Тёмный

WAKARA KUTOKA USHELI SHELI 

CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Подписаться 633
Просмотров 19
50% 1

Rais Samia Suluhu amesema Serikali ya Awamu ya Sita haitavumilia vitendo vyovyote vitakavyoleta machafuko nchini na kuwa matukio ya mauaji kama ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA, Ally Kibao hayakubaliki na ndio maana Serikali imetaka uchunguzi wa haraka ufanyike ili kuwabaini wahusika.
Watu watatu wameuawa na watu wasiojulikana katika nyumba moja eneo la Nala Jijini Dodoma huku wawili wakichomwa moto katika chumba walichokuwa wamelala na mama kujeruhiwa kwa kupingwa na kitu kizito.

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Beautiful Military 🏅
00:10
Просмотров 2,1 млн
Сделка 😂
00:27
Просмотров 171 тыс.
What Should Leaders Learn from History?
28:33
Просмотров 418 тыс.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Why wasn't Ethiopia Colonized?
12:53
Просмотров 1,7 млн
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48