Тёмный

WAFANYAKAZI ALAF WAFANYA JOGGING YA KIBABE 

Подписаться
Просмотров 4
% 1

Mbali ya Faida mbalimbali zitokanazo na kufanya mazoezi kama kuimarisha afya ya mwili na akili Michezo pia imetajwa kuimarisha uwezo wa Kutoa huduma na Kuongeza tija kwenye shughuli za kila siku za Kijamii
Hayo yamesemwa na Wadau wa Michezo wakati wa Uzinduzi wa ALAF JOGGING Jijini Dar es salaam kwa kukimbia Km 15 ambapo afisa Mtendaji Mkuu wa Alaf Limited ASHISH MISTRY ambaye amewata watanzania Kufanya Mazoezi kwani humsaidia mtu kuwa Mahiri katika kazi za uzalishaji mali anazofanya pamoja na kuishi maisha marefu yenye furaha bila Magonjwa Huku Meneja Uzalishaji wa kampuni hiyo Aman Kitale akasema wafanyakazi wakifanya Mazoezi inawasaidia kuzalisha bidhaa bora ambazo zinaendana na soko

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии