Mungu Azidi kukuinua katika viwango vya Juu zaidi Mtumishi wa Mungu Juu zaidi katika kumjua YYE Yesu zaidi hapo ulipomafundisho yako ni ya kiwango cha juu, Mungu Anamaajabu Makuu Anaweza kukufikisha sehemu Ambayo huwezi kuamini kwamba Mimi ndiye Mkamwa wewe endelea hivyohivyo kumtumiakia .Mungu kwa Uwaminifu Nakutabiria Mungu Atakuja kukutumia na utayatisha Mapepo, kuna wakati Mungu Anaweza kukufanya kila unapopishana na mchawi Anaungua mooto Ananza kupiga kelele hapo wewe hujamtamkid kitu chochote ile kupishana nae tu na kwa Imani yako ulivyoanza kumtumikia Mungu na kwa Juhudi yako juu ya watu wa Mungu unavyowafundisha Neno lake Mungu Atakuja kukushangaza Ubarikiwe na Bwana nipo Dar ila naamini siku moja tutakutana uso kwa uso kanisani kwako