Тёмный

Wanawake 40 waliosilimu tumepatana nao kiwanja cha letwa hoja moto moto leo kimeumana 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 11 дней назад
Sisi watu wakusilimu mitihani ni mingi sana inataka moyo na subra sanaa. Ndugu zangu wenye wakona uwezo wasaindie Hawa mama zetu.. na mm Bado nikiombea mme wangu kazi ya dereva mwenye ataskia nafasi awasiliane na mwalimu .. wajazakallahu kheir
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Allah atupe subra inn shaa Allah itapatikana
@josemu870
@josemu870 11 дней назад
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@aishasalim9546
@aishasalim9546 11 дней назад
Salim nakukubali babaa ukosawa Allah akupe afya njema pamoja na wafuwasi wako
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@estherwamaitha1006
@estherwamaitha1006 11 дней назад
Asalamu aleikum Allah awape mema ndunia na akhera KAZI zuri mnafanya Allah subhana wataala akufungulie Milango Rizki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen sote
@OmarSharif-xr3pe
@OmarSharif-xr3pe 11 дней назад
Mashallah ❤
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 11 дней назад
Mweye enzi mungu awalipe malipo mema inshallah. Dr salim ngugi, ustadh hasan na mzee Ali
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 11 дней назад
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@AbusalimCreatives
@AbusalimCreatives 11 дней назад
Kazi safi sheikh Salim,
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 11 дней назад
Naona mzee wa juzuu hapo nyuma tayari ameshafika.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Siku hizi anasikiza bila maneno
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 10 дней назад
@@salimdaawah123 Wengine wamesilimu nyuma ya pazia ila hawataki kuweka wazi sababu ya kulinda maslahi.
@fatumayusuf-7736
@fatumayusuf-7736 11 дней назад
Mashaa'Allah. my request ' hawa madada watafutiwe mwalimu wa dada ambaye anafunza . mahitaji ya wanawake ni tafauti ya wanaume.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Inn shaa Allah fikra nzuri ila uwezo wa kulipa mwalimu imekuwa hatuna
@aishasalim9546
@aishasalim9546 11 дней назад
😂😂😂😂wallahi msomaji nakukubali unanichekesha wewe 😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@WycliffeOmutanyi
@WycliffeOmutanyi 11 дней назад
Allah akbar
@nassorsaid3150
@nassorsaid3150 11 дней назад
Mashaallah
@MwangiMuhammad-q8r
@MwangiMuhammad-q8r 11 дней назад
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah,,Allah awahifadhi nawapenda sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@thechallangeboystheawadh5195
@thechallangeboystheawadh5195 9 дней назад
A Aleykum imeni touch kwa kweli natamani ningekuwa na hela ningetoa mchango wangu na mm nika jinyakulia mithawabu kwa Allah. Nawapenda sana hawa kina dada walojaa nuru MashaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah akulipe kwa nia yako
@ibruzah001
@ibruzah001 11 дней назад
ALLAHU AKBAR ♥️
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 11 дней назад
Mashaallah baarakallah mungu awajaze kheri inshaaallah ndugu waislamu tufanyeni hima kile tulicho nacho tutoeni chako kidogo na changu kidogo tutafanikisha inshaallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Inn shaa Allah tutafanikisha tukiwa pamoja
@user-te3ir8yh6k
@user-te3ir8yh6k 11 дней назад
MashaAllah,Salim jazaka Allah
@hafsakirao398
@hafsakirao398 11 дней назад
Katika kuzini wakiwa wote ni vijana ambao hawaja oa au kuolewa, hukmu Yao nikipigwa fimbo Mia kila mmoja na kisha wagurishwe/wafukuzwe huo mji kwa mda wa mwaka mmoja.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Kabisa
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 11 дней назад
TAKBEER ALLAH AKBAR
@MohamedMeja
@MohamedMeja 11 дней назад
Masha allah mungu awajazii
@JohnNduati-q4e
@JohnNduati-q4e 9 дней назад
Good work Allah bless you
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@johnarokonyaruthu8155
@johnarokonyaruthu8155 7 дней назад
Yaa rabii leta wepezi Kwa wajaa wako
@saeedisa9798
@saeedisa9798 11 дней назад
MashaAllah
@hassansharif5716
@hassansharif5716 11 дней назад
Mashallah brothers
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 11 дней назад
Na wambie Adam n mweusi n weusi n asli y mwanadamu
@mamasiham9287
@mamasiham9287 11 дней назад
Mashaalah
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 11 дней назад
Asalam alaikum sheikh salim nilikuwa nawasubiri masha Allah
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 11 дней назад
Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatu hamjambo .. kaka! Nimekuwa nikiomba kazi uliskia nafasi ya dereva naomba unijuslishe 😊
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutatangaza kwa waisilamu na itapatikana tu
@MohamudAbdi-u7j
@MohamudAbdi-u7j 11 дней назад
Kushirikisha mungu ni dulimu kubwa. Na pepo hawata ona hawa kristo... Hata vitendo yao haita wekwa mezani.. Surah kaff
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Ndio ukweli huo
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 дней назад
Soma Quran 19:71.Motoni mwanzo Kwa mda usiojulikana kama wewe ni muislamu
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 10 дней назад
MashaAllah Allah awabariki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@abdiibrahim9907
@abdiibrahim9907 11 дней назад
Masha allah ❤❤❤❤❤❤
@BashirHussein-d5c
@BashirHussein-d5c 11 дней назад
❤❤❤
@AbdirahmangolloHalake
@AbdirahmangolloHalake 7 дней назад
MASHAALLAH
@SushmermSwaleh-uh7ds
@SushmermSwaleh-uh7ds 10 дней назад
Mashaallah Allah barik
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 дней назад
Aameen ameen ameen sote
@diangasahad
@diangasahad 10 дней назад
Asalaam aleykum natafta mke
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh sawa
@FatmaHassan-g2g
@FatmaHassan-g2g 8 дней назад
Mashallah
@hassanalfan6941
@hassanalfan6941 11 дней назад
Ameen
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 10 дней назад
52:23 uchungu wanaopata wanawake ni hiyo ya kwa sababu walikosea mungu. Wakristo wanasema kuwa yesu Aliondosha dhambi hiyo kusilibiwa. Na sasa swali ni baada ya yesu kusilibiwa mbona bado wanawake wapata hayo Maumivu bado?
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 10 дней назад
Asalamu aleykum. Washahihidi 4 hata 3 no kuna wakati ya Omar RALIYALAAH . Ilikuwa jama ame letuwa wa tatu waka Sema ya ine ame Sema a m not sure. Alafu Ali RALIYALAAH. Aka jibu Omar siyo kamili . hatumiki Lakini ya wayana si jui
@salimdaawah123
@salimdaawah123 10 дней назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ggv866
@ggv866 11 дней назад
Ameen
Далее
Ромарио стал Ромой
00:46
Просмотров 122 тыс.
С чего всё началось?
00:42
Просмотров 153 тыс.
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Просмотров 6 тыс.