lyrics: Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani navyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru, amejigeuza amekua rangi nyingi, mejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua, ata wameanza kumuabudu, waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa,hawajatubu dhambi wanazitenda, tena niviongozi wakina mama,hata kanisa wao ndo walojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Fungu la kumi kutoa siyo shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji kitaka kosana nao awaambie, watubu dhambi, gari la kanisa wao ndo linunua, napia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na wahubiri nao sio kidogo, niwashirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanahubiri ujumbe wakutoa, wanasahau toba ya msamaha,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na makanisa mengine ya ajabu,wokovu wa yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu, ata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao,wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Giza na nuru zinashirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu mungu mtakatifu, katika roho, na pia kweli, yesu ni kweli tena ndio uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni, Mungu ataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, ewe shetani pepo uliomchafu nakuamuru kwa jina lake Yesu, toka ndani ya kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani?tunae Mungu baba wetu yehova, sifa utukufu ni zake milele
Please rate the lyrics. Hit Or Miss 1. Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani anavyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru. Amejigeuza amekuwa rangi nyingi, amejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua hata wameanza kumwabudu. Waraka wa yohana ule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, " azitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo". Tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 2. Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa, hawajatubu dhambi wanazitenda tena ni viongozi wa akina mama, hata kanisa wao ndio waliojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Fungu la kumi kutoa sio shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji akitaka kosana nao awaambie watubu dhambi, gari lake ni sawa wao ndio walinunua, na pia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 3. Na wahubiri nao sio kidogo, ni washirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanaubiri ujumbe wa kutoa, wanasahau toba ya msamaha, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. Na makanisa mengine ya ajabu, wokovu wa Yesu wanaukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu hata mchungaji anaibariki, ukiwaambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao, wakikutana pamoja kuabudu swali mnijibu wanamwabudu nani. 4. Giza na nuru zina shirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu Mungu mtakatifu katika roho na pia kweli, Yesu ni kweli na pia uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni Mungu anataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, wewe shetani pepo lile mchafu nakuamuru katika jina lake Yesu toka ndani la kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani, tunae Mungu Baba wetu Jehovah sifa utukufu ni wake milele.
Utaambia aje watubu na gari ni washiriki wamenunua plus system ni wao wamenunua... pastor now becomes the slave of the Rich wueh this guy is a prophet watching this in 17 may 2023.... may God bless you mtumishi
lyrics Sikuyajua kama ndivyo yalivyo, mpaka roho aliponionyesha, shetani navyojua kujigeuza kama malaika yule wa nuru, mejigeuza makua rangi nyingi, mejiingiza kwa siri kanisani, watu wa Mungu wao bila kujua, ata wameanza kumuabudu, waraka wa Yohana yule wa kwanza, sura ya tatu msitari wa nane, hazitendae dhambi ni wa shetani yeye alizitenda tokea mwanzo tunao watu wengi makanisani, kutenda dhambi kwao sio tishio, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Kutoa pesa kwao sio tatizo, hawajaolewa waendelea kuzaa, hawajatubu dhambi wanazitenda, tena ni viongozi wakina mama, hata kanisa wao ndo walojenga, wanadhamini mikutano ya nje, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Fungu la kumi kutoa siyo shida, lakini wameoa mabibi wengi, mchungaji kitaka kosana nao awaambie watubu dhambi. Gari la kanisa wao ndo linunua, napia vyombo kupazia sauti, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na wahubiri nao sio kidogo, niwashirika kumbe ni wake zao, wamewakuta watu wamesimama wanawaangusha wawaibie, wanahubiri ujumbe wakutoa, wanasahau toba ya msamaha, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Na makanisa mengine ya ajabu, wokovu wa Yesu wameukataa, kulewa pombe kwao sio ajabu, ata mchungaji anaibariki, ukiwambia wewe umeokoka, wasema hiyo sio imani yao, wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu, wanamwabudu nani? Giza na nuru zinashirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu Mungu mtakatifu, katika roho, na pia kweli, Yesu ni kweli tena ndiye uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni, Mungu ataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, ewe shetani pepo uliye mchafu nakuamuru kwa jina lake Yesu, toka ndani ya kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani? Tunae Mungu baba yetu Yehova, sifa utukufu ni wake milele
We should make this song trend and the message reach the current generation of christians who are only performers not worshippers. The songs which were sung in truth and sprit even the holy would manifest.
Mungu akujalie maisha marefu, afya njema, na azidi kukufunulia nuru ya Maandiko. Ujumbe wako anaishi kizazi had I kizazi, Maranathaaaaaaaaa......................
8th May 2024 ..if my kids come along this song one day ..let them know mama loved the true gospel ..Believed God, Jesus Christ and the holy spirit..My kids walk in the path that pleases God..let not believe in what the world is teaching but stick to almight God..God bless you 🙏🙏
Ewe shetani Pepo ulie Pepo mchafu nakuamuru Kwa jina lake yesu Toka ndani ya kanisan lake yesu nenda kuzimu ukachomwe moto amen pastor tunabarikiwa na nyimbo zako❤
Je suis pasteur à la république démocratique du Congo ,je reside à Kinshasa vos chansons m'ont toujours édifiées dans mon ministère vraiment que vous benisses
Hallelujah the message this guy is preaching is true Kindly log to www.repentandpreparetheway.org Jesus is our only saviour but it's unfortunate some have abused the grace of God and salvation in Christ Jesus