Тёмный

Wasifu Wa 'Makaburi' 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 340 тыс.
50% 1

Alizua mjadala mkali kuhusiana na mchango wa viongozi wa kidini kutumia nyadhifa zao na maeneo ya ibada kusambaza itikadi kali za kidini na kupalilia ugaidi. Misimamo yake ikiungwa mkono na kupingwa kwa uzito sawa na viongozi wenzake wa kidini. Je, Sheikh Abubakar Sharif, au ukipenda Makaburi ni nani haswa?

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 162   
@babubombo1219
@babubombo1219 5 лет назад
Allah Amrehem Sheikh Wetu, Na Atujalie Mwisho mwema sote waumin Amin Ya Rabbil alaamin
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 4 года назад
Allah awaifadhi ndugu zetu
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 месяцев назад
Alhamdulilah,sisemi hawa abdurogo na makaburi na kundi lao ni watu wa motoni, Lakin masalafi wamekuja kuuokoa umma na makundi yao ya kikhawarij na hizbiyyun ,,masalaf tunasomeshwa na kina makaburi ni wahamasishaji tu
@sadiqsleemz6311
@sadiqsleemz6311 7 лет назад
ALLAH Akuhifadhi.. Akupe Pepo ya juu. INSHALLAH
@farahfarah3604
@farahfarah3604 4 года назад
sheikh abubakar allah give him jannah. Ameen
@richardkaringuri5557
@richardkaringuri5557 3 года назад
Ako Jehanam hugo buda
@abdillahkhalfan8186
@abdillahkhalfan8186 5 лет назад
Inshaallah watamlipa mbele walichomzulumu
@zulekhaomar5586
@zulekhaomar5586 5 лет назад
May Allah reward yuh jannatul firdaus sheikh makaburi
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 месяцев назад
Alhamdulilah,sisemi hawa abdurogo na makaburi na kundi lao ni watu wa motoni, Lakin masalafi wamekuja kuuokoa umma na makundi yao ya kikhawarij na hizbiyyun ,,masalaf tunasomeshwa na kina makaburi ni wahamasishaji tu
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
Allah anijalie mwisho mwema nife Kama walivyokufa masheikh hawa amiiini
@alexanthon3595
@alexanthon3595 2 года назад
Allah atujalie sote amiin
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 месяцев назад
Alhamdulilah,sisemi hawa abdurogo na makaburi na kundi lao ni watu wa motoni, Lakin masalafi wamekuja kuuokoa umma na makundi yao ya kikhawarij na hizbiyyun ,,masalaf tunasomeshwa na kina makaburi ni wahamasishaji tu
@AbdullahKulondwa
@AbdullahKulondwa 3 месяца назад
Wapinga jihadi nyie mashekh smart sio ishini mkingoja masi twangoja
@aminazara787
@aminazara787 8 лет назад
wane muharibia duniayakelakini amewaharobia akhera Yao rahimahu llahu
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Innalillah wainna ileyhi rajiun mungu ailaze roho yake mahala pema palipo na wema peponi, amiin.
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
Inallilahi waina ilehi rajioon, Allah apate kumsamehe Madhambi zake, na tunatarajia Huenda akawa mtu wa peponi... Ila mfumo aliyokuwa nayo, ilikuwa sio sahihi, ila Allah amlipe kwa niya yake... Na nimepitia baadhi za comments, Waislamu tu some Dini yetu na Tuache fikra za ( ki-khawarij ) ya wenye kuwatoa Waislamu katika uislamu, bila vigezo vya maana... Allah atuhifadhi kwa kusoma na kuelewa Dini yetu
@rahmamustapha1456
@rahmamustapha1456 Год назад
May Allah grant him Jannah
@qurantaxfiidonline9537
@qurantaxfiidonline9537 6 лет назад
Allah arehemu sheikhuna mowlana makaburi.
@MenengaiCrater
@MenengaiCrater 5 лет назад
He's burning in hell with his ugly virgins
@ahmedlaari9406
@ahmedlaari9406 5 лет назад
May jannah be your destination sheikh
@rashid.mwenyezimunguakurin2968
@rashid.mwenyezimunguakurin2968 4 года назад
mwenyezi mungu awape pepo kwa waropigania dini
@ibrahimadan6560
@ibrahimadan6560 5 лет назад
They don’t have to teach people war ,but the police they don’t have right to beat anyone
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 лет назад
Ukifundisha kuua na kumwaga damu ukidhani ni dini au maarisho ya mwenyezi Mungu,matokeo yake ndiyo haya...serikali wataingia popote na kukutoa....dini ya Mungu wa kweli haifundishi kuua watu.
@hamzaamri4952
@hamzaamri4952 5 лет назад
una laana kafiri ww
@bakarabajana3433
@bakarabajana3433 5 лет назад
Kafiri utamjua kwa maneno yake huu ni mckti ni sehem takatifu hairucwi kuingia na viatu sio kanisa
@MohamedAmin-mx9ky
@MohamedAmin-mx9ky 3 года назад
Hhh wajua tu serikali Mkumpavu wewe..... Tuwamaliza pia wewe
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 месяцев назад
Alhamdulilah,sisemi hawa abdurogo na makaburi na kundi lao ni watu wa motoni, Lakin masalafi wamekuja kuuokoa umma na makundi yao ya kikhawarij na hizbiyyun ,,masalaf tunasomeshwa na kina makaburi ni wahamasishaji tu
@SadikiJuba
@SadikiJuba 12 дней назад
Wanafiki laza tu wajulikane angalieni kauli zao wanavyo comment ndio mtawajua...kwaiyo washerekea waislamu wenzenu kudhulimiwa na makafiri sio,..ama ni furaha kwenu kafiri kuingia msikitini na viatu...? waislamu amkeni angalieni vyenye tumetawala na makafiri ndugU ama amlioni Hilo...kumbukeni Kuna kesho akhera Allah yatusubiria ama tumeshahau kua Kuna adhaba zatungoja makaburini...???!
@hadijakimwede3271
@hadijakimwede3271 8 лет назад
Allah Akuhifadhi.. Akupe Pepo ya juu.
@leiylaomar9318
@leiylaomar9318 6 лет назад
Allah atunusuru yarabi
@RK-vg2gk
@RK-vg2gk 5 лет назад
He is in hell burning 😂😂
@maryamali6490
@maryamali6490 5 лет назад
May Allah have mercy on you.
@samidquiz6316
@samidquiz6316 3 года назад
ALLAH ampunguzie adhabu za kabri pia awalaan wote walioshiriki kumuua
@djatm1319
@djatm1319 5 лет назад
Nothing bad like brainwashed... Mungu hakutuma mutu aue watu ati sababu si waisilamu
@zaithazaitha820
@zaithazaitha820 7 лет назад
Duale Ww sio muislam na Allah anakungojea kesho akhera insha Allah
@anzalhanchi9095
@anzalhanchi9095 5 лет назад
Zaitha Zaitha is he behind the reason why thy the sheikh got killed
@anzalhanchi9095
@anzalhanchi9095 5 лет назад
Zaitha Zaitha duale ni mnyama
@suleimanabdullahi3022
@suleimanabdullahi3022 5 лет назад
Dualle is right makaburi was an evil man
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
🤣🤣🤣🤣 Duale ni Muislamu, Hatuna right ya kumtoa muislamu mwingine katika uislamu bila vigezo.. M
@ibrahimmussaali2986
@ibrahimmussaali2986 4 года назад
Hawa wengine njaaa lakini mungu atakifanyeni mavyalim kupinga waislu wenzenu
@ausihaji2398
@ausihaji2398 5 лет назад
ALLAAH yarhamuh
@salumissa3200
@salumissa3200 9 месяцев назад
hakuna atakayeishi milele, kila mmoja atahukumiwa kwa haki, beware coz you will suffer alone
@wizykauboy6178
@wizykauboy6178 5 лет назад
Mungu amuifadhi pahalaa pema pepon in shallaah
@freeman7566
@freeman7566 5 лет назад
Jahanam
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 лет назад
Innalilahi wainnailahi rajiun washenzi hawa wanaingia ndani ya nyumba ya mwenyezi mungu Na viatu yarabi Mola wangu waongowe njia iliyonyooka waipiganie dini yako Kama siwakunyooka yarabi wajuwa wewe lakuwalipa ndio zama za mwisho hizi muislam atakuwa kama kashika Kaa la moto mkononi mti wenye matunda ndio ulengwao mawe
@mandugudynastyfilmsent4614
@mandugudynastyfilmsent4614 5 лет назад
nimezaliwa muislam, ila hawa wanajifanya jihadi ni wasenge tu, wanazingua, people need peace, time to stop practicing Arabs and western cultures,,, we need to practice africans cultures
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 5 лет назад
@@mandugudynastyfilmsent4614 Muislam wa kweli hatukani anatumia busara, kasome dini yako kuzaliwa muislam hakukupi ticket ya kwenda peponi ila matendo yako
@mandugudynastyfilmsent4614
@mandugudynastyfilmsent4614 5 лет назад
@@yahyashariff5693 Nimeacha kuamini Uislam tena, not any more, siamini tena uislam au Ukristo ,,ni dini za waarabu na wazungu naamini dini yangu na matambiko ya mababu zetu niliochiwa na babu zangu waafrica, sip muislamu tena, nimefanya research ya kutosha nimegundua kwamba hizi dini zilitufikia baada ya utawala wa utumwa, ndio maana siamini tena Dini za waarabu na wazungu, mimi kama mtu mweusi napaswa kuamini dini na matambiko yangu uya kiafrika, waaarabu wanaamini dini zao, wazungu wanaamini zao, ila sisi watu weusi tumepotea tunaamini za wenzetu, ndio maana siaminin tena dini za waarabu na wazungu, swali lelote feel free,
@najmamakame8362
@najmamakame8362 7 лет назад
Majembe hawa wallah mtihani
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. 5 лет назад
Allah akulinde, ameen
@habibaayala8046
@habibaayala8046 5 лет назад
😭😭😭😭😢 inauma sanaaa
@hassanbabakesonia8404
@hassanbabakesonia8404 5 лет назад
Pumzika kwa amani sheikh.. Makafiir ndivo walivo ila Allah atatulipia
@agnesmacharia2541
@agnesmacharia2541 5 лет назад
Wacha nikwambie hakuna kitu kama Muhammad jesu ndie jia okoka wewe wacha kudanganya
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Alokwambia alikudanganya pole sana
@agnesmacharia2541
@agnesmacharia2541 5 лет назад
Hakuna ndini kama wuisilam mwadanganywa bule kumbalini yesu mapema wacheni kufanya hamjui ukweli
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Heri tu unyamaze wajua nini huna unakotwambia LA maana Bure kabisa soma injili ya kale uelewe vizuri achana na izo mlizotoa new testament maanake hamuishi kuibadilisha kisho njoo utwambie ivo unavyosema
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
@@mariamgitau3614 Unayo Ile ya kale???
@saidimusa4977
@saidimusa4977 2 года назад
Inna lillahi wanna ileyhi Rajiuun
@abdirazacksergio4636
@abdirazacksergio4636 3 года назад
Allah ya rahma
@hmsrashd7910
@hmsrashd7910 2 года назад
ALHAMDULILLAH
@supumoto6819
@supumoto6819 6 лет назад
SHAHIDBIIDHNI LLAH
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 лет назад
Hao mashehe wakishapewa pesa wanashau dini kabisa
@youngmummy1087
@youngmummy1087 5 лет назад
Mm sielewi
@h_e_r_s_h_i_m
@h_e_r_s_h_i_m Год назад
Allah ampe pepo
@adijaamur962
@adijaamur962 3 года назад
Allah atunusuru namakafiri
@deathrow8004
@deathrow8004 4 года назад
BAADA YA KUMTAFUTIA NJAMA NA KUWA ASBABU YA KUMUUA,LEO UGAIDI IMEISHA?.....
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Inalilah wainailehimrajim
@yusufkinotitv3886
@yusufkinotitv3886 5 лет назад
Who are you fighting jihad with?? The only Jihad for now is striving against doing evil things and not killing people
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 лет назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 лет назад
Kupiga watu hadi masjid...kuingia na viatu Mungu atusimamie waislam
@mordidampin1088
@mordidampin1088 5 лет назад
Washenzi wanaingia na viatu ndani ya misikiti na duale anawaunga mikono wallahi nduale wewe c muislamu bana kwenda uko
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Wanaheshimu kitanda kuliko sehemu za ibada
@ahmedmalick2862
@ahmedmalick2862 3 года назад
Hao mapolisi mungu atawalaani wameingia msikitin na mabuti kwanini...hyo ninyumba tukufu ya ibada km wao hawaithamin sisi tunaithamin..
@tundahatibu6738
@tundahatibu6738 3 года назад
Kwakwel Allah ataenda walipa
@egetinginyemachoka2726
@egetinginyemachoka2726 5 лет назад
Allah yuko na wewe pole.
@samirsumary8230
@samirsumary8230 5 лет назад
Mwanaume huyoo
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 месяцев назад
Alhamdulilah,sisemi hawa abdurogo na makaburi na kundi lao ni watu wa motoni, Lakin masalafi wamekuja kuuokoa umma na makundi yao ya kikhawarij na hizbiyyun ,,masalaf tunasomeshwa na kina makaburi ni wahamasishaji tu
@agnesmacharia2541
@agnesmacharia2541 5 лет назад
Na mhurumia sana nyinyi mwajiita waisiramu hakuna kitu kama hiyo yesu dio jia pekee okokeni mapema anampenda sana
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Namimi nakusikitikia Sana maskini hujijui hujitambui wala hujui unachokisema Jesus was just but a prophet like Ibrahim, Musa n Muhammad he has no power All the power belongs to Allah S. W. What a pity I really pity you
@judithmushi5869
@judithmushi5869 5 лет назад
Na msinge muua ningewasaidia bunduki inalinda nini msikitini
@suleimanchina8430
@suleimanchina8430 6 лет назад
Hawa masheikh walikuwa na msimamo na cc tunatakiwa tuwe kama hawa hakuna kumuogopa kafiri
@michaelwainaina1831
@michaelwainaina1831 6 лет назад
Nonsense
@marvinlibale9685
@marvinlibale9685 5 лет назад
Utakufa wewe wacha kujichocha risasi sio ndengu
@thegreatnormad3424
@thegreatnormad3424 5 лет назад
@@marvinlibale9685 na wewe utaishi na hofu
@nationalist5422
@nationalist5422 5 лет назад
@@thegreatnormad3424 Mbwa chafu wewe. Rudi huko Somalia.
@mandugudynastyfilmsent4614
@mandugudynastyfilmsent4614 5 лет назад
@@nationalist5422 facts, why they dont go and join arabs in Yemen if they are into Some Arabs bullshit
@ismailchumu6889
@ismailchumu6889 5 лет назад
Makafiri wanatabu sana, wao wanadhani kwa fikra zao wanaweza kuusimamisha Uislamu. Bure kabisa
@abdihaji7617
@abdihaji7617 6 лет назад
R.I.p
@waziriislam2455
@waziriislam2455 5 лет назад
MAKHAWAARIJI ACHENI UGAIDI MNAWASABABISHIA MATATIZO WAISLAMU WENGINE NA BADALA YA KUUSONGESHA UISLAMU MBELE SASA NYNY MNAUDIDIMIZA UISLAMU
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 лет назад
Una utindio wa Ubongo ww
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 5 лет назад
Ushike adabu yako
@waziriislam2455
@waziriislam2455 5 лет назад
أنتما جهالان لا تعلمان شيء من دينكما
@Dulla99
@Dulla99 5 лет назад
@@kassimrajabu7805 hebu toa aya au hadidh..inayoamrisha umma kufanya jihad dhidi ya ukristo...
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 5 лет назад
@@Dulla99 kama wewe ni muislam chukua Quran ya tafsiri ya lugha yako ambayo unailewa vizuri soma suratul Tawba aya 29
@emanuelkatabaro6931
@emanuelkatabaro6931 5 лет назад
endeleeni kuua mashehe wa hivyo mpaka waishe mamae
@alexanderedimundi8213
@alexanderedimundi8213 5 лет назад
🤣🤣🤣
@hittlerachande4459
@hittlerachande4459 5 лет назад
Emanuel Katabaro mkundu wamama ako mxenge
@alexanthon3595
@alexanthon3595 2 года назад
we mwenyewe apo ulipo ushakufa ukiwa hai
@agromercantile1705
@agromercantile1705 5 лет назад
Good work by the police! Maliza wao
@tzmny4909
@tzmny4909 5 лет назад
fuck u
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Shame on you nautangoja Sana izo Shari zenyu zitawarudia nyinyi nyinyi.. Kufa ni lazima ndio njia yetu sote so it's not a big deal to us as Muslims dini ina mwenyewe na ni Allah na atailinda milele. Cku zao ndizo zilikua zimefika za kufa in Shaa Allah waja wa peponi
@abduabdi2356
@abduabdi2356 4 года назад
Rip
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 лет назад
Makaburi kaonewa tu kwani kufundisha watu jihad au dini yao kuna kosa gani,waKenya ndio mnavyoponzwa na serikali ynu kila cku
@deljaysamil1153
@deljaysamil1153 5 лет назад
Hawa magaidi wote wauawe ,,,JIHAD ilaniwe
@ibrahimuamlima5766
@ibrahimuamlima5766 5 лет назад
pumzken Kwa aman masheh wa kwel xio awa waxwahil wa xaxa
@neemaendward4897
@neemaendward4897 5 лет назад
I love u
@abdullahiabdi4354
@abdullahiabdi4354 2 года назад
Duale is the sycophant of the gvmnt
@kingrashdi2030
@kingrashdi2030 Год назад
Wote makafi tu nyie
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 лет назад
Good job done by police officers 👮‍♀️ ..
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
Just killing innocent people all in the name of terrolisim. Allah is watching he never sleeps
@fatumafashiondesigner1461
@fatumafashiondesigner1461 5 лет назад
Kufa kabisa shetani waa dinai
@supertenchoo4271
@supertenchoo4271 6 лет назад
Misimamo mikali wap acha kuw na chuki ww subir kaburin utajua ukweli ukisha fukiwa
@mordidampin1088
@mordidampin1088 5 лет назад
Duale wewe sio muislamu wewe unasaidia makafiri na ujue utakufa kifo mbaya na utakutana na allah
@churchilDon
@churchilDon 5 лет назад
Utauliwa wewe. Risasi si ndengu
@queenmuslimhater553
@queenmuslimhater553 5 лет назад
Mbwa wewe duale awexi support alshabab ata ukunie
@queenmuslimhater553
@queenmuslimhater553 5 лет назад
@@churchilDon 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂unanimaliza😂😂😂
@churchilDon
@churchilDon 5 лет назад
@queen awa wanadhani wataishi forever, wataundwa kichungi. Wanadhani risasi ni izo michele zao
@queenmuslimhater553
@queenmuslimhater553 5 лет назад
@@churchilDon they are using their assess to think😂😂😂😂😂😂
@thegreatnormad3424
@thegreatnormad3424 5 лет назад
I as a somali we revenged for this swahili sheikhs with EL ADE AND KULBIYOW kenyan solders destructions , so he laid in peace . If 180 el ade +86 of kulbiyow haitoshi sijue mnataka ngapi
@MenengaiCrater
@MenengaiCrater 5 лет назад
And dozens al Shabaab are getting killed every other week. By now over 300 Al Shabaab terrorists have been hit by American jets. Terrorists will not win. Enjoy your ugly virgins while you can
@DailyplusTV1
@DailyplusTV1 5 лет назад
Terrorist have no rights to live. I have seen the other day during Riverside attack f**** al shabaab killed men from their religion (Muslims). Mtamaliswa wote mambwa nyinyi na hamta zikwa ..your bodies will rote.
@farahabdulahi3541
@farahabdulahi3541 5 лет назад
Show us Al shabab dying like Kenya. no where. I always hear Kenyan being killed.
@freeman7566
@freeman7566 5 лет назад
@@MenengaiCrater what virgins God will not reward you with women or pussy for killing get real guys you get pussy in heaven try understand heaven is a spiritual place not so dom and gomora
@freeman7566
@freeman7566 5 лет назад
Hope ur still in somalia and not Eastleigh lol the islamic paradise of somalia lol
@daahirdaahi6599
@daahirdaahi6599 5 лет назад
Bologna's
@swordofvengance9172
@swordofvengance9172 3 года назад
We ni kafiri kama wao....😂😂😂😂😂😂
@chelseaktbffh2510
@chelseaktbffh2510 10 лет назад
very soon we'll someone else took over role...but they'll die one by one
@hajiali5480
@hajiali5480 9 лет назад
What the f*** are you talking about ? this men makaburi knew he life was coming going to end he had enough time to run for his life but he did not run he showed world that he was innocent May Allah guarantee you heaven...
@fikirichengo8648
@fikirichengo8648 5 лет назад
pumbavu
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 5 лет назад
You are talking like you will live forever. What a pity I pity you coward. Those are the real men brave and know that they have nothing to loose they stand strong n believe in themselves shame on you are you a man or a woman I wonder
@waziriislam2455
@waziriislam2455 5 лет назад
Nyie ni mbwa wa motoni
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 5 лет назад
Naam naona unachukua kazi ya Allah kuingiza watu motoni, ukiishi sana na makafiri bila kujitambua wewe ni nani matokeo yake akili yako inakuwa kama yake
@sameerabdallah2112
@sameerabdallah2112 5 лет назад
Haha sheikh alimpiga takfir ya nawakidul il iman ya tatu. Asiyemkufurisha kafir naye na kafiri kama wao
@soenikmoitanyon
@soenikmoitanyon 5 лет назад
Uislamu ni Dini ya kishetani
@atashaisha8706
@atashaisha8706 5 лет назад
Wakristo wote inalilahi wainawarajihuni kilamtu atajua la kumjibu Allha Dunia tunapendana
@ndabadugaritseismael3937
@ndabadugaritseismael3937 10 месяцев назад
Mola Akusamehe sababu umepotea na ukifa hivo utaangamia.
@سليناكينيا
@سليناكينيا 5 лет назад
Ujinga mtupu hakuna M bingu Z inazo hifadhi mtu kama huyu anayepotosha watoto wawenzeke hata munafanya kazi bure mnaomombea.
@abdiriiabdirii8843
@abdiriiabdirii8843 Год назад
May Allah grant him jannah
Далее
Makaburi The Man
3:59
Просмотров 308 тыс.
The Troubled Masjid Musa
4:44
Просмотров 150 тыс.
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 742 тыс.
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 11 млн
У КОТЕНКА ПРОБЛЕМА?#cat
00:18
Просмотров 1,1 млн
Mauaji ya Aboud Rogo
2:13
Просмотров 247 тыс.
Omar Bashiri
11:24
Просмотров 72 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 742 тыс.