That's it brother,, nime ishi kdai hakunanga uchawi,, but weh!!!! Kwaza mavoloni ninoonie oudu ni noonie,na niyomiisya, nothing can change an artist from art
zile disco za usiku this songs zilikuwa zinatumaliza,, vusyaa mpaka morng na kesho n shule🤣🤣🤣🤣 ilikuwa heri mathy aniue lakini vusya ungu ikipigwa narukia kwa dirisha nkiingia uko na kinyasa vumbi lazima watakunywa