Wowuuu huu ndo muda wa kubonyeza kwa hili neno subscriber mnanifulahisha Sana . ndaro akiwa na stiven mpango yao ni hatali . Kwizera Hamza from Rwanda. kwa kiswahili unite Kuamini Hamza . Shukran Sana wazee wetu tunawapenda zaidi . ila msinicheke kiswahili changu sio kizuli cha muhumu ni maoni yangu. Tuendelee .....
Aisee Kiswahili yetu ya wakenya ni tofauti sana na ya watu wa bongo. Wabongo wanaongea Kiswahili sanifu Aisee!!! Lakini kwa kingereza hawatufikii ata!!