Jamani mimi binafusi nampongeza bhailam na crew yake nzima kwa sababu haijawahi tokea wala ye hajawahi kamilisha kitu kama hiki... eti leo kama utani wake wenza isharejra mwisho 😢😢😢😢... na kama Kuna anaekubalia hili basi tujuwane kwa comment 😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Duuu huyu mwanamke anamuuwa namkwe wake Tena jamani mbona uchungu sana kweli ukewenza mbaya sana hasa nakumbuka mama yangu mzazi alipitiya haya kwenye ukewenza duuu hatari