Тёмный
No video :(

WATANZANIA DUNIA ITAWACHEKA MKIWAPA UPINZANI NCHI JK NYERERE 

Father Kidevu
Подписаться 4,5 тыс.
Просмотров 412 тыс.
50% 1

HOTUBA YA MWALIMU NYERERE AMBAYO WATANZANIA WANAPASWA KUISIKILIZA

Опубликовано:

 

9 июн 2015

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 174   
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 лет назад
Kweli babu yetu Mungu alikupa ekima kubwa aisee!!Mungu akubariki!!
@elvunielvuni6637
@elvunielvuni6637 7 лет назад
safii nyerere ulisha ona mbali zaidi
@j_gh812
@j_gh812 5 лет назад
Naona baadhi hawajamuelewa mwalimu..yeye hajasema vyama vya upinzani havifai..bali ameshauri wasiwe na papara na uongozi....wavunje vyama vingi na waunde kimoja ambacho kitakua na nguvu ya kukabiliana na chama tawala...kwa maana hiyo..haja beza upinzani bali ameupa changamoto na ushauri mzuri wa kujitayarisha kiutawala....baba huyu ni mwenye hekima kubwa sana na uelewa...tuna miss sana mzee wetu
@karyori69
@karyori69 2 года назад
yeye mbona alifanyia Watanzania majaribio na Ujamaa?
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 7 месяцев назад
Mwl, asiyekuelewa ni kichaa , zidimu fikira zako baba
@yohanamaiga3031
@yohanamaiga3031 6 лет назад
much respet the late Mwl Nyerere.
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 года назад
Kumbe ukawa ni mpango wa mungu, Nyerere ali utabiri, Nyerere hakuacha umoja wa vyama vya upinzani lkn alijua wakijiunga watachukua nchi.
@abdullahihussein6836
@abdullahihussein6836 2 года назад
Laanatullahi Nyerere jiuwaji kubwa go RIH
@andrewkalyambeju2397
@andrewkalyambeju2397 6 лет назад
Nakupenda Nyerere
@abdullahihussein6836
@abdullahihussein6836 2 года назад
Mfuate
@arestidesshematheodore5716
@arestidesshematheodore5716 6 лет назад
Very smart
@kwisa4899
@kwisa4899 7 лет назад
Dah Nyerere aelezeki sio mtu Wa kawaida mtu anaeweza kumbedha atakuwa ni mpuuzi sana na mpumbavu asiejielewa..
@laurentmathayo2817
@laurentmathayo2817 7 лет назад
James Mwakyusa larent
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Word
@cypliansambagi147
@cypliansambagi147 5 лет назад
Kama sio nguvu zako Nyerere watanzania tungekuwa wap
@manenokmazachi2260
@manenokmazachi2260 5 лет назад
MZEE ALIONA MBALI SANA ,,NI POINT MTUPU
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 6 лет назад
msikilize mtu vizuri amuelewe kabla aujaaza kuropoka maneno machafu
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 лет назад
Kumbe Nyerere alitabili upinzani hawawezi kuongoza nchi
@officialsaimonandrewmachiy5159
Magufur ni mpango wa nyerere kabisa.
@abdulsalum8138
@abdulsalum8138 2 года назад
Magufur mpumbav tu yule alikuwa na ukabila mshenz kabsa
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 5 лет назад
Vyama vya ruzuku,biashara hiyo du eeee tunayaona hata ofisi hawana ruziku kufungua mahotel cdm bwana
@lennygeorge9165
@lennygeorge9165 5 лет назад
Nafkr alikuwa sahihi kwa wakat ule japo na saiv baadh vtakufa ,kwaio yuko sahihi mwalimu
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci 3 месяца назад
Mpaka Leo hii kwani wananini chadema zaidi yakupiga kerere
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci 3 месяца назад
Mpaka Leo hii kwani wananini chadema zaidi yakupiga kerere tuu
@marwabisaka3742
@marwabisaka3742 6 лет назад
huyu mzee alikuwa nabii wa nchi hii,akina frani washapata ruzuku zao sasa wanarudi walikotoka
@jacobsumaye8560
@jacobsumaye8560 4 года назад
Kweli
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 6 месяцев назад
Hawezi kuwa nabii huyu kwa kipi awe nabii kama muumini wa kislamu tutakuwambia rudi katika uislamu upya sio muislamu Tena murtad
@victortarimo9390
@victortarimo9390 7 лет назад
Nataman Leo Nyerere angekuwepo ni kiongozi bora
@yusuphusulley4979
@yusuphusulley4979 6 лет назад
Habari ndio hiyo!
@mlimilachannel3047
@mlimilachannel3047 8 лет назад
THE PRIDE OF THE FATHER WILL NOT END UP TO THE END.
@magesadominick5724
@magesadominick5724 7 лет назад
pw
@nicesongedward2162
@nicesongedward2162 5 лет назад
chadema ilianza kuogopwa mda mref ee
@nicesongedward2162
@nicesongedward2162 5 лет назад
asante nyerere kumbe uliupenda upinzan
@bahatisayi2485
@bahatisayi2485 5 лет назад
Exactilly
@paulleo9615
@paulleo9615 6 лет назад
chadema muende zimbabwe
@practicallycreatives3938
@practicallycreatives3938 9 месяцев назад
Nyerere alikuwa mwanasiasa Bora duniani na haitakuja kutokea
@salminjuma9411
@salminjuma9411 4 месяца назад
Ray ban aviators za mzee......🙌🙌🙌Respect....
@anthonyluhumbika4693
@anthonyluhumbika4693 6 лет назад
Ni kweli kabsa uliongea sera yao matusi.
@miagierumas5576
@miagierumas5576 5 лет назад
Tushaona mzee
@masikaraphael2823
@masikaraphael2823 3 года назад
Majaribio nchi nzima.mwalimu Nyerere.
@isaya9758
@isaya9758 7 лет назад
no one like our national father Nyerere
@alessandromaraschi3081
@alessandromaraschi3081 2 года назад
MADARAHA UN BULO I IKANOS SET U PAND WDOIR LABELIDU LA NIGERIA LA PIZZASERA U BEGER SIDCN POLOIPO E IW IU KAEKEK THANK YOU SO MUCH MA FREND
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 7 лет назад
Nyerere maneno yako yanaishi hivi....... tunawaona vilaza wanavyoropoka........!!!!!
@isayajuma6635
@isayajuma6635 5 лет назад
Watu wanasema Nyerere alitabiri "Ukawa" Kwan Kuna uhusiano wowote Kati ya ukawa na vyama vya siasa..?
@hamisimwagachetu6878
@hamisimwagachetu6878 8 лет назад
I respect the fact of king nyerere.
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 лет назад
chama kimoja cha upinzani#chadema full stop
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 5 лет назад
Luzuku mbowe
@jacksonbarikiely9521
@jacksonbarikiely9521 5 лет назад
Watanzania wameloa aman
@masikaraphael2823
@masikaraphael2823 4 года назад
Mzee ulikuwa na hekima kweli.
@eliakanyunyi7473
@eliakanyunyi7473 2 года назад
Huyu mzee akili zingi sana bwana
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 3 месяца назад
Tusikufuru jamani kuna mtu anauwezo kweli ni mungu pekee ndio mwenyewe uwezo
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 лет назад
Dunia itawacheka
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 8 лет назад
HOJA HII SASA ILISHATEKELEZWA, UKAWA NI NDOTO YA NYERERE
@justinnoderosa9
@justinnoderosa9 8 лет назад
kabixaaaa
@LUPPER.
@LUPPER. 5 лет назад
@Wilbert Thomas Ludgery amesema kuwapa nchi kabla ya kuwatazama vizuri sababu swala la nchi sio la majaribio hivyo isiwape upinzani kwa majaribio kusema tujaribu tuone Bali tuwape tukiwa tumewatazama vizur.. na lazima aongee hivyo sababu chama kinacho tawala Ni ccm. Muwe muna tafakari kwa pande zote sio kutafuta negativity tu
@cholowao
@cholowao 2 года назад
Na kushindwa kuongoza pia ni ndoto takw
@knight6757
@knight6757 6 месяцев назад
Enzi imebadilika...nadhaani hatuendeshi nchi kuwaonyesha dunia !!
@officialsaimonandrewmachiy5159
sasa ukawa walio nayo ni mbovu kazi yao kulumbana tu piga makofii nyerere alisema upinzani hawawezi kuongoza nchi R I P baba wataifa tumeelewa
@stevek8318
@stevek8318 10 месяцев назад
Which year was this please?
@vicentelias491
@vicentelias491 Год назад
Hii ilikua 1995 mtanange wa hayati mkapa na hayati Mrema uchaguzi mkuu wa vyama vingi ilikua noma
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 лет назад
mbona anamaana nzuri ccm wenyewe wameielewa tofauti kuwa ccm haitakabidhi chadema madaraka yeye hakumanisha yao yeye alitaka kwanza vikuwe kama sasa hivi arafu pili make mkijuwa ccm,wananchi ndo huwa wanafanya maamzi
@user-vr6qn2rr1d
@user-vr6qn2rr1d 6 месяцев назад
Jasuc
@mgasamalulu3557
@mgasamalulu3557 6 лет назад
Kelvin hunielewi
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 лет назад
Chadema eti mnaharaka gani??
@masterbosco8781
@masterbosco8781 6 лет назад
mzee ulikuwa na wazo zuri sana na sisi chadema tunalitekeleza maana kwa sasa ndio chama cha upinzani chenye nguvu lakin chenye ushirika wenye nguvu na vyama vingine vidogo chini ya mwamvuli wa UKAWA
@hermanmassawe1907
@hermanmassawe1907 Год назад
SAWA Baba! CHADEMA ilitabirwa naye!
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 5 лет назад
Magu akisema mnaita dictator.kosa
@josephjmmahoo6979
@josephjmmahoo6979 8 лет назад
Huyu ndio kiongozi sasa kutoka kwa Mungu, eeh Mola mpumzishe mahala pema peponi
@hamisindoki885
@hamisindoki885 7 лет назад
JOSEPH JM MAHOO peponi mmh ni motoni tu
@brownkidava5659
@brownkidava5659 5 лет назад
R I P baba nyerere wataifa
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Месяц назад
Huyu Nyerere mwaka 1995 alisema kwamba wananchi wanataka MABADILIKO WASIPOYAONA NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM Sasa ww Nyerere hata wewe kigeugeu
@saturdayzefaza1183
@saturdayzefaza1183 6 лет назад
Naona mnaendelea na kampeni kama Kawa
@cryptoroyaltour
@cryptoroyaltour 3 года назад
Katika yote aliyoongea Baba Wa Taifa, limebakia Moja tu Ili Upinzania uishike nchi!! Watanzania wamewajaribu Wapinzani katika maeneo madogo(Halmashauri) na wapinzani wamethibitisha kuweza!! Bado Jambo moja, "BABU ALISEMA TUPO WENGI SAAAAANA!"
@masukahima7547
@masukahima7547 7 лет назад
daaaaa. ndo tunayaona HV sas
@aminahhamadi6214
@aminahhamadi6214 6 лет назад
KAMA WAPINZANI WASIPEWE NCHI KWANINI MLIANZISHA UPINZANI? (VYAMA VINGI)
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
Wazungu hao kuendereza kutugawa pindi wakijua kuna mali wanazotaka watatumia vyama kutugawa ndio mana JPM amesimama imara rakini wapinzani awayaoni ayo jiulize kwanini.. ccm namba moja tu
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
Tukilewa amani sawa na kuwaweka wanawake na watoto wetu reani mana hao awatakua tena na sauti zaidi ya machungu magufuri rudisha chama cha ccm kwenye njia kuu upendo utatawara tu fagia wapinzani warudi nyumbani ccm
@LUPPER.
@LUPPER. 5 лет назад
amesema kuwapa nchi kabla ya kuwatazama vizuri sababu swala la nchi sio la majaribio hivyo isiwape upinzani kwa majaribio kusema tujaribu tuone Bali tuwape tukiwa tumewatazama vizur.. na lazima aongee hivyo sababu chama kinacho tawala Ni ccm. Muwe muna tafakari kwa pande zote sio kutafuta negativity tu
@mchomvuthuma8329
@mchomvuthuma8329 7 лет назад
Magufuli tunakukubali ila ccm watu hawaipendi ibadilishe watu waipende ushauriwangu kwa mwenyekiti wa ccm Magufuli iwe ccm ya Nyerere
@sylverywangalila17
@sylverywangalila17 5 лет назад
Ngh'ana gete gete.
@eliudchowo3917
@eliudchowo3917 3 года назад
Duh! Kumbe haya mambo yalianza kitambo, basi Kama ndio hivyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja Kama upinzani ni ushenzi
@jk-or9jq
@jk-or9jq 5 лет назад
Chadema disliked this video
@kinakithemr1042
@kinakithemr1042 7 лет назад
Kwa muda huo alikua sawa ila co kwa xx hali ilivyo
@josephjiloya7805
@josephjiloya7805 6 лет назад
no MTU ambae aelezeki
@amosigese5788
@amosigese5788 Год назад
Huyu mzee alikuwa na uwingi wa hekima.
@baltazaryjohn1968
@baltazaryjohn1968 2 года назад
Mmh duuh nimecheka mbavu sina
@josephjosephat7826
@josephjosephat7826 7 лет назад
Aliongelea upande wake maana maana yuko upande wa chama chake alchokuwepo
@abubakryharuna2971
@abubakryharuna2971 6 лет назад
JOSEPH JOSEPHAT hujielewi tu
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 6 лет назад
self difenc
@AZAZY99
@AZAZY99 2 года назад
Kweli kabisa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
Tanzania sio.ya ccm or chadema or ct wazalendo Tanzania in ya watanzania wote bila don't au kabila mwalimu hakumaaniaha hivyo tunavyofikiri baazi ya watanzania
@alirama1897
@alirama1897 2 месяца назад
SAWA KUMBE ALIONA MBALI LISU NA KUNDILAKO TUNAWAPENDA ILA MNATUKWAZA JENGENI HOJA ZA MSINGI TUWAELEWE SIO KUONGEA YA HOVYO KUUZWA BANDARI NANI KATOKAWAPI MANDAMANO NGOROX2 WA TZ TUNATAKA KUSIKIA HOJA ZA MAANA NDIO TUWEZE KUWAELEWA KAMA MZE NYERERE ALIVYOSEMA
@visentgrephass539
@visentgrephass539 3 года назад
Ulikua jiwe nyerere salt
@dominicpaul6355
@dominicpaul6355 2 года назад
Kweli wapinzani hawana sera zaidi ya chuki ,matusi ,kelele ,njaa mwingi ,siasa zao hazipo hata kwa nchi wanaojipendekeza na kukimbilia bado hawajitambui hawana uzalendo ingawa hata chama tawala wamekosa akili shupavu ya kuitegemeza nchi kwa kuweka mfumo wa elimu yenye kuzaa uzalendo na viwanda
@salvatoryjoseph2791
@salvatoryjoseph2791 3 года назад
Wapinzanibado
@barakakasaganya4490
@barakakasaganya4490 7 лет назад
Hakika haya maneno Leo Hi tunayaona kwa wenzetu wa cuf hakika kitakufa, mwl nyerere alitabili mengi na tutayali kuyashuudia
@jeffthomas4494
@jeffthomas4494 5 лет назад
Wisdom and vision
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 4 года назад
Hata chagadema ishakufa baada dr Slaa
@peteryohana7710
@peteryohana7710 7 лет назад
Hawawezi kuogoza taifa chadema
@saniphayahaya8222
@saniphayahaya8222 6 лет назад
Peter Yohana wanaweza maana niwazalendo
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 лет назад
Haaa...wanaoweza kuongoza ni chadema gani ukiondoa ccm....
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 лет назад
No comment
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 5 лет назад
RIP MWL NYERERE
@yohanamaiga3031
@yohanamaiga3031 6 лет назад
hah Festo mambwe. you know nothing bro. kati kipi kilitangulia chadema kachama kajuzi, ccm inaweza copy toka chadema??? think twice bro. make enough reasoning.
@amaniissa3608
@amaniissa3608 5 лет назад
Pole Mwalim jk nyerere
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 5 лет назад
kumbe ukawa ulikua utabiri wa marehemu baba wataifa .sasa akina mbowe kazeni booti
@gideons5265
@gideons5265 7 лет назад
sio Mungu
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 5 лет назад
Kwel wapinzan wataleta ugonvi na vita
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 лет назад
hatuwezi kuongozwa naupinzan kula yao tu wanaibiwa nanchi jee?
@andronicomanasemkuyu5333
@andronicomanasemkuyu5333 6 лет назад
Ndoto za baba wa taifa zinatimia upinzani mzuri ukijengwa kuwa na chama kimoja chenye nguvu.
@kaambali5354
@kaambali5354 7 лет назад
na nyie mnaosema Nyerere kiongozi Bora hamjui historia someni historia ndo mujue kama mbora au la
@vancesolomon6298
@vancesolomon6298 7 лет назад
Kaa Mbali historia tunaijui wewe ndio hujui lolote
@kaambali8417
@kaambali8417 7 лет назад
kweli unaijua story ya Nyerere kafukuza wakoloni kaleta maendeleo ndo story unayoijua iyo kwanza iyo video inaonesha dhairi uyo jamaa analeta ubaguzi
@prosperjuma905
@prosperjuma905 5 лет назад
Wewe umelishishwa maneno yenye sumu dhidi ya nyerere. Ukaambiwa hiyo ndio historia. Kuna watu humu wameichimba historia kuliko hao waliokufundisha hiyo historia yao.
@sebastianmoshi7200
@sebastianmoshi7200 5 лет назад
Ahsante Kaa mbali, kwa umakini huo. Inasikitisha sana jinsi Watanzania bado wako kwenye giza nene. Hakuna Rais aliyewahi kufanya uovu nchi hii kama Nyerere, na hajawahi kutokea Rais mnafki kama Nyerere Afrika. Hata kama mtu hajui historia lakini ukifuatilia tu mifumo ya nchi hii ilivyokaa na uonevu wa kimfumo ulivyo utaona tu jinsi Nyerere ni mwovu na mnafki. Ukifuatilia historia basi hutaweza kumtofautisha Nyerere na Shetani(Lucifa) alikuwa mshenzi hasa.
@hamisindoki885
@hamisindoki885 7 лет назад
Ukitaka mtu anapokua mzee anakuwa kama mtoto alafu uzee ni ugonjwa
@hapakazitu7364
@hapakazitu7364 6 лет назад
Wewe unaesema mbabaishaji changa maneno yako maana huyo ni baba wa Taifa letu na kwelikweli
@dazzymwakyusa6422
@dazzymwakyusa6422 6 лет назад
Kalama na tunataka mabadiriko
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 лет назад
sasa mbona havijafa
@nasibumutabazi8721
@nasibumutabazi8721 5 лет назад
kwani wapinzani si watanzania?
@kevinjeremiah6972
@kevinjeremiah6972 7 лет назад
nani alie weka viama vingi si niyeye
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 6 лет назад
Kevin Jeremiah lugha gani unaweza kuandika vizuri maana hiki ulicgoandika sio kiswahili
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 6 лет назад
I mean ukichoandika
@isaimato9145
@isaimato9145 6 лет назад
Kevin Jeremiah rudi darasani mzee, tena standard 2
@isaimato9145
@isaimato9145 6 лет назад
Prophecy
@alakhyissa1469
@alakhyissa1469 5 лет назад
Unakumbuka uchaguzi wa vyama vingi vilianza mwaka gani?
@j_gh812
@j_gh812 5 лет назад
Baba natamani ungeendelea kuishi na sisi zaidi..
@yassinabdy8962
@yassinabdy8962 5 лет назад
Kiongozi duni asie taka nchi iwe na upinzani ,kama hakuna upinzani hakuna demokrasia ,pumzika na usirudi duniani
@sebastianmoshi7200
@sebastianmoshi7200 5 лет назад
Ahsante Kaa mbali, kwa umakini huo. Inasikitisha sana jinsi Watanzania bado wako kwenye giza nene. Hakuna Rais aliyewahi kufanya uovu nchi hii kama Nyerere, na hajawahi kutokea Rais mnafki kama Nyerere Afrika. Hata kama mtu hajui historia lakini ukifuatilia tu mifumo ya nchi hii ilivyokaa na uonevu wa kimfumo ulivyo utaona tu jinsi Nyerere ni mwovu na mnafki. Ukifuatilia historia basi hutaweza kumtofautisha Nyerere na Shetani(Lucifa) alikuwa mshenzi hasa.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 года назад
Hivi tatizo ni elimu ama tatizo ni ufahamu hapo wapi kakataa upinzani 1995 kweli chadema kilikua chma kidogo na hakikua imara kama sasa na ndiyo maana akatoa ushauli kijiimslishe haraka ya nn nchi hii ni yetu wote na akamaliza kwa kusema kila mtu anatamani aone uchaguzi 2000 wapi mnakwama,na ndo maana mwl darasan anafundisha 2+2=? wanafuzi wengine wanasema ni 6 wengine usema ni 8 wengine 4 tunatofautiana iq
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 8 лет назад
CCM NDIO WHENYE MATUSI.
@antonigozbelt8629
@antonigozbelt8629 7 лет назад
wcb dance
@antonigozbelt8629
@antonigozbelt8629 7 лет назад
makomando
@festomambwe5131
@festomambwe5131 6 лет назад
CCM INA copy na kupesti toka kwa CHADEMA upinzani unaweza tu kutawala
@suleimanally3515
@suleimanally3515 6 лет назад
ujingao kwani nyinyi ccm ni malaika?
@mbandoramadhan8787
@mbandoramadhan8787 5 лет назад
Viongoz kama hawa USA walikuw wana wapiga shaba tu
@alinanmpamba8471
@alinanmpamba8471 5 лет назад
sasa babaa mjukuu wako magu huku hataki kuskia upinzani hata kidogo, nahisi machoz kunilenga nilivoskia busara zako
@danielmwanjali2449
@danielmwanjali2449 6 лет назад
mambo yamebadilika
@princehancesam9892
@princehancesam9892 6 лет назад
Tungetawaliwa na waislam kwa zama zile tungeisha wote
@abinarisy1080
@abinarisy1080 6 лет назад
Acha udini.hiyo ndio Sela ya Nyerere. Yaani wewe Nyerere ameshakupinga hutufai Tanzania. Pumbavu.
@somboi71
@somboi71 5 лет назад
Prince hance Sam wewerkwa kweli huna akili timamu kwani uhuru huu wa Tanganyika uliletwa na nani si waislamu nyerere walimpa tu heshima tu.Nenda kasome hiestoria ya Tanganyika na waasisi wewe ni mgonjwa na ni mdini ambapo Tanazania ya leo haikuhitaji mtu kaa wewe mwenye u dini na ukabila.Nenda shule kasome kwanza.
@muslimassociationnakuru990
@muslimassociationnakuru990 5 лет назад
@@somboi71 ...wallahi hawa wamissionary walileta laana Tanzania. Uislamu ungeenea nchi nzima tuepuke hili likafiri Allah amlaani
@stephenhebron9838
@stephenhebron9838 7 лет назад
Lait kama ungefufuka, uone jinsi ambavyo ccm yako uliyoiacha jinsi ilivyo badilika na isivyofuata sheria n kuwa juu ya sheria wala usingeubeza upinzani hata kidogo!
@arqamhaiadar1835
@arqamhaiadar1835 7 лет назад
Stephen Hebron Hakuna kitu Kama hicho upinzani hawawezi kupewa nchi
@deogratiasmalenga7598
@deogratiasmalenga7598 6 лет назад
Stephen Hebron hujamuelewa ebu sikiliza maelezo yk hadi mwisho wa video. Utakubaliana nae
@annacarlos7925
@annacarlos7925 6 лет назад
Stephen Hebron hapa anasema vyama vingi vitakufa lkn kipo kimoja ambachokitapambana na ccm nakikichukua dola kinaweza
@kaambali5354
@kaambali5354 7 лет назад
kafiri mkubwa huyo kauwa watu wa Zanzibar kama kuku mbaya sana huyo Mzee anajifanya mzuri kumbe M.Mungu azidi kumuunguza huyo ndo kamuua karume kwasababu alikuwa anataka kuvunja muungano
@vancesolomon6298
@vancesolomon6298 7 лет назад
Kaa Mbali unalaana shetani mkubwa wewe ulimuona wapi kahusika kuuwa watu utakuja kutupwa gerezani ukafilwe msenge wewe unalopoka kama Malaya unaushahidi
@kaambali5354
@kaambali5354 7 лет назад
ukweli utabaki ukweli siku zote halali haikubaliki Ila haramu ndo inakubalika haya maisha ya mpito tu kila MTU atakufa hata wewe uliyenitukana utakufa tena mda si mrefu
@kaambali5354
@kaambali5354 7 лет назад
na laana anayo huyo Mzee aliyeuwa watu kwasababu ya kusema haki
@vancesolomon6298
@vancesolomon6298 7 лет назад
Kaa Mbali sinaga mazoea na magaidi
@kaambali8417
@kaambali8417 7 лет назад
nitakutafuta unioneshe ugaidi wangu au sio
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 6 лет назад
BABU, MIMI SINA UWEZO WA KUKUPINGA,KWANI UMEFANYA,MENGI MAZURI JUU YA INCHI YETU YA TANZANIA,UKIPIGANIA UHURU NDANI NA NNJE YA TANZANIA,NAKUSHUKURU SANA.LAKINI NAKUMBUKA KUNA MANENO MAWILI YA MSINGI SANA.(1) ULISEMA WASIPO YAONA NDANI YA CCM WATA YATAFUTA INNJE YA CCM,INAMAANA KWAMAANA YA CHADEMA, WANAUWEZO WAKUWAPA WATANZANIA WALIYO YAKOSA NDANI YA CCM.(2) MPAKA UMETAJA KWA JINA CHADEMA, INA MAANA NICHAMA TAYARI ULISHA KIONA KINA MAONO MAKUBWA NA UPEO MKUBWA KWA KUWAPA MAENDELEO WA TANZANIA,WANAYO YA TAKA,KWAHIYO KAMA KILIKUWA HAKIJA KUWA,SASA KIMEKUWA NA KINAJITEGEMEA,KINA WATU WANAO,KIPENDA NA KINA NGUVU NAUPEO WA KIUTU UZIMA,NDIYO MAANA HATA MAWAZIRI WASTAAFU WA CCM,NAO WAMEHAMIA HUKO,KWAKUWA CHADEMA NICHAMA KINA UWEZO NA NGUVU YA KUONGOZA NCHI,NA KUWAPA WA TANZANIA YALE WALIYO KOSA KUYA PATA NDANI YA CCM!! KIFUPI,HAKUNA LISILO WEZEKANA CHINI YA JUWA HILI,WALIKUWEPO AKINA HITLER GADAFI,IDI AMIN DADAA,TENA HUYU NDO ULIMFURUSHA WEWE MWENYEWE!! NA HAWAPO TENA.HIVYO TANZANIA ,KUONGOZWA NA CHAMA NNJE YA CCM INA WEZEKANA PIAA!!!
Далее
PRESIDENT NYERERE IN BRITAIN  - COLOUR - SOUND
11:12
Просмотров 1,2 млн
КАК Я ЭТО СДЕЛАЛА?
00:13
Просмотров 145 тыс.
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 669 тыс.
"Msumbiji Wana Damu ya Watanzania" Mwl. Nyerere
4:34
Julius Nyerere on the East African Federation (1966)
8:26
HOTUBA YA J K NYERERE MBEYA MWAKA 1969
49:55
Просмотров 243 тыс.
MWL. J.K. NYERERE: HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
10:45