nice one they are the few against the total population of Kenyans , we should get our country back and start dealing with the politically used police system, make sure it works for all kenyans
Lets agree. Gachagua is not clean..but hii kumuondoa ilikua unfair. Juu hao wamebaki kwa serikali ndio wachafu zaidi. Kenyans its time we think and act lets stop depending on selfish politicians
Aliyeanza kutuunga mkono kukataa finance Bill alikua ni DP Gachagua na hii ndiyo aliwaumbua Wabunge wengi.....sio jipya kuona wanamuondoa Gachagua but Kenya is ours,wao ni kura tuu imewakalisha huko.
Wajinga nyinyi, Gachagua anasaidia nini wakenya? ameharibu kila kitu kwa sirkali mwizi yeye. Mjue hawa Mps ndio walikula kiapo ya kulinda na kuhifadhi katiba na wao ndio wanajua kuliko sisi waraia. Gachagua should be impeached and sentenced in one trial.
Learn to know things b4 happen, as azimio tulijua hii itakuja kutimia, tuko tunawaangalia tu mkiteta,hizi mitego mliwekea wana azimio imewarudia sasa, kuleni ujeuri wenu.. Namkimaliza mtujoin ju tulianza kulia wakati ruto aliapishwa kuwa rais wa kenya, tumezoea sasa ni nyinyi mlie ju mlituweka kwa shida cha nguvu.