA MASHAIRI.😇😇😇
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 месяцев назад
@@mohdhilaly7900 Ahal Al Bidaa
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 10 месяцев назад
Amedhihirisha kutia kasri akitia haraka amekanyagwa.ashaonekana elimu changa
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 6 месяцев назад
Bachu yupo sahihi sana
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Год назад
Unaleta ujanja wako wa hovyo
@AthumaniMahmoud
@AthumaniMahmoud Год назад
Bacho kua na hekma pia pole sana kaka
@saidinusura109
@saidinusura109 Год назад
Maalim na wajina wangu Said kwa bahati mbaya anafanya mjadala wa kitoto sana.
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Bachu kakiri barzanji katumia Hadith munkar kakiri mwenyewe maanake kukiri maanake sanadi anaijua swali limeulizwa kama umekiri Hadith ya barzanji imetoka kwenye Hadith munkar swali jee Hadith munkar ikitumika kwenye sira jee wanazuoni wa Hadith wamekubaliana ikiwa Hadith munkar kaitumia jee mtu huyo ni muongo? Swali simple lkn bachu anajua akikubali au akikataa swali linalokujaa ni gumu zaidi ndio maana hakutaka kujibu sio hajui hakutaka kujibu makusudi anazungukaa lkn swali hajibu 😊 kakwama kabanwa vibaya😊
@youmoha8200
@youmoha8200 11 месяцев назад
angelijibu angetolewa mahadithi nyingi ya dhaifu katika vitabu vya wanazuoni wakubwa..akina ahmad bn hambal na tirmidi na ibn majah na nisai..natija ingelikuwa hao pia na waringo?
Далее
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC 4
00:16
Просмотров 3,7 млн
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 5 млн
ТАРАКАН
00:38
Просмотров 531 тыс.
Новый вид животных Supertype
00:59
Просмотров 176 тыс.
BACHU APEWA SOMO LA MAULID NA SHEIKH SHAHARAN
13:33
Просмотров 21 тыс.
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC 4
00:16
Просмотров 3,7 млн