Walivuka Bahari is among the songs largely appreciated by many across the country and the continent, found in the 8th Album, may it be a blessing to you.
Kwa jumbe zenu nzuri pamoja na mipangilio mizuri ya sauti kila Leo nazidi kuwafatilia, mmenibariki sana hivyo Mungu awaongoze ktk safari yenu. Amina sana
I really love this song, it's teaches alot....we have to endure in life for in everything God is in control.Nice voices,may God continue blessing you Mightly.
Walivuka tutavuka jina la Bwana lihimidiwe milele. Sisi niwake na tukimtumainia atatuvusha salama. Mungu awainue zaidi na zaidi ktk kutuhubiria neno lake njia ya nyimbo tamu. Amen....in Jesus Name we will.