Тёмный

Wake Wa Kukodi 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 452 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 227   
@maggynowak3555
@maggynowak3555 3 года назад
You are a good man who put your wife before anyone else. Bibi tu amzaidie kupata bibi na mambo ikwishe.
@sophiezakaria
@sophiezakaria 5 лет назад
😂😂😂😂😂shift make I faint chaiiii! Hata mimi nikiuzwa sirudi nyuma, ujinga hauna dawa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@stephenodingojunior1106
@stephenodingojunior1106 Год назад
Waswahili mna mambo kweli, majuto mjuku huja badae kaka ugua pole😛
@beamazing2497
@beamazing2497 6 лет назад
Very common in mombasa.
@shawnnjuguna8855
@shawnnjuguna8855 4 года назад
😂😂😂😂 Kumbafu ya watu
@mohamedthoya7436
@mohamedthoya7436 5 лет назад
Grace Ali..jaribu kua na adabu..tafadhali usichanganye watu wote...
@lillianak7885
@lillianak7885 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 dunia simama nishuke chiz ci chiz
@Chris-cb2dj
@Chris-cb2dj 7 лет назад
mtaka yote ukosa yote hahahaaaaaaaaaaa
@annnjoki2421
@annnjoki2421 4 года назад
Yes,,, madness ! Thumbs up for the women hata ikawa no mimi no vivo hivyo
@sarahruth1718
@sarahruth1718 4 года назад
just here for pure swahili
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 года назад
Kuenda shuleni pia ni kitu muhimu aki 😂😂😂😂😂😂😂
@lifelinesomalia
@lifelinesomalia 8 лет назад
Hamna dini yoyote ana kubaliana na haya mambo.
@queenmayra115
@queenmayra115 5 лет назад
Algunos kenyans is gusta cosas fáciles ....pero así no es la vida...espabilados.
@flowrencewambui6117
@flowrencewambui6117 8 лет назад
hauna kichwa kizuri wwe.
@fr.anthonykiungu3176
@fr.anthonykiungu3176 5 лет назад
😂😂😂😢😭😭 just can't believe this
@maryakajj4127
@maryakajj4127 7 лет назад
honestly even if it's me I can't remember you go buying 😂😂😂😂
@habibajuma1989
@habibajuma1989 4 года назад
U
@patrickshemu5881
@patrickshemu5881 4 года назад
Nataka mmoja mimi nikodishe
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 года назад
Umalaya tuu ndomloueka mbele
@stevenkubhoka3975
@stevenkubhoka3975 8 лет назад
hahahaha i love kenya
@mamafatuma138
@mamafatuma138 4 года назад
Mm mume wangu afanye ivi pia mm sirundi nyuma tamaa mbaya
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 года назад
Nimebaki kucheka2 yan wakenya hawaish vituko jmn dah poleni sana itaabid muende Na nyinyi mfanye kama wao
@dishka4664
@dishka4664 4 года назад
Let me just say woooow😁
@generalkago5361
@generalkago5361 4 года назад
Madness beyond comprehension
@erickwainaina5708
@erickwainaina5708 6 лет назад
Ole wangu!
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 года назад
Hahahahahahaaa Hatareee Wakenya Ktk Ubora Wao
@michaeleustach9352
@michaeleustach9352 4 года назад
Wasenge Wote
@jahdaughterwambotosh7906
@jahdaughterwambotosh7906 6 лет назад
😂😂😂😂 Jah hold ma intestines i still wanna live😂😂😂😂😂 waaah
@hammerQ954
@hammerQ954 7 лет назад
😂😂😂😂pole bro
@nancyochanda9831
@nancyochanda9831 8 лет назад
😂😂😂😂😂this is very serious!!!!!!!
@simonmagaigwa6634
@simonmagaigwa6634 4 года назад
Kweli Kenya ni nchi ya maajabu, ndo maana inaongoza kwa utalii. Hata hiki kisa kinatosha kuwa kivutio cha utalii!!
@jumamunga715
@jumamunga715 7 лет назад
Sawa na amejitia kidole akakinusa alafu aseme Chanuka vibaya
@princessyvetteevedollyisma2586
😂😂😂😂😂jamani si angenipa mm huyo mzungu
@abdirizakali6053
@abdirizakali6053 5 лет назад
Hahaaaa...... Wakenya yawa
@naiyanaenguso7575
@naiyanaenguso7575 7 лет назад
europe lifeis hard,,,pengine ana shida mwenyewe, asipate ata contuct,,
@carodeperpatualperpatual2914
@carodeperpatualperpatual2914 2 года назад
Wee Mzee una kasoro.
@fktoreaafrekea2407
@fktoreaafrekea2407 8 лет назад
mjinga wewe, unaeza bibi yako, wewe ulilogwa, uchawi wa mombasa
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 года назад
Mvivu huyo
@the_smiling_3644
@the_smiling_3644 7 лет назад
😎😎😎😎😎😎 akizidi mpige beeeeeeeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@maggieinspiredtv
@maggieinspiredtv 2 года назад
Hongera kwa mama..enda kabisa !
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
ta tamaa mbaya, ta tamaa mbayax2
@wilsonmuriuki6267
@wilsonmuriuki6267 8 лет назад
Tumlaumu nani? mahari ya mkeo ushakula.
@sharifamfaume9342
@sharifamfaume9342 4 года назад
😁😁
@fatmahassan2638
@fatmahassan2638 8 лет назад
Duuh pole sana bro
@wyckliffeamaasa5739
@wyckliffeamaasa5739 Год назад
Huuu ni upumbavu sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Duuuh Unaoza bint Ya Watu,na ni Mkeo,Tamaa Mbele Mauti nyuma.
@suddykigamba1802
@suddykigamba1802 4 года назад
Khabbithi l3ammal pumbavu mara waahed
@ankallypandu7648
@ankallypandu7648 4 года назад
Heee elfu,60 ujinga mtupu, elfu,60 kidogo sana pole sana
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 4 года назад
Taahira kweli kweli wewe pumbavu
@janeshik2651
@janeshik2651 8 лет назад
hahaaaa pesa ni baya
@sharifaallan2386
@sharifaallan2386 5 лет назад
Tamaa mbele mauti nyuma....laana nyinyi....
@user-yk6pf4pl2n
@user-yk6pf4pl2n 4 года назад
Kwani huyu jamaa hajui kuwa sheria inasema mali ikiuzwa hairudishwi imekula kwake
@mwatimasaleh423
@mwatimasaleh423 4 года назад
Tamaa imekuponza
@brigidmua9558
@brigidmua9558 7 лет назад
Sio riziki yako. ...oa tena
@abdulrahmanmohammed1168
@abdulrahmanmohammed1168 5 лет назад
Ahaha pole sana
@elizabethmwandoe2426
@elizabethmwandoe2426 4 года назад
Mwiba wa kujidunga uo..yani shida zikufanye upeane mke
@ericmonax5666
@ericmonax5666 4 года назад
🤣🤣🤣Fools
@rachealthomas8915
@rachealthomas8915 6 лет назад
Hehehe.... I saw that in mtwapa bibi ako na mzungu boy friend na bwana pia ako na girlfriend sio maajabu hayo
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 года назад
Kama Kuna mtu mjinga namna hii ,,,huyo ndo wa kwanza Africa mashariki duh! Jamaa ni mjinga wa kudumu
@janemuthoni2011
@janemuthoni2011 5 лет назад
Ole wake but funzo hio
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 4 года назад
Kwa wakenya inawezekana
@khamisboy8620
@khamisboy8620 3 года назад
Wanawake ndio walitusababishia dhiki na taabu zote sisi wanaume katika huu ulimwengu nashangaa bado munawaamini?wapeni heshima zao ila musiwaamini kamwe.
@gracehinga2297
@gracehinga2297 4 года назад
Ukipeda mali utapoteza mengi...
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 года назад
🤣🤣🤣waume kamahawa wakutafutia bibi waume wakizungu nawapenda
@geofreykashebo7594
@geofreykashebo7594 4 года назад
Pumbavu sana,,sijakutukana nimekuona namna hiyo.
@Maganjooutdoor
@Maganjooutdoor 4 года назад
It’s desperation, just like hospitals are giving advice to save lives, this narrative can critic and end with an idea of getting out of a hopeless situation.
@shoshcaleb8925
@shoshcaleb8925 8 лет назад
😂😂😂😂😂😂tamaaaaaa
@hassanhassan1184
@hassanhassan1184 4 года назад
Pumbavuu
@user-nm1je5pt4u
@user-nm1je5pt4u 4 года назад
mukome washenzi wanawake muriona kama nivyashala
@ngisian
@ngisian 5 лет назад
Gitonga amejionea vijimambo kule UKUNDA
@sarahgift369
@sarahgift369 5 лет назад
Tamaa hio..mtaka yote hukosa yote
@milkamugomomugenimgomo6824
@milkamugomomugenimgomo6824 6 лет назад
60k 😆😆😆😆 laziness ya watu wa coast
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 года назад
Hapo sasa
@omarmahendo9213
@omarmahendo9213 4 года назад
Not all coast pple
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 4 года назад
Pumbavu nyinyi
@ortymique7276
@ortymique7276 5 лет назад
Mwiba wa kujidunga
@sellamwani7300
@sellamwani7300 4 года назад
Masenge hawa,wastahili kuachqa kwenye umaskini makenge nyinyi.
@mahaboy1856
@mahaboy1856 9 лет назад
Huo ni ukafiri
@ARFIddy
@ARFIddy 8 лет назад
haahaa hyo ni chizi kabsa
@Sandra39823
@Sandra39823 4 года назад
Hata mimi cwezi nimekukumbuka mimi, kwamaana huna pezi na mimi
@chambagi
@chambagi 9 лет назад
wow
@ashuulwavu4941
@ashuulwavu4941 8 лет назад
jamani watu tuache tamaa za pesa bila kufikilia na huyo mke nae ana akili kama za mumewe huyo mzungu una uhakika kweli ana mapenzi ya kweli na wewe ufike huko akugeuzie kibao
@msafirisinkamba4472
@msafirisinkamba4472 5 лет назад
Jamaa hana kichwa kabisa
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 Год назад
Deyusi wewe hauna maana
@atienosimbi2553
@atienosimbi2553 5 лет назад
Natafuta bwana kama huyo 😅😅😅😅 😅😅 😅
@mumyally5901
@mumyally5901 5 лет назад
Tamaa ya ponza shaurilo
@sultanhaji4112
@sultanhaji4112 7 лет назад
Ati utachekwa kwani saa hii huchekwi na nani? Wengine wanakuliya
@rainbowgirl5184
@rainbowgirl5184 7 лет назад
utakoma umbea hehe bora ungemwambia akuoe ww kwakwakwa nwenzako ashaona raha ya pesa wafkiri atakukumbuka tena?
@dedihsupertal9391
@dedihsupertal9391 7 лет назад
mmmmh....Mzuka!!!
@daveondiekaaron2204
@daveondiekaaron2204 5 лет назад
BANGI NI MBAYA AKI😂😂😂
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 лет назад
Mwanamke ana akili nyingi sana.. Coz alifundishwa jamaa Hana mapenzi nab anathamini pesa kuliko mke n ndoa... Mama akajiongeza akaamua aende kwa atakayempenda kwa dhati.... Sasa just emagine mume anakuaga!? hii ina maana hakuna mapenzi hapo.....
@janewelldonefromsaudimusum4559
poa majukumu ya mewa shinda tulieni tu
@ceciliathumbi1441
@ceciliathumbi1441 5 лет назад
Heheheheee pumbafuu ulijitakia hahahaaa
@doctalinspatiencemahale5312
@doctalinspatiencemahale5312 4 года назад
Kali hii
@christde1
@christde1 7 лет назад
usenge mwingi
@abletumcyber6586
@abletumcyber6586 4 года назад
Whaaaaaaaaaat??????????? The world😟😟😟😟😟😟😟😟
@nancypretty2505
@nancypretty2505 8 лет назад
how can you sell your wife to amuzungu? akili fupi kama chai ya kamiti prison
@sylviakanguhi2439
@sylviakanguhi2439 8 лет назад
goodness
@catherinemwaniki6914
@catherinemwaniki6914 7 лет назад
Nancy Pretty haaaaaaa
@ruqiyaruq5142
@ruqiyaruq5142 5 лет назад
Ww mwanaume pumbavu kisha ulikuwa haupendi mkeo ungempenda kwa dhati usinge muuza wacha ujinga ata ktk dini ushapata dhambi
@maishakimakini6259
@maishakimakini6259 4 года назад
Wasenge wa hali ya juu mutaishi mukiwa maskini milele shenzi types
@tirizahwainaina3223
@tirizahwainaina3223 8 лет назад
jeso 😂😂😂😂
@anthonymuriithi7957
@anthonymuriithi7957 5 лет назад
Majority ya wa coast ni mafara.Uvivu ni kifo
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 4 года назад
Wavumbafu was msa hamtaki kuchoka
@jayomarion8183
@jayomarion8183 8 лет назад
hahahahahahaahahahahahahahahaaha this shit has made my dia
@giftkarisa8684
@giftkarisa8684 9 лет назад
Inna lillah wainna ilehy rajhuun
@yakubudogo5248
@yakubudogo5248 9 лет назад
mmmmmmmmm
@giftkarisa8684
@giftkarisa8684 9 лет назад
+Yakubu Dogo eeeee
@patrickmaitha1867
@patrickmaitha1867 5 лет назад
Mzungu alipata ubavu wake lakini huyo jamaa bado ubavu wake uko atafute...
@lorenshiawaweru6855
@lorenshiawaweru6855 8 лет назад
machizi kweli .....😂😂😂😂
@lilaleonard1877
@lilaleonard1877 5 лет назад
Jamaa amebaki ni picha za kumbukumbu.
@jessicamm3171
@jessicamm3171 7 лет назад
washamba hao acheni wapige kelele😆😆😆😆
Далее
Uuzaji Mipira ya Ngono
6:21
Просмотров 256 тыс.
Каха и жена (недопонимание)
00:37
Afande Nishike Tafadhali!
7:19
Просмотров 2,1 млн
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Просмотров 482 тыс.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 73 млн
Jamaa Akwama, Mwengine Atiliwa 'Chele'
3:22
Просмотров 635 тыс.