Тёмный

Wachungaji zaidi wazidi KUCHAFUKWA. ROLINGA ATOA LAANA KUBWA KWA WATEKAJI 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@GidionJohn-h4i
@GidionJohn-h4i 4 дня назад
Mungu awabariki watumishi wote mnaolitetea Taifa letu Tanzania.kuliko wanaokaa kimya.wanaokaa kimya maana yake wanakubaliana na Maovu yanayoendelea.Watumishi wa Mungu Pazeni sauti zenu kwa Pamoja dhidi ya Uovu huu mkuu juu ya Taifa.
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 5 дней назад
Mungu awalinde watumishi wa Mungu mnaojihtahidi kuonya na kukemea matendo mabaya yanapojitokeza. Mkono wa Bwana uwe juu yenu.
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 5 дней назад
Amina.Kinachonisikitisha si wanaomwaga damu ila sababu ya kufanya hivyo.
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 дней назад
Kwakweli inaokoa täfa watumishi wa Mungu mnapofungua vinywa juu ya mambo haya
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 5 дней назад
Damu ya Yesu Kristo inene mema juu yetu na taifa letu🙏🏻
@TrustElbashil
@TrustElbashil 5 дней назад
Safi sana mchungaji lakini ccm hawajui kuwa dam ya mtu inajilipa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 5 дней назад
Kunawachungaji wengine wametulia tuu kana kwamba hawajui kinacho endelea, nawasipo kemea juu ya Tanzanzania hofu iwe juu yao washindwe kabisa kusimama madhabahuni na wasipa5e Cha kunena mbele ya madhabahuni yako wasipo Sema kweli ya bwana
@ericowino246
@ericowino246 5 дней назад
Baba baba wewe mtoto wa mungu hii speech mungu anasikiri za mara mia
@abrahamuisrael6161
@abrahamuisrael6161 4 дня назад
daaa siku hizi wachungaji bibilia washaiacha,,wamebase kuhubiri matukio tu ,,
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 2 дня назад
Hata bibli ilitokana na matukio
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 5 дней назад
Ukweli hapa tulipo si petu waache Tz imekuwa ya machozi si ya amani ,najiuliza tu hivi Hawa wanaofanya ukatili huu sijui wanawatoto ?au wanandu hivi wanawezaje kunithamini pesa kuliko utu wa mtu hivi wanawezaje juu ya aliyewaumba hao wanaotendwa wanadhani Mungu anawaza nini juu Yao ?
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 5 дней назад
Tanzania 🇹🇿 pameisha changamka! Eh Jehovah Mungu wangu mbone hii ndio ilikuwa nchi ya amani tuliokuwa tumebakiza Africa 🌍? Eh, Tz unaenda wapi? Jehovah Mungu wetu ikumbuke Africa 🌍
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 5 дней назад
Kwa kweli watumishi wa mungu awalinde ,hili taifa tulipofika sio kabisa ,nawapongeza sana
@stephanSandika
@stephanSandika 5 дней назад
Daaaaaa hayo maneno magumu
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 5 дней назад
MUNGU akubaliki wewe natakatifu wote wanao sema kweli😊
@MickyMgeri
@MickyMgeri 5 дней назад
Hawa watumishi ukiwatafakari unaweza usione haja hata ya kwenda kanisan,kama gwajima aliyekuwa mtu wa haki kweli kweli unaweza ukajiuliza kama yuko hai au alishafariki au yanayoendelea hayajui wala hayasikii???
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 2 дня назад
ANAANDAA NONDO.JIPE MOYO. SUBIRI ANAJUA YOOTE YANAYOENDELEA. TULIOMBEE TAIFA LETU TU NA VIONGOZI WETU ROHO WA MUNGU AWAGUSE WAJUTIE MATENDO YASIYOMPENDEZA MUNGU. MUNGU TUSAIDIE TAIFA LAKO.
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 5 дней назад
Semaaa prophet,,
@angasisyekapesa8541
@angasisyekapesa8541 5 дней назад
Hapo uko sawa mbalikiwa
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 5 дней назад
❤❤❤ Aminaa
@LameckNyamsenda
@LameckNyamsenda 5 дней назад
Kwani yanaelewa basi! Yanaona kama ndio Mungu wa dunia hii siku yaja
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 5 дней назад
Ameen ❤❤❤❤❤
@NelsonKasulu
@NelsonKasulu 5 дней назад
Hiyo imefika wengi hujua kuwa akiuwa Anatubu , Nawambieni ukiuwa KWA mksudi nawe utakufa Hakuna Toba KWA Muaji , Msidanganywe na manabii WA uongo kuwa kunatoba KWA Muuaji
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 5 дней назад
Yesu tupiganie.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 дня назад
Kwa hili umeongea pointi japo hauko upande wa Nuru, huduma yako imetokea Nigeria kwa Tb joshua mwana wa joka,
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 5 дней назад
Amen
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 5 дней назад
Paazeni sauti jamanii tuponee😢
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 5 дней назад
Wamesoma lakini hawajuwi angalia izrael na parestina wanavyo teseka
@shammhagama2527
@shammhagama2527 5 дней назад
Hakika, watahukumiwa kwa matendo yao.
@ErickLungu-official
@ErickLungu-official 5 дней назад
youtube.com/@ericklungu-official?si=BSV9IHaqoNP0uU9x Tazama na hapa pia
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 5 дней назад
Hawa ni wachungaji wa ukweli
@FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl
@FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl 5 дней назад
MUNGU YUPO KAZINI!
@marchymaziku6234
@marchymaziku6234 5 дней назад
Mtumishi kanisa lako liko wapi tafadhali
@gotafostv7305
@gotafostv7305 5 дней назад
Mtumishi yupi ,mwenye channel au huyo Rollinga?
@norineraymond8098
@norineraymond8098 5 дней назад
Mbezi beach Africana -youtube Haleluya tv
@willymdeka6034
@willymdeka6034 5 дней назад
Uongo mtupu biashara tu
@TrustElbashil
@TrustElbashil 5 дней назад
Safi sana mchungaji lakini ccm hawajui kuwa dam ya mtu inajilipa
@stephanSandika
@stephanSandika 5 дней назад
Daaaaaa hayo maneno magumu
Далее
BABA MZAZI WA BISHOP KATUNZI ATOA SIRI NZITO
24:32
Просмотров 11 тыс.