Huku mahakama ikiwakubalia wanajeshi kuendelea kuwasaidia polisi kurejesha usalama nchini, wanajeshi hao wanaweka mikakati yao katika uwanja wa nyayo hapa jijini nairobi. haya ni huku mahakama ikiwataka polisi kukoma kutumia magari ya kunyunyiza maji, vitoa machozi na risasi kuwakabili waandamanaji. seth olale yuko katika uwanja wa nyayo na sasa anaungana nasi kwa taswira kamili.
27 июн 2024