Mungu watangulie wanajeshi wetu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪, walinde pamoja na wale wote wanaopigania Amani nchini Congo, wape ushindi na itakapo wadia mda Wa kuondoka Congo watoke wote wazima kama vile wameingia, Amen 🙏
MUNGU anapenda wapenda Amani, maombi yangu ni kwa wanajeshi Wa taifa langu 🇰🇪 Mungu awatangulie katika hio mapigano, sijui adui ni Nani Congo lkn naamini Mungu ni mkubwa ndugu zangu watarudi wazima kwa imani pamoja na wote wanao pigania Amani nchini Congo
@@gakwayamarc9417 that's your faith, i trust in God our brothers and sisters won't die there, there's God whom i trust in him, Kenya is a prayerful Nation we are praying for all of them
Ndugu Austere Malivika umefanya kazi kubwa sana ya utangazaji katika uwanja wa vita kwa muda mrefu, nakushauri INATOSHA upumzike ule hela yako. Umefanya kazi kubwa sana kwa muda mrefu na Mungu amekulinda sana maana kazi hiyo ni ya hatari sana.
Kutegemea inji za kigeni... Kwani wale wa rundi tangu walipo ingiya Congo kume kuwa na utafauti gani?!! Hakuna kinacho endeleya... Laiti Fardc wange ji tahidi ili kuleta usalama naku piga m23 hadi kwao Rwanda... Sisi raiya tuko nyuma ya Fardc
Wanunue drone kama zile inazotumia UKRAINE katika uwanja wa mapambano ndipo watafanikiwa kuwadhibiti na kuwashinda kabisa waasi wa m23 maana congo kuna misitu mikubwa sana,sasa bila kuwa na drone ni ngumu kuwashindwa hao waasi!!
@@manirambonajacques600 non c'est son les soldats Ruandais sanguinaires Assassin's génocidaires qui agresse le KONGO pour pouvoir voler nos richesses.convoites à la complicité de communauté internationale.
Watapiganaje na FDRL nawakani Hilo kundi liko pamoja na FRDC watapiganaje na hilo kundi hhhhh au wanaenda kusaidiana nalo M23 niwa congomani wanaopigania uhuru wawo hhhhhhh wa afurika bwawe hhhhhhh hizo siasa hazitasaidia chochote kama hawawezi kupatanisha serikari ya congo na wana nchi wake wajisumbuwa
Mr Paul achana nawo wana nguvu gani? Umenikwaza ndugu 🇷🇼🇺🇬🇺🇸 ila ujuwe yakwamba yale mataifa ndo yameunguna ili wapore mali ya congo ila mkulima ndo anakuwaga mingi pia ndo nwenye faida kuliko mwizi wamesumbuwa congo kitambo kina mwanzo na mwisho
👋 Mr juma ubarikiwe milele wewe ndo mtu wa kwanza kuliko wote unastahili zawadi kutoka kwa mungu pia kutokea kwenye gouvernement ya congo 🇨🇩 nahitaji contact yako
Julie Malaika; Wewe ni zero kabisa. Mwanaume gani hutegemea urinzi kutoka kwajirani ? Huko Masisi Mai inachinja raia wasio na hatiya kama wanyama n'inyi mumekazana na M23 kwasababu ya ukabira. Jambo moja tukubariane kwa kweri M23 niwanaume. Haiwezekani mataifa yote 6 East Africa, SADAC washikamane bila kusahahu kundi la Wegner group kutoka Urusi kwajirani ya kikundi cha waasi..... 😂😂😂
Wakenya tuawawomba mujuwe m 23 inapiganiya haki zao, so mutayarushe makaburi mapema, because God is with M23, they fighting there rights, you should come back murinde inchi yenu
kenya itapokonya aje FDLR na wako kwenye jeshi la FRDC hapo ni kutudanganya aida awa KDf wanakuja kuyisadia M23 au kuyiba congo kama wanvyo fanya Munisco myaka 25
Please God protect my brothers and sisters soldiers for their peace mission at Congo, give Congo people peace more than we have in KENYA I pray, AMEN Amen 🙏 🙏🙏 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I hope this mission will bring peace and not hatred among East African countries. May God give all forces contributed from all regions strength and resilience to face this long time enemy.
More like Kenyan want to just still wealth in DRC just like every other country has done in the past centuries guess who’s stupid enough to believe that they will bring peace. I give ya 3 years once they get what they came for they will leave and everything will back to 0. All government need to do is seat down like 2009 but this time do what they say they was going to do. War is not good and no one should have to die for the benefit of politician. Send Kenyan back home and stop the war. The only victim here are civilians who has nothing to do or say in this whole situation
@@wafulawafula2670 so you think M23 and Tutsi people in north kivu are made of Ugandan and Rwandan? Help understand cz if so we have nothing to talk about cz you just supporting your country and understand but facts doesn’t care about ya feelings
@@patrickchapwe8778 ya think ? ☠️☠️ smfh is that what your education system teaches you ? I mean I’m not surprised but it sad for grownass man like you to be just big with peanut butter brain.
Shame on you who really don't know the roots of problem and still talk nosense things to others Many of you are not even on the field(inside the countrty) to find the truth This is the truth war it must be whether you like it or not. We tired of DRC leaders Think twice why always DRC government leaders are weak They still have hates in their hearts. You don't even know massive killing is going on to some origin people called banyamurenge #murenge location 😭😭😭 Victims please becouse they look like Rwandans😭 please leaders that's can't be the point to kill innocent people like that so sad.
Attached by events which have their roots far across the world when life seems hard the courageous do not lie down and accept defeat instead they are all the more determined to struggle for a better Future 💯✊✊✊
Uramuzi fitina nakuto kuheshimu bina damu ngiyo chanzo Cha migogoro DRC ambayo inaretavita kira kuchao,Kenya nainshi zinginezo washiroka wa Africa yamashariki tafuteni njiya yakusaidiya DRC pasipo kutimiya nguvu za kije,mutapoteza wengi nabado hatuja mariza kuwaririya ware DRC yenyewe imepoteza
Ukweli ni kua vita tunapigana na Rwanda na Uganda. M23 vipao na nguvu zao zinatokea Rwanda na Uganda ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KTSz3651nX8.html
Fahamu yakwamba There you are not on war you are on duty to help a common man to move forward And to facilitate peace negotiations here the key word Lakini mtu akileta umatako twanga risasi ya matako kwani iko nini
Sasa kagame na james kabarhebe mumekaa congo zaidi mwaka 20 Mbone mumeshindwa kuwashika FDRL ? Hawakuwage muliwawuwaga wote EX: camp panzi bukavu) mugunga goma) muku kavumu kashusha bibeka kamituga nyangezi yani congo nzima, kwanini hupelekwi huko pays bas ( criminal court judge 🧑⚖️ umewuwa wanyarwanda saana iwe watutsi wenzako nawahutu pia wawo ndo usiwongelee ila kila mabaya yalipiwa hapa duniani today is mine tomorrow is yours
@@therockn1666 upumbavu wakati DRC inaharibiwa na marekani na ulaya,huoni watu wanavyokufa?hata mareakani imesha isaliti Rwanda walisema Rwanda iache zsaidia M23 pna mrusi hapo biahsara imeisha si utaona wewe hujui askari wa kenya,kenya kuwa DRC m23 haiwezi tena,lini tangu uzaliwe uliona ndege za DRC zimevamia m23,?hahahah wakati mpya wanasema waswahili chenye mwanzo hakikosi mwisho
@@kylexy2901 m 23 haishindi wewe hujui siasa za dunuia na kwambia Congo haigawanywi m 23 inafutwa itapigwa kila kona hahaha wizi wa mali za drc umefikia mwisho