Watoto zaidi ya 100 ambao wengi wao ni mayatima walio hama makaazi yao kutokana na vita vinavyo endelea mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wa pata musaada wa chakula mavazi toka kwa shirika lisilo la serikali ASOV.
6 окт 2024