Dah...ni kweli mapenzi yameanza kuthiirika kuwa yanaweza toka meru ..@NASSIZU...MWOTOO..aitha hivi kakangu ongera na usiangalie nyuma...yasiwe wanavyo zania kuwa mziki bila tinga ndo kuwa na hela..dah...wacha wajue meru tupo... inshallah mola awe nawe kakangu na once kollabo Kali natumai itawafikia mie na wewe🙏🙏🙏@RAYLUCK RAYOH
Its a big tune bro. Bana hii sauti tamu inafaa kufanya collabo na otile ama twende Tz bro. Bigup bro #Watanashatiforlife #Frommerutotheworld #Amerucansing 💖