Тёмный

Wamarekani walioua Mamba Tanzania watishiwa kuuawa, mke afunguka vitisho wanavyopokea, ni balaa zito 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Опубликовано:

 

26 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 291   
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 6 месяцев назад
Shida sio kuwinda wala shida sio kibali, kilichowapa hasira watanzaniaa wengi ni uhuru waliopewa hawa jamaa its seems like ni kama umezidi mipaka,,,,inaumiza kwakweli hata kama viongozi wetu wamekula kitu kutoka kwao ila sisi watanzaniaa tunao view uko mtandaoni tuna umia kwasabab uhuru kama huo, huwezi kuupata nchini mwao hata kama una kibali, hawa watu wana thamini sana vitu vyao,,, Tanzania ifikie hatua ibadilike!😢
@jaymandy8136
@jaymandy8136 6 месяцев назад
Wakulaumiwa ni viongozi wetu brother sio hao wazungu
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 6 месяцев назад
Msilaumu wazungu viongozi wetu ndio maamuzi yao
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 6 месяцев назад
Umaskini uliokisili ndio maana tunakashifiwa
@banajuliana758
@banajuliana758 6 месяцев назад
Wanawagawio walivo iba kwenu
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 месяцев назад
Wanaowatishia wazungu uhai ni wapumbavu wakubwa. Badala ya kushughulika na hao wazungu wangeshughulika na watoa kibali ambao wameshalisemea hilo suala. Huu utakuwa ni ubaguzi tu unawasumbua hao jamaa.
@lizzjojoh7280
@lizzjojoh7280 6 месяцев назад
Tatizo sio misaada, we must wake up Africans.👊🏿
@leokamil6284
@leokamil6284 6 месяцев назад
Tatizo ni viongozi kutaka kujilimbikizia mali ,ukitizama rasilimali zote lakini huduma za Shule mbaya Hospitali na maisha duni kwa Watanzania ni viongozi tu ndio wanamaisha bora.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 6 месяцев назад
Zalau Kubwa Sana Mpaka Vitoto Vyao Wanavionesha Kama Waafrika Choka Mbaya Kumanina Zao
@buggaloh0201
@buggaloh0201 6 месяцев назад
Hii nchi hiiii, ndo maana magu anakumbukwa sanaa. Hao wazungu lolole litokee juu yao
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 месяцев назад
Hapa ndiyo nnapo shangazwa na Viongozi wa Kiafrica,Mzawa akiua hata Swala anafungulia mashtaka ya kufungwa Miaka 22 ila Wakuja akiua Tembo,Simba,Chui au Kifaru hautasikia kafunguliwa Mashtaka Shame on you all Leaders of Africa who protects Whitemen and Oppressed their natives people
@Isaackkanyankole978
@Isaackkanyankole978 6 месяцев назад
Hata mtanzania akilipia kibari anapewa ruhusa kabisa.
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 6 месяцев назад
Acha swala mkuu ukiuwa hata kanga unakamatwa
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 месяцев назад
@@salimfaraj5509 Yaan ndiyo maana Rais Vladimir Putin anaona Afrika haina Viongozi wanaojitambua labda kidogo wale waliopita
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 месяцев назад
@@Isaackkanyankole978 Hawawezi kukupa kibali cha kuwinda Simba,Tembo,Kifaru,Chui labda wale Swala,Nyumbu na Nyati
@Isaackkanyankole978
@Isaackkanyankole978 6 месяцев назад
@@rogerslwitiko3915 Tafuta pesa sana. Bado ujajua pesa ina nguvu katika hii dunia. Mbona ilo jambo ni dogo sana katika suala la pesa😂
@user-mh5ve4ly9g
@user-mh5ve4ly9g 6 месяцев назад
Kwani simpaka akauwa uyo mamba SI serikal inajua msimshambulie viongoz ndio sababu wqnge mkataza asinge fanya hii ndio Africa yetu viongoz ndio wa hovyo
@JohnKibebah-px8ci
@JohnKibebah-px8ci 6 месяцев назад
Huu ni ukatili wa hali ya juu na dharau wa watanzania
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 6 месяцев назад
Alishajisemeaga Magufuri hili ni shamba la bibi ivi nyie hamkumuelewa Mama kashakabizi vyote kwa sasa😢😢😢😢
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 6 месяцев назад
Tafuta pesa kijana na wew ulipie ukawinde
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 6 месяцев назад
Sura yake inaonyesha tuuu kuwa ni mkatiri sana na inawezekana ametoka familia ya kichawi huko marekani...maana anavyoongea kwa jeuri...hawa ni majangiri kama majangiri wengine tuuu...kick them out from Africa...usije ukakuta hata hicho chakula wanawawekea dawa watoto zetu waje kuwa mashoga bila kutarajia...who knows labda wametumwa...kuwinda ni kama wanajificha kwenye kivuli.
@ellybrown5989
@ellybrown5989 6 месяцев назад
🤔Hilo nalo neno!kwani kuna kipindi hata dawa za Meno walikuwa wanagawa mashuleni,yaani hata mswaki haujai...Tuwe makini Sana kwakweli.
@riavlogstz
@riavlogstz 6 месяцев назад
😂😂nimechekaa
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 месяцев назад
Acha ubaguzi wa kijinga wewe. Unajuaje ukatili kwa kuangalia picha ya mtu usiyemjua?
@user-zk5zg8mv7t
@user-zk5zg8mv7t 6 месяцев назад
Mpaka wanapost juwa wanakibal unachotakiwa sema naviongozi wenu wamelipa pesa wamepewa kibal kunatatizo mpaka mnawapa vitisho acha wapost wanakibal kinawalinda tuwe nahamani❤
@marthageorge5043
@marthageorge5043 6 месяцев назад
Sura mbaya
@sharifamunisi4378
@sharifamunisi4378 6 месяцев назад
Magufuli amka baba😢
@AyshaHamza-yd7so
@AyshaHamza-yd7so 6 месяцев назад
Tatizo ni watu tulionao kwenye nafasi za kiutendaji . Wanakosa jicho sahihi la kuona Dunia inaelekia wapi na weledi hawana. Tunashindwa kusogea kwa sababu ya ubutu wa utendaji katika ofisi zetu . Nivema kuangalia nani yuko wapi na kafikaje hapo alipo? 😢
@moriscollins4494
@moriscollins4494 6 месяцев назад
Wangepewa kibari cha kuua ma fisadi huku mjini
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 6 месяцев назад
KWA HUU UJINGA WALIO UFANYA ANGEKUWEPO MAGUFULI HAWA MBWA WANGEFIA JERA
@allysimu6856
@allysimu6856 6 месяцев назад
Kunakitu kinahandaliwa kuweni makini wanatafuta sababu tu mkaemkijua tunatafutwa usiku na mchana
@itNeza
@itNeza 6 месяцев назад
Wa afrika acha Tuzaraulike, Tumeyataka wenyewe ( Hata dini hatuna, Tamaduni zetu Hatuna tena ) wapumbavu Sisi, Acha Tukipate chamoto. 😎
@YUSUPHHUGUGU-vh9rx
@YUSUPHHUGUGU-vh9rx 6 месяцев назад
Sis tuna dini ya khaki na yakwel ambayo ni uislam. Ww ndiyo huna dini
@josephambilinyi5859
@josephambilinyi5859 6 месяцев назад
​@@YUSUPHHUGUGU-vh9rx huna unachokijua kuhusu dini... Uislam sio dini yetu pia... Waafrica tuna vitu vyetu sio ukristo wala uislam hivyo vyote tumeletewa.
@maghimbijuliusmaghimbi6470
@maghimbijuliusmaghimbi6470 6 месяцев назад
​@@YUSUPHHUGUGU-vh9rxhuo uislam umeletewa sio dini yako jifunzeni kusoma ili mjue historia yenu nyie Waafrica na msipotambua mlipotoka kamwe hautojitambua unapoelekea.
@rehmakondo
@rehmakondo 6 месяцев назад
Khaaaaa😂😂😂😂basi haya😂😂​@@maghimbijuliusmaghimbi6470
@Kabwela776
@Kabwela776 6 месяцев назад
@@YUSUPHHUGUGU-vh9rx ni dini ya mwarabu hiyo na Ngozi zingine wana dini zao wahindi wana dini yao waasia wana dini yao nyie kudandia dini za watu wengine
@kiatu
@kiatu 6 месяцев назад
They should never come to Tanzania again. The poverty will not end by receiving food handouts. Shame on our leaders.
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 6 месяцев назад
Tafuta pesa na wew ukawinde
@kiatu
@kiatu 6 месяцев назад
@@mosesnyelo1380 Uko off-point mkuu, tatizo ni lugha au unamjibu mtu mwingine?
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 6 месяцев назад
@@kiatu sasa wao kuja Tanzania na kuwinda tatzo liko wapi, mbona wapo watanzania kibao wanalipia vibali na kuwinda?, kuwinda sio haramu kama una kibali, swala LA wao kusaidia kaya masikini kwa chakula pia sio jambo baya mana kama wew unakula na kushiba wapo ambao hata mlo mmoja kwa SKU ni shida, tuache chuki zakijinga
@kiatu
@kiatu 6 месяцев назад
@@mosesnyelo1380 ukiona jambo halijawafurahisha wengi jua kuna kitu hakipo sawa. Comments nyingi haziungi mkono jambo hili. Hii ni expression ya kutoridhishwa na sheria inayoruhusu hayo mambo, in that sense you are right. Ila handout za vyakula zinaliaibisha taifa kuanzia ngazi za serkali za mitaa hadi rais.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 месяцев назад
Kwa nini wasije Tanzania? Wamevunja sheria gani yavkuwazuia kuja tena?
@sheilakileo2443
@sheilakileo2443 5 месяцев назад
😢mama wa Iringa aliye jipatia swala wa kitoweo,kafungwa😢😢 mwenye rangi nyeupe anasaminiwa ye anapewa na kibali cha kuua mamba kabisa Tz Tz
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 6 месяцев назад
Viongozi wa nchi ni vibuyu tu halafu wanajifanya wanajua mazombiiiiiiiii
@user-ms8zt2im6x
@user-ms8zt2im6x 6 месяцев назад
Yan mzungu anathaman daaaaaah nchi hii
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 6 месяцев назад
Ushujaa huu walioufanya ni lazima Kuna mtu nyuma Yao.
@HansChuma
@HansChuma 6 месяцев назад
Kunamzungu anakuja africa kufanya kitu bila ya kua na Mifaidi achen Upuuz 😂😂😂et kulisha chakula pumbavu shame on them guys wazungu washenz hautowajua kama haujaish nao
@lordsm.k-db3wy
@lordsm.k-db3wy 6 месяцев назад
Hapa namkumbuka MAGUFULI wangu akisema HAKUNA CHABURE hata iweje kwa hio watanzania mmeshindwa kuwanunulia penseli, watoto wenu yeye ameweza halafu mnata mumlipeje Mnamuonea tu Bure.
@user-ow7yf4ep1o
@user-ow7yf4ep1o 6 месяцев назад
Wht the Government said.be side's people on social media..this is unfair....
@josephkenga5627
@josephkenga5627 6 месяцев назад
Imani gani wako nayo kwa waafrika, huko kwao marekani kuna wengi maskini wasio na makao wanalala barabarani kwanini wasisaidie watu wao nchini kwao;
@leokamil6284
@leokamil6284 6 месяцев назад
Mgeni akija na kuomba sukari unahaki kumpa au kumnyima .Tusiwalaumu hawa tulaumu aliyeruhusu .
@naturelle1097
@naturelle1097 6 месяцев назад
They are licensed hunters. ❤❤❤croc meat in Kenya is a delicacy and part of Tourism promo
@junemuchiri609
@junemuchiri609 6 месяцев назад
But what they did to that croc is animal cruelty
@naturelle1097
@naturelle1097 6 месяцев назад
@@junemuchiri609 people kill each other cruely this is not cruel
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 6 месяцев назад
Iyo Misada Iko Na Ushoga
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 6 месяцев назад
Wamelipa kuuwa huyo mamba wamepewa kibali cha kuwinda yanafanyika dunia nzima acheni ushamba
@pascaljumanne2790
@pascaljumanne2790 6 месяцев назад
Hapa ni kutafuta chanzo awa ni wanajeshi wa marekani
@juliethswai4263
@juliethswai4263 6 месяцев назад
wameua mnyama ..wanatoa misaada ya pensel...sijui kwanini Africa tunawaabudu sana hawa ngozi nyeupe
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 месяцев назад
Angekuwa mtanzania angekuwa ndani na angekuwepo MAGUFULIA WASINGETHUBUTU
@RadaMic-sq6ld
@RadaMic-sq6ld 6 месяцев назад
Akili ndogo wanaua wanyama kwann😢
@George-jz3jg
@George-jz3jg 6 месяцев назад
Mtanzania akiua ni jangili na anapigwa risasi lakini Mzungu akiua ni muwindaji hii ndo Tanzania ya mtu munayemuita anaupiga mwingi
@Isaackkanyankole978
@Isaackkanyankole978 6 месяцев назад
Wanalipia vibari. Acha kuwa na mawazo mazito😂
@upendo1020
@upendo1020 6 месяцев назад
Vibali kwenye mali zetu?
@heavymachineproduction.4613
@heavymachineproduction.4613 6 месяцев назад
Watanzania elimu noma …. Hata Mtanzania anaruhusiwa ila lazima uwe na kibali ????😢
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 6 месяцев назад
Bila kibali unakua jangili
@heavymachineproduction.4613
@heavymachineproduction.4613 6 месяцев назад
@@husseinsaid8021 tuelimishane jaman … Watanzania elimu imekuwa tatizo na tunapenda kubishana vitu ambavyo hatujui ukweli …
@omarali7
@omarali7 6 месяцев назад
Si watoto wamepewa pinsili😂,muache,dah afrika💔
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 месяцев назад
Kwann muue mnyama asie na hatia kenge nyiye. Yaan mmeniuzi sana kumuua Mamba wetu
@mastatz7766
@mastatz7766 6 месяцев назад
Mbona mimi ni mtanzania afu sina hasira. Nasisi tujifunze kuwinda na ndio maana tunashindwa kuua hata nyoka. acha tusiende mbali mamba wa nini sasa tz zaidi ya kutumia uchawi tu. naomba mkaue na wengine kama wapo
@timokaswahili8917
@timokaswahili8917 6 месяцев назад
Nizalau sana serikali haina dira na mali zetu
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 6 месяцев назад
Wonder shall never and
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 6 месяцев назад
Kama wamelisha watu inamaanisha wauwe mamba
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 6 месяцев назад
Haya ni madhara ya kupokea misaada, anayetoa msaada lazima ajilipe. Tatizo ni sisi wa tz.
@henryking6070
@henryking6070 6 месяцев назад
Mimi naishi Marekani uku kwao ukiuwa tu hata nyoka unaenda jela
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 6 месяцев назад
duuuh😢😢😢
@cmoshi7014
@cmoshi7014 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 6 месяцев назад
Wenyewe wazungu wanasema Viongozi wa Afrika ndio wanaiuza Afrika kwao 😢 ni sawa kusema mteja akija ukikata hawezi kukulazimisha .Lakini akija ukimpa kiti na kukubali inamaana umeuza utu wako.Tunajikomoa wenyewe kwa tamaa na ubinafsi
@leokamil6284
@leokamil6284 6 месяцев назад
Ndugu yangu ukitaka kujua sisi waafrika ni wabinafsi na tunatamaa hatutosheki .Kiongozi anakaa miaka kumi madarakani analipwa mshahara na hata akitoka madarakani ataendelea kulipwa na kutibiwa yeye na familia yake ,kabla ya hapo alikuwa pia na mishahara mizuri tayari alikuwa na nyumba na mali kedekede ati akistaafu anajengewa na fedha za watanzania Jumba la kifahari hapo ukizingatia familia yake pia wanajiweza na kwa kukosa utu ubinaadamu hofu aibu huruma ati wao wanaona ni sawa kweli ni sawa jamani?Wakati kuna watumishi wa Serekali wamestaafu kulingana na mishahara mibovu hata pakulala hawana, Wazee ,yatima lakini kwa ubinafsi wanapokea kwa shangwe unataka kuniambia sisi wa Afrika tuna utu na ubinaadamu hatuna hata chembe.Nchi zilizoendelea viongozi wao ni tofauti kabisa sidhani kama hujengewa mahekalu wakistaafu na wakati walikua wakipewa mshahara .
@moseskulola6913
@moseskulola6913 6 месяцев назад
Noma
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
@user-xh7xw4uh2g
@user-xh7xw4uh2g 6 месяцев назад
Shida inakuja yule mama akiyefungwa kisa vipande vya swala
@angiem1538
@angiem1538 6 месяцев назад
YES.NA NDIO HATA MM NIMEUMIA SABABU HYO. I WISH AFTER THIS WAMUA HIE HURU YULE MAMA
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 6 месяцев назад
Sisi tunapenda wanachokifanya endeleeni kutuoa burudani hata mimi napenda kuwinda watz acheni makasiriko
@elvisernest3280
@elvisernest3280 6 месяцев назад
Mavi yako
@danielyombage3983
@danielyombage3983 6 месяцев назад
Nchi hizi mgeni anathaminiwa sio mzawa hawa wazungu wanajifanya dunia yote yao
@kulwahabibu1840
@kulwahabibu1840 6 месяцев назад
Mm nashangaa sana yani watu from no where wanakuja kwetu tena kuuwa wanyama ambao hawana hatia hii mm binafsi sijapenda kweli huo ni ujangili wachukuliwe hatua hii nchi ni ya amani mambo ya kuua ua huku kwetu hatutaki waende kwao huko😳
@syliviakente9460
@syliviakente9460 6 месяцев назад
Hapana kuna utaratibu nenda Wizara ya Mali asili wakueleze hii kitu sasa hivi haina mvuto enzi ya miaka 90- 201.., Msimu ulikuwa unaanza 30 June na kuisha December 31 ajira kibao huko makambini tip wanapewa hao wafanyakazi mtu akitoka porini ana fedha ya kula miezi yake mitano maana kule chakula na matumizi ni ya juu.mwenye kambi , ajira: Madereva, Wapishi, madobi, waiters, house keepers, proffesional hunters hawa wana leseni za uwindaji wamesomea kabisa , walinzi, wamasia kibao walikuwa wana pata ajira kwa ajili ya kuchuna ngozi wa wanyama waliowinda bila kuharibu, inakaushwa na chumvi ngozi inawekewa dawa isitoe wadudu , clearing na forwarding kusafirisha hizo nyara baada ya kulipia vibali vyote vya serikali watu wa sokoni vikapu na vikapu vya chakula mboga , matunda wauza samaki fresh soda, maji, pombe , diseli ya kuendesha generators , mafundi mechanics , ni vitu vingi vya kueleza ! Watu wenye makampuni ya ndege binafsi walikuwa wanafanya safari za kupeleka hao wawindaji kwenye makambi kulikuwa na viwanja vya kutua hizo ndege ndogo
@syliviakente9460
@syliviakente9460 6 месяцев назад
Na pia nyama walikuwa wanatumia kama kitoweo
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 месяцев назад
Sio ujangiri kasome kwanza sheria kabla ya hujaandika ujinga kwenye mitandao.
@malakisilas6523
@malakisilas6523 6 месяцев назад
Kakosea sana ,kwao huwez fanya hivo,kisa wana hela.
@issamaulidi8860
@issamaulidi8860 6 месяцев назад
Ao ndo wanaleta ushoga Africa
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 6 месяцев назад
Hakuna kama magu ,maana Mambo hayo yalikua hakuna
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 6 месяцев назад
Nitabaki kukandamiza kua Tanzania hakun kiongoz yeyote Ni ujinga mtupu naandika hay kwa maumiv San maan kuna mam masikini kule mbeya juzi tu alihukumiwa kifungo jela miaka22 kwa kuuza nyama kweny ndoo ten nyama pori spati picha km masikini wa kitanzania angeua mamba aise nchi imekaliwa hii
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 6 месяцев назад
inankmbusha yule mama alye ktwa na nyama ya swala kwenye ndo akapewa kes
@MatsonDragon
@MatsonDragon 6 месяцев назад
Dharau gani katoto tu kakizungu kagahie watato wakubwa misaada kwaajili tu ya Umaskini 😢😢😢 Waafrika tubadilike sasa
@NickyPeter-ec4gv
@NickyPeter-ec4gv 6 месяцев назад
Acha africa tutawaliwe maana akiri zetu nizakijinga sana, pia wao hawanakosa kuwaua hao mamba mbona mamba wanaua watu.
@annalyimo1270
@annalyimo1270 6 месяцев назад
Hao wangefungiwa kabisa kuingia Tanzania yaone yalivyo makatili uso Hadi rohoo
@stephanomkumbwa162
@stephanomkumbwa162 6 месяцев назад
Nkumbuka majuz tu apa kunamama alikututwa na vipande vya nyama ya swqla kahukumiwa miaka22 ila hawa kenge tunaambiwa na wawindaji wanakibali yan inasikitisha sana😢
@BasumegeMbotwa-bo7td
@BasumegeMbotwa-bo7td 6 месяцев назад
Ni kweli inaumiza sana wamutowe yule mama alikuwa anapata pesa ndogondogo😭😭😭😭
@richardnott4403
@richardnott4403 6 месяцев назад
Yap nimekumbuka sana
@user-tf4er2iq7k
@user-tf4er2iq7k 6 месяцев назад
Hawa watu tusiwaamini asilimia mia moja kwamba wanaipenda africa vitu vibaya kama hivyo vya kuuwa mali asili zetu kama huyo mamba wetu. siku zinakuja watajifunza shabaha pia kwenye miili yetu .Huyo mamba alikuwa ni historia kubwa kwa nchi yetu na Afrika hebu tujiulize sisi tunaojitambua nchi yetu imepata faida gani? kiumbe huyo kuwawa ambaye ni historia kwetu na Afrka .Huyo mamba wakati wa uhai wake angehifadhiwa kwenye zoo nchi yetu ingeingiza fedha nyingi za kigeni.Lakini hiyo si shangai sana kwasababu Africa ndio maabara ya kila kitu kwa kigezo eti wanaipenda.Mungu iokoe Afrika.
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 6 месяцев назад
Nimelia sana na kumkumbuka magufuri
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 6 месяцев назад
Umelia kisa nini?
@Xyz-dc3yq
@Xyz-dc3yq 6 месяцев назад
Una matatizo ya akili wewe😂 endelea kulia
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 6 месяцев назад
​@@tumlakimwaitumule muache mzalendo mwenzio😂
@hopechidera
@hopechidera 6 месяцев назад
​@@Xyz-dc3yq🤣🤣🤣eti endelea kulia🤣🤣😅😅😅
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 6 месяцев назад
@@tumlakimwaitumule wewe ndo wale wale t
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 6 месяцев назад
Wanaviburi balaa
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 6 месяцев назад
Hawa wameua tena mamba mkubwaaa VIP KUHUSU YULE MAMA WA WA VIPANDE VYA SWALAA leoo wazungu mnaona faharii kisa hiyo misaa ya chakula mnajua nini wanachoooooo
@FredKamba-kl2bb
@FredKamba-kl2bb 6 месяцев назад
Hii hhaikubaliki hata kidogo
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 6 месяцев назад
Hiyo misaada yao okichunguzwa vizuri utakuta kuna viashiria vya ushoga sio watu wazuri wa america
@ibrahmchomvu8278
@ibrahmchomvu8278 6 месяцев назад
so sad .. na hao wala sio tatzo . tatzo walioruhusu .
@eliariro5514
@eliariro5514 6 месяцев назад
Wasituchukulie poa kiasi hicho ingekua ni mwafrica huko kwao unadhani ingekuaje?
@alfredibrahim7085
@alfredibrahim7085 6 месяцев назад
Africa bado tutazalilishwa miaka elfu ijayo
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 6 месяцев назад
Tusiwalaumu hawajamaaa wamepewa ruhusa ya kuwinda ndo maana wanafanya hvyo wahucika wapo wanawachora na wanawalinda tu
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 6 месяцев назад
Lazima watoe msaada kwani huyo mamba wakienda kumuza wanapata Mabilion ya ela kiatu cha ngozi ya mamba yenyewe ni mamilioni ya hela hakuna mzungu anaye toa msaada wa bure ..wanapiga hela ya kufa mtu hao..wasitu chore..na hawo awafanyagi kitu kwa hasara .huo msaada wanao sema ni thelusi moja tu yawanacho kipata ..
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 6 месяцев назад
Wanakupa pipi wanachukua madini The same kwa hili
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 6 месяцев назад
Wabongo maipende kufatilia mambo kwa mihemko tu
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 6 месяцев назад
Mfyuuu
@naumikabila5880
@naumikabila5880 6 месяцев назад
Mtanzania akiua kobe tuu miaka 50 jela
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 месяцев назад
Kuna watu wataenda jela kwa kuwatishia hao wazungu.
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 6 месяцев назад
Hili limama lenyewe limekomaa kama nn sijui ndo linakulaga ngozi ya mamba..
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 6 месяцев назад
Don't donations Africa because we're not poor.
@sememakolo9360
@sememakolo9360 6 месяцев назад
Kumanina zao hawa sijui tunaviongozinwa ajabu kiasi gani yanasomeshwa halafu yanatumia madalaka kipumbabu
@seifhabib5987
@seifhabib5987 6 месяцев назад
Makufuli uko Wapi Baba,Wanyama wanauliwa huku na Wageni
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 6 месяцев назад
SHERIA INARUHUSU. UNALIPIA DOLA LAKI 1 UNAPEWA KIBALI CKU 21.UKIKOSA WANYAMA ULIO LIPIA NDANI YA HIZO CKU.KIBALI KINAISHA.
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 6 месяцев назад
Wafunguliwe mashitaka serikali hawalioni hili au so mgeni akiuwa mnyama ni sawa lakini mwenyeji anafungwa na kutangazwa kwenye vyombo vya habari hii c sawa serikali ifanye kitu abeg
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 6 месяцев назад
Angekuwa mbongo miaka 15 jera ingemuhusu.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 6 месяцев назад
Serikali izuie trophy hunting Nyie sns mjifunze muelewe kuhusu trophy hunting
@user-vl2oe9fo8u
@user-vl2oe9fo8u 6 месяцев назад
Tutamkumbuka magufuli daima
@fadhilkassanga5386
@fadhilkassanga5386 6 месяцев назад
Haya ni madharau sana kwa Tanzania njaa gani tulio nayo Tanzania mpaka tuambiwe umasikini ndio anasaindia
@othumanomari1589
@othumanomari1589 6 месяцев назад
Wizara husika inaukosefu wa fikra
@josephjulio6112
@josephjulio6112 6 месяцев назад
Dharau
@emmanuelelias7589
@emmanuelelias7589 6 месяцев назад
Mbona hi sioni Cha kushangaa,,, kwasababu hichi Ni kitengo Cha uwindaji na kimeruhusiwa kisheria na wanalipa pesa kuwinda wanyama,, na Ni wanyama mamilioni wameshawindwa hapa nchini kwetu kihalali,, hata huyo mamba Nani angemjua isipokuwa amepostiwa,,, Ni ilimbukeni kutokujuwa wameruhusiwa kisheria,,, wapo wengi wamewindwa ila kwa vile hawajapostiwa ,,, huyo mamba angezeeka angekufa heri awindwe nchi iingize mapato,,
@user-gv2nr5em7v
@user-gv2nr5em7v 6 месяцев назад
Tusilaumu wazungu bali serikali maana mpka mtu anakuja kuuwa mnyama mkubwa kama huyu nchini kwako ,bc umeruhusu ,huruma kwa wale ambao mifugo ikiingia porni wanafilisiwa pleeni sana
@user-qr9gd3id1f
@user-qr9gd3id1f 6 месяцев назад
Ingekua mtanzani ndo kaua heeee mbona hao mali asili wangekujaa juuu hatarii lkn kwa vile wazungu kimiaa
@kalvinmichael9848
@kalvinmichael9848 6 месяцев назад
Angekuwa mtanzania kaua mamba nijangili ila hao niwatarii
@hanifaally4694
@hanifaally4694 6 месяцев назад
Ngoja mbongo akutwe tu na vipande viwili vya nyama ya swala atavaliwa njuga huyo atapewa faini million 22 na kifungo miaka 22 wakat watu wanatia watu chupa za makalio kesi zinafutwa ukiuliza mbunge na huyu mzungu wananch masikini hawana pakusemea hao nao hakuna litakalo endelea tupo hapa tunaupigwa mwingi. Smh!.😂😂😂😂😂😂
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 6 месяцев назад
Wauawe tu hao mapig
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 6 месяцев назад
Bwa wa zungu na Waharabu wa china wote Wabaguzi bwa bwa sana
@gambagumu368
@gambagumu368 6 месяцев назад
Ashukuru TU ungelifanya Hili WAKATI uliopita WA MWAMBA na wewe ungeuliwa kama huyu mamba SHUKURU TU MWAMBA kapumzika huko chato LAKINI oooooooooo UNGETUAMBIA MTEMA KUNI ALIONA NINI
@yohana1242
@yohana1242 6 месяцев назад
Watanzania wameuliwa mamba wao tu wanataka kulipiza kisasi free Palestine
@carolinannhaule8187
@carolinannhaule8187 6 месяцев назад
Apa mm siherew wanatufanya misukule serikali yetu ingalie ikituuu wanajeshi tunao simngetuma waka muhuwe mamba lakini ukubwa wake ni kivutio sisi ni Tanzania misukule aseee
@celestin4684
@celestin4684 6 месяцев назад
If i may ask. Kuuwa wanyama ukiwajuta maeneo kwao. Sio kosa kana kwamba Selekari iwachukukiye hatua. Mbona kwao hata ukiuwa ndege hata bila kutalajiya unaweza fungwa. Ni kwa njia gani sasa hawa wazungu wanakuja Africa na kuuwa uwa wanyama hovyo. Wamepewa ruhsa na selekari ama nini. Kwa sababu kwao najuwa vizuri hawawezi fanya hivo. Naomba jibu bwana #Simulizi na Sauti.
@kwisa4899
@kwisa4899 6 месяцев назад
wamelipia
@popiya2368
@popiya2368 6 месяцев назад
😢
@nishgold4160
@nishgold4160 6 месяцев назад
Ambae hajampoteza ndugu ake Kwa sababu ya mamba aendelee ku bwabwaja, mamba sio kiumbe .
@jaymandy8136
@jaymandy8136 6 месяцев назад
😂 wakulaumiwa ni mamlaka husika ilowaruhusu kufanya hivyo mnapowalaumu hao mnawakosea sana maana wao hufanya hivyo for fun lakini pia ulaya na marekani legal hunting inaruhusiwa 😊
@azizmiraji2610
@azizmiraji2610 6 месяцев назад
Haya majitu Mimi siyapendi tu
@yussufyussuf7686
@yussufyussuf7686 6 месяцев назад
Ss hatuwapendi hao mnawafagilia mbwa hao
Далее