#MisingiJana#MisingiLeo#MisingiKesho
Hii ni kazi mojawapo kutoka katika Kandamseto ya WATUNZA MISINGI iitwayo "MISINGI NA HIP HOP VOL III" wakishirikishwa (#OPOBO #MOMUMO Na #RASMUHEMSI Imetengenezwa na PATRINO (SWAX) Akishirikiana na D BEATS(DSM). Video imetengenezwa na GEEZY kwa Kushirikiana na WATUNZA MISINGI.
12 сен 2024