Hawa watu,tunajuana one on one.nilijaribu kuchukua wasiwasi from the streets of emali akae kwangu na aepuke pombe angalau nione kama atabadilika....he wanted my support but sasa mtu akiwa ivi hata gitaa ukimuuliza anasema iko athi river unamsaidia aje???bondia hata saa hii amelewa...kuzunguka emali umasaini wakikunywa miti ni dawa...hapa hakuna matumaini...mwakomana bora umnunulie chakula...pesa ni pombe direct
Kasee vau nutuku those two pple lost directions long time ago .you can’t teach an old dog new tricks. These are drunkards that can never understand what you talking about.look at the said Mananger 😮
How comes.. Manager, ni maskini kuliko msanii mwenyewe.. Less exposed than the artist, Masomo kidogo pia.. So wasanii mnastahili kuwa makini na mjitume..
Hizo zote ni sura za ulevi.....angalia benga musicians wajaluo ....wako serious na kazi yao ... hakuna ulevi wakipumbavu hivi .... style up wakalambua....
III bondia uuu,, nula wainawa no kimangu ,if so ,,,Ve interview yeekiwe ni mutisya maweu na mbiuni boy band ya kinama ,na asya bondia wa kimangu niwetiwe
Kama wanataka kuwasaidia wapelekwe rehab kwanza,unaona vile wanakaa uso, without rehab hakuna kitu mnafanya,pombe imewaharibu Hadi maini ndo unaona wamenona uso
Kithanze, kindly don't be using English on some guys coz it proves hard for. You won't extract all the info when you use English. Some don't understand