Jamani suraji wewe uko Sawa kuwa mwanajeshi mama Samia anasuburi nini.hauwoni huo ujasiri wako I love you suraji unakipaji kizuri sana ❤❤❤ you from saudia riadh😘😘😘😘suraji
Jamniii duh hata nemeshtuka nadani ya moyo wangu kp mbona wamwacha zubuu jamani wakati ana ana anakupenda😋😋😍😍nawapenda bure movie bado mbichi tuko bamba to bamba kujua hwa wamangushi ni kina nani mzee likoma na vituko🤣🤣❤❤❤❤
😂😂😂 Kp ni kipofu but barua umeweza kuiyandika ipasavyo kabisa na huo msahada wa millions 6 kwa ajili ya kumsaidia matibabu mzee daah umetisha sana ombi next epsode 4