Тёмный

WAZAZI wa PANYAROAD WALIOKAMATWA KUSHTAKIWA, WAZIRI GWAJIMA AONYA - "SITAKI MANENO NA MTU" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 291   
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Safi mama piga kazi. Msi waachie. Kuna wazazi wana watuma watoto wakatafute pesa ilhali ye yuko tu
@marcelinoliheta8507
@marcelinoliheta8507 2 года назад
Safi sana. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Watoto wengi ni wadogo sana kiumri bado wanahitaji malezi ya wazazi. Wazazi lazima wawajibike. Na hao watoto waliokata mapanga watu ni majambazi na wauaji Wapewe adhabu kali sana ikiwezekana wafungwe maisha na viboko 24.
@mc_mrope
@mc_mrope 2 года назад
Ahsante mheshimiwa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Asante Waziri Nakupendaga wewe hatari wasiachiwe hao wauwaji tu.
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah yaarabi tunusuru yaarabi duniani jamani kumekuwa nini
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 года назад
Sawa sawa waziri, Tatizo ni wazazi.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Safi sana
@thetwen2167
@thetwen2167 2 года назад
Hawana sheria nzuri labda wazazi washirikianao na watoto kwenye upokeaji wa vitu vya wizi laasivyo mzazi kazaa nungu kaumba
@barakanestory3521
@barakanestory3521 2 года назад
Waziri safi sana tiandani
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 года назад
Safi sanaa waziri👍👍❤️
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Nakupendea hapo wazir upo vizur kwa ajili watt ni wataifa letu..soote tuwe pamoja
@Khmediy3241
@Khmediy3241 2 года назад
Safi xana
@zaitunomar54
@zaitunomar54 2 года назад
Safi san mam
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 2 года назад
Jamani jamani embu wachomeni moto hadharani tu iwe fundisho maisha magumu watu tunajitahidi kufanya kazi za halali ili tulishe familia zetu na tulipe kodi kwa serikali bado tena wengine watuvamie kutumiza kutuachia vilema hapana ifike mwisho kama mnaogopa niiteni mimi uwanjani niwamwagie mafuta niwachome
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 года назад
Sawa sawa waziri wazazi wa Uswahilini wana midomo michafu juu ya taarifa za watoto wao kua wa wezi
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 года назад
Umeona tena Wana midomo hataree wanakataa kata kata watoto wao sio wezi mpaka cku wakichomwa moto
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 года назад
@@azizaabeid2055 kabisa
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 года назад
@@azizaabeid2055 ila umeongea Sahihi Asiilimia wengiwao wapo ivoo kabixxa nawanajua ukiwauliza wanakataa Jamabi
@htx1873
@htx1873 2 года назад
Nampenda sana Huyu mama aiseeee ,,, Nampenda Bureeeeeeeeeeeeere
@zenjigreen5491
@zenjigreen5491 2 года назад
Si sahihi. Si kila alieharibikiwa na watoto kuwa ni mzembe ktk kulea. Na sipingi kuwa wako wazee wazembe ktk kulea.
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 года назад
Asilimia 90 ni Malezi.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Ni Wpuuz sn
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
@@bensonbenezeth acha ujinga akuna mzazi anae penda mtt wk avute bange n awe mwizi bl wtt qnhribika na makundi zaa naww uyaone
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 2 года назад
Maeneo tunayoishi pia ni changamoto ktk ulezi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 года назад
Tunaongea Sana na watoto LAKINI mhh Ila tujue pia Kuna shetani yy huchinja na kuharibu
@alfredmhana235
@alfredmhana235 2 года назад
Sawa kabisa mama hapo huko 100% sahihi na tunakupenda Sana.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Bora waulizwe wazazi pia.
@barakadaniel-fl5kz
@barakadaniel-fl5kz 10 месяцев назад
Tanzania naipenda
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 года назад
Wazazi Wengi Ndio Mtihani Wakamatwe Wafungwe Kila Mtoto Yuko Na Mama Yake Akuna Mtoto Wa Mama Wawili Apa Duniani Washikwe Wabuluzwe Mahakamani Dadeki Nao Wakatwe Mapanga
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Ivi unavyo ongea una jifikilia Kuna mzazi gn qnqe penda mtt wk awe mwizi na avute bangd au ujazaa ww
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 года назад
@@nishaabdula5015 Wewe Sol Sizai Nazalisha Bado Mmoja5 Mimi Niliishi Sehemu Moja Nyumba Iyo Siku Moja Asubui Namuona Uyo Dada Chumba Jilani Anamfukuza Jamaa Mdogo2 Nenda Kwenu Cha Ajabu Na Mapanga Yake Na Kundi Lake Kazi Yao Kukaba Watu Waliwai Kumkaba Mdada Usiku Pochi Simu Pesa Wameiba Awakuishia Apo Walimtoboa Macho Na Kumuacha Dada Akipiga Zogo Ajui Akamate Wapi Niwadogo Awana Mana Kabla Ya Nyumba Iyo Ya Kwanza Ndio Naenda Apo Asubuhi Natoka Inje Nakuta Kijana Kama Ao Panya Kapanda Anafungua Taa Nilimkamata Kumuoji Alitaka Kupeleka Kwao Kumbe Mzazi Alimtuma Napia Analudi Na Taa Unajua Taa Inauzwa Mzazi Uoji Unafunga Maisha Yaende Nilimpa Konzi Moja Nilimwambia Mimi Nimeamia Apa Mpya Ukiiba Nitakata Mkono Ajaludi Tena Wazazi Wanachangia Wizi Wanaongoza Kupokea Vitu Vya Wizi Awaoji Matokeo Watoto Wanakua Kachinja Aya Jana Ijumaa Kitoto Kidogo Jilani2 Kilikua Kinaiba Bado Kidogo Kiuliwe Mwenyekiti Na Mtu Mmoja Mbavu Wamemuokoa Kumpeleka Polisi Jana Ijumaa Mdogo Sana Miaka 16 Au 17 Mzazi Wake Yuko Mtaani Apo Kumbe Ndio Tabia Yake Mzazi Yupo2 Kama Mwanao Panya Road Mpeleke Kanisani Akatubu Sasaivi Watu Wamechoka
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 года назад
@@nishaabdula5015 mzazi unaweza akajua mwanangu kajihusisha na uhuni na Bado akatetea we hujui Hilo??
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
@@nishaabdula5015 acha kuwatetea,kuna wazazi haswa uswahilini akipelekewa mashitaka ya mtoto wake,wewe uliyeenda kumwambia utachambwa mpaka uzimie! Acha wakafundishwe kulea watoto
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
@@nishaabdula5015 acha kuwatetea,kuna wazazi haswa uswahilini akipelekewa mashitaka ya mtoto wake,wewe uliyeenda kumwambia utachambwa mpaka uzimie! Acha wakafundishwe kulea watoto
@ludobudege1662
@ludobudege1662 2 года назад
Kweli kabisa wazazi nao washitakiwe coz wazazi wengine ukiwapa taarifa za watoto wao unajibiwa hovyo kuwa umpendi mwanangu sio wazazi wote ila wapo
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Watu wote wanao liibia hili taifa wazazi wao wakamatwe Kama waziri au balozi wa nyumba kumi watoto hao leo wangekuwa ni mafudi wakujitegemea kwasababu ya vijisenti na hella ya mboga tuanze watoto wa viongozi mpaka huku chini
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Asateee 💪
@fikiriselemani100
@fikiriselemani100 2 года назад
Cyo kweli kuna watoto wanawakataa Hadi wazazi wao,sasa mzazi anakosa Gani ,kwa hapo wazir cjamelewa, kwani ktk kuzaa huwez jua utazaa mtto wa tabia gan,kikubwa Sheria ifuate mkondo mbona kuna magereza ya watoto wawajibishwe ,
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Wazazi walichukua hatua gani mtoto wao avyoondoka usiku...waziri yupo sahihi kbsa
@مباركا-ر3ف
@مباركا-ر3ف 2 года назад
@@flova7022 jibu nzuri sana atakapo shtakiwa atakwenda kujielezea huko tatizo mtoto kakukataa na unajuwa anafanya maovu hayo katoe taarifa police waambie mtoto wangu nimepata taarifa panya rodi naomba muje mumkamate ili ahojiwe lakin msinitaje kama unamuhofia mwanao huenda akakudhulu hapo hata akifanya tukio akikamatwa police wanafahamu mzazi wake alitoa ushikiano tatizo baadhi ya wazazi tunajuwa watoto watoto wetu wanachokifanya tunaficha mwingine ukimpelekea taarifa anakwambia sio kweli mwanangu hawampendi fanya uchunguzi
@zuberyjumbe1816
@zuberyjumbe1816 2 года назад
Kwann mzazi asiende kumlipoti police?
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
Ninachoamini tabia ya mtoto inajengwa tangu siku ya kwanza anazaliwa,km ulikuwa na malezi mazuri juu ya mtoto hawezi fikia hatua ya kukukataa! Ukiona imetokea hivyo,basi ni mazao ya malezi ambayo ulikuwa unamlea! Na ifahamike kuwa,umasikini au mzazi kuwa na kipato kidogo sio sababu ya mzazi kushindwa kumlea mtoto,au mtoto kuwa na tabia mbaya! Ni maamuzi ya wewe mzazi TU
@fatmamayunga6250
@fatmamayunga6250 2 года назад
Msiwasingizie wazazi wengine ni yatima wengine maisha magumu wazazi hawahusiki
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Itafaamika yangekukuta husingesema ivyo wangekupora na kukugonga aikili ingekukaa sawa
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Kuna mtoto wa wazili amekosa kazi labda awe hataki yeye
@ramhatemba9162
@ramhatemba9162 2 года назад
Maneno na vitendo tunahitaji vitendo itakuwa dawa, mungu ukiifadhi waziri wangu
@mohamedjeizan5929
@mohamedjeizan5929 2 года назад
Hao wazazi washweke ndani pia
@aishamadizeli4072
@aishamadizeli4072 2 года назад
Mimi natamani sana kimpata huyu mama ngwajima ninajambo nataka anisaidiye wifi yangu kaozesha mwanafuzi wakidato cha tatu
@mohamedkhamisali6535
@mohamedkhamisali6535 2 года назад
Safi kamata
@barakadaniel-fl5kz
@barakadaniel-fl5kz 10 месяцев назад
Mkulugenz wa Kasulu brothers organization kalibu mjiunge
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 года назад
Sawa sawa tujiridhishe maana wengine hata hawajali kabisa
@rosenyato8729
@rosenyato8729 2 года назад
Mzazi anahusikaje? Kuna watoto hawaonyeki. Wazazi nao wanatamani watoto wabadilike. Kuna wazazi wataonewa hapa.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 года назад
Sawa sawa hivyo ndivyo inatakiwa,kwanza mtoto asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na ulimwengu,pia mzazi aliyeshindwa kulea vizuri Ustawi wa jamii utamfunza .
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 года назад
A leader should be polite when da problems occurs and calm down on how to solve not lie on a single variable let's think more than and be humble when you express in social medium
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 года назад
Some times you must be strict in case of solving problems such like that
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 года назад
@@justinefelis8772how is parent involved in such crime hapo sheria ifuate mkono wake mbona Kuna magereza ya watoto wakihukumiwa wapelekwe ili na wengine watoto wajifunze ila wakisema wazaz hakika vitendo vitaendelea wao wanajua mzazi atawajibishwa kwa hiyo hiyo Dio suluhu ya kutatua tatizo it's political kiki
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 года назад
@@nickomdete7232 most of panya road they are under 18,which means they still live with their parents,,,how comes your son turn back home in de mid night and you keep quit
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 года назад
@@justinefelis8772 I can't not Keep quit coz a good family children should be all time at home but I think that under 18 are children street ok let's da government to do what is right for them!!!
@angolina1768
@angolina1768 2 года назад
Ni kweli wazaz wa dar hawawakemei watoto
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 года назад
Kabisa, wazazi wengi wanahusika sana kwenye hilo. Wachukuliwe sheria.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 года назад
Mzazi a nahusika nn ivi Kuna mzazi anae taka mtt wk awe mwizi avute bange acheni kuongea ujinga km uyo bibi kichaa
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 2 года назад
Tukiachana na yote, mama soma vizuri sheria pia wanasheria wenu wawashauri vizuri msikurupuke mtaonea watu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 года назад
Uko sahihi ant
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 2 года назад
mama umeongea kweli kabisa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 года назад
Sio kweli kwamba ni wazazi , ngoja yakukute mama
@ابراهيمبنعمر-ق4ث
@ابراهيمبنعمر-ق4ث 2 года назад
Mtoto umlieavyo ndivyo akuavyo usitetee ujinga mtoto amekushinda alaf wakaa nae bado na anakula chakula chako si kufuga jambazi
@annakinyami2998
@annakinyami2998 2 года назад
Yani huwa natamani mageteza yangekuwa na vyuo vya veta maana kufugwa tu haitoshi ili siku wakitoka wapatikane mafundi nguo mafundi wa magar ili wakitoka wafanye kazi
@demicratia4071
@demicratia4071 2 года назад
Nadhani mzigo huu ungebebeshwa serekalikani NJAA INAUMA VIBAYA SANA WAKALE WAPIII
@eusebiusmwingira5667
@eusebiusmwingira5667 2 года назад
Maneno yako waziri mazuri sana nikuulize wewe unajua mambo yote ya mwanao? Kwa kuwa una hela maisha kwako kama mlenda unateleza tu hivi umeenda kile kwenu sijui wapi ukaona yanayokuwepo? Mama endelea kunywa maziwa ipo siku utakunywa myakaya kama unaujua kea HERIIIIIIIII
@josephkapinga652
@josephkapinga652 2 года назад
Ila wahojiwe wazazi ila wasifungwe bila kujihakikishia. Aache Hasira waziri wetu
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Acha ujinga
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 года назад
Wafungwe kabisa wazazi wanachangia sana kazi yao kupokea pesa tu za watoto wao wanajua uzuri km ni wezi
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Saa ingine serikali mna vunja nyumba za watu mnasema wamevamia familia Zina sambalatika mzigo anabakiwa nao mama au bibi
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 2 года назад
Ikiwezekana kila mtaa watoto wenye tabia zisizofaa waorozeshwe
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 2 года назад
Kbs iyo itasaidia ukitokea ualifu kuanza na wao
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Hiyo imekaa poa nakuunga mkono
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
100% hiyo itasaidia
@evamwimike7355
@evamwimike7355 2 года назад
Nakuunga mkono nitamtaja na ex wangu .
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 2 года назад
Watajwe kwa uhalisia na sio.kwa hila hata kama ni mtoto.mwema
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 2 года назад
Wewe mama unaongea unavyoona hao watoto wengine wazazi wamesema mpaka basi wengine wamehama wanaishi maisha yao
@loganpoul
@loganpoul 2 года назад
Kama hao Mombasa hua hawashikwi,risasi unazika Tu,mtoto akishashika panga na kudhuru MTU hio sasa Mombasa tunaita watoto wa serikali
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Hata hiyo risasi naona wanaonewa huruma mno walitakiwa wachomwe moto
@nizarurassa6480
@nizarurassa6480 2 года назад
Mombasa hiyohiyo ambao wanapoera mchana kweupe ama ingine?si Bora huku wanasubiri hata kigiza kaingie?kwanza km we uko Mombasa Tanzania panakuhusu nini😂😂😂
@loganpoul
@loganpoul 2 года назад
@@nizarurassa6480 na ndio mana wanauliwa,hakuna kubembelezana
@nizarurassa6480
@nizarurassa6480 2 года назад
Tz ichukulie poapoa tu!!!kwahiyo Hawa wameenda kupapaswa?tunakausha maana tunajua watu wa haki za binaadamu ni ezm,,,,,,,,
@salehewaziri8231
@salehewaziri8231 2 года назад
Hakuna Sheria yakumfungaMzazi
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Dunia ina mchanganyiko wa hivyo vyote nikujipanga namna ya kuzuia tumeona Kuna epa lichimond bima hella ya uviko na kazarika
@omarhome2260
@omarhome2260 2 года назад
Jamani wewe mama kumbuka hakuna mzazi anaye zaa mtoto basi aje awe mwizi ama gaidi au jambazi Amjn kila mzazi anapenda snaa maisha mazuri snaa kwa watoto wao haki pengine tusema hao watoto wana pata tabia chafu kwa watoto wenzao lkn km ww ni mama mzazi huwezi kumukalisha mtoto wako bc una mwambia nenda ukaibe duuh
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 2 года назад
Mimi ningeishauri serekali.Rudini kwenye maktaba kuna namna mkoloni muingereza alikuwa akidhibiti mambo hayaaaa.Follow that system.Wote watakaa kwa adabu hao watoto.
@maryjonh311
@maryjonh311 2 года назад
Na walipe garama watu wamepata hasara kubwa
@maryjonh311
@maryjonh311 2 года назад
Mtu.kaumia.mikono yote week yupo home anakula nini sasa wazazi walipe
@josephatanazi586
@josephatanazi586 2 года назад
Jamani jamani hapa mchawi ni selikali maisha yamekua magumu sana usikute wazazi wenyewe ndo wanawatuma hawa watoto kutafuta Hera kwa njia yoyote ili familia ipate kula
@alisuleiman9627
@alisuleiman9627 2 года назад
Tatizo sio serikali tatizo nilao wenyewe hata ukinunua ndizi mbivu ukatembeza unauza wao wanataka pesa kwa kutumia nguvu za watu
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 2 года назад
Mh.tuonee huruma wazaz hawa watoto wa kiume ulezi wake mgumu sana tena hawa wa siku hiz wabishi kwelikweli.wafungwe tu wenyewe huko
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Mbna wewe hujawa mwizi au na wewe ni mwizi maana maisha ndio magumu
@afrahoman2844
@afrahoman2844 2 года назад
Wizi nitabia yam2 alingumu kwakila m2 mbona wa2 wanachomeka najuwa kutwa uko kaliakoo tabia zao2
@hassanhassan7763
@hassanhassan7763 2 года назад
Maisha yakiwa magumu ndio ukaibe ? Cdhan hata dini zetu kama zinaagiza hvyo huo ni wizi haupaswi kutetewa hata kidogo
@halimaally8668
@halimaally8668 2 года назад
Ajira hakuna maisha magumu kila kitu mmepandisha bei mnategemea nn kwanza hawa panya road wanakosea Sana kuwakaba raia wa kawaida wangekua wanakaba viongozi kumbaf
@omarykitololi447
@omarykitololi447 2 года назад
We wazil mpumbavu sanaa kuna mzazi anaweza kutuma mtoto wake hawe mwiz kuna mzazi anataman mtoto wake awe panya ròd naona kama vile umekulupuka tuu acha uonevu wa kipumbavu
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 года назад
Tuweni uwamisho wazazi waunganike kwa umoja kutunza watoto sio baba kigoma mama singida ovyo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Mimi naunga mkono hoja kwasababu kuna walezi hawapo makini kabisa labda itasaidia wazazi na walezi kuwajibika mfano mm nipo nje ya tz walezi wa mtt wangu hawapo makini mtt miaka 10 hadi saa 5 usiku hajarudi home mlezi anaona poa tuu hapo mtt anaweza fanya lolote baya
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk 2 года назад
umshtaki mzazi kw sheria ipi kwani yy ndo panya road . hebu kwanza waende pale chini ya daraja la kijazi kuna panya buku road mukawaondoe na msambaratishe kabisa kabla hajakuwa na kuingia mtaani kisha tutakuja shitaki wazazi
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 2 года назад
Mama yko vzr ila kuelezea zero
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Watoto wanaleta TV na smartphone na pesa mzazi hashtuki? Washtakiwe kwa kulea majambazi
@abrahmanabdallah8479
@abrahmanabdallah8479 2 года назад
Kwanza kabla wizara haija sikitika kuna sheria yoyote ya mzanzi wa kiume kukataa mimba... maana hilo kundi asilimia kubwa wamama wamelea pekeayao na hata watakaojibu ni wa mama..mii nahisi kwanza tuanze na mimba kwanza kwamfano mwanamke yoyete akianza clinic aje na baba mwenye mimba tena na barua ya mjumbe... kama kweli wanaishi pamoja ili akidanganya mjumbe na yeye ahusike... mana wamama wengi wanalea pekeyao mtoto wa mezi 3 naachwa pekeake na watoto wenziwe tunategemea nini kama sio panya road. Hiyo sheria mulipo tunga na kuirekebisha mume fanya tasmini asilimia ngapi ya watoto wanapata malezi ya baba na mama je huko ustawi wa jamii kunakesi ngapi? Ushauritu kabla ya kutibu lazima ujue Maradhi ya mgonjwa na tena ujue yamemuanza lini...wababa kutelekeza mimba na watoto ndo chanjo ya hayo yote..
@frankamos8388
@frankamos8388 2 года назад
Umeongea kwer mamaangu
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Wazazi wawajibike kwa hili hakuna mjadala
@nurdinshehoza4854
@nurdinshehoza4854 2 года назад
A man can not be punished for the wrongdoers which done by another. Even though there is some exception
@petromtakati2975
@petromtakati2975 2 года назад
Ata mm siwez hakika si wamfunge yeye.... yesu afe kwa Dhambi zetu na sisi tufungwe kwa makosa ya watoto never ever.. mfano mtoto wa kike anapata mimba useme mzazi wa mtoto wa kiume afungwe miaka 30 meen nonsense minister
@dallasmusic764
@dallasmusic764 2 года назад
Kazi Yao kupokea vtu vya Bure kutoka Kwa watoto wao ..wazazi number Moja na wao kushiriki hayo matukio
@shedracksteven3183
@shedracksteven3183 2 года назад
Ugumu wa maisha na vitu bei ghari na saiz yana m bana sana mtu wachin ndomana kunakuwa na matukio sana R I P jpm
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 года назад
Uovu ni hulka ya mtu , kama uzinzi , ulevi, ugomvi nk ni vitu ambavyo mtu hujitafutia hata wewe pia huwenda unayo mapungufu yako lakini unajua hukufundishwa na wazazi ndo vile inakuwa na kwa panya road
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 2 года назад
Hakuna mzazi anayemfundisha mtoto uovu labda nae awe mwizi
@amorich_tz824
@amorich_tz824 2 года назад
Rudisheni machinga hayo mambo ya panya road hamtoyasikia mbona magu aliwaruhusu machinga na panya road walipotea mitaani coz walikuwa na biashara zao
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
Kila mtaa wazururaji na malaya wote washikwe warundikwe ndani!!
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 2 года назад
Uko sahihi waziri,nakumbuka nilivokuw mdogo,nikifanya kosa naadhibiwa hata n mpita njia, na huwa sitaki hilo kosa langu lifike nyumbani kwa sababu ntaadhibiwa tena, sasa hivi ukimuadhibu mtoto wa jirani ni kosa kubwa sana,matokeo yake ndo haya.
@tadeikapinga2905
@tadeikapinga2905 2 года назад
Siyo sawa, sote ni rahia wa tz, inabidi tushirikiane kulea watoto, mimi mzazi na wewe niliyokupa dhamana kama waziri, kama hujuhi namna gani ya kufanya nitafute nikupe mwongozo namna ya kuwafanya watoto wawe bora, mitaala muliyoitengeneza mashuleni ndiyo chanzo kikubwa cha watoto kuchukia shule na kuingia mitaani kufanya ujambazi, ebu tazama kati ya ao watoto ni yupi, anayesoma shule binafsi au aliyesoma uko, wote ni wa uswahilini tabaka mlilolitengeneza ni kubwa mno na usizani kushitaki wazazi ni dawa badala yake unaongeza chuki kubwa, baina ya wenye nazo na wasio jiweza, jifunzeni kwa kusikia si mpaka yatokee, miaka ya 90 afrika ya kusini ilifikia wananchi kugawana mitaa sababu kama hii ya ubaguzi, kazi njema chukua hatua ubarikiwe
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 2 года назад
@@tadeikapinga2905 wazo zuri sana Bro.
@griffinschire9695
@griffinschire9695 2 года назад
Mtu Ana miaka kumi na nane...... Ufanyaje sasa........ watoto wa sahii utawaonea wazazi
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 2 года назад
Tatizo sio wazazi selikali mbovu Sana dhaifu
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Uki mzurumu mtu korosho ufuta atamsomeshaje mtoto wake matokeo yake ndo haya nguzo njombe hazina soko Kuna nguzo za nzege
@eng.sosthenesmagoryusharry4117
@eng.sosthenesmagoryusharry4117 2 года назад
Kwani serikali ilishatoa utaratibu kwa wazazi jinsi ya kulea watoto wao??? Hiyo "kwa mujibu wa Sheria" ilifundishwa shule kwa mtaala wa serikali au ni maneno ya kisiasa tu!! Mimi Hadi leo, kwa mujibu wa Sheria ya serikali sijui jinsi ya kulea watoto wangu. Ninapanga mwenyewe,kwa msaada wa Imani ya kikanisa. Mbona kwa Mashoga, majambazi au wavuta unga hamjawahi kuwafuata wazazi??? Msituchanganye kabisaaa, embu acha maisha yatupige inatosha, usituongezee mambo yenu ya kisiasa hadi majumbani. Tukutane kwenye tozo, na Kodi, inatosha. Nini kifanyike sitasema, maana sikio la serikali halisikii sauti ya masikini, Wala mtoto asiyekuwa wa "Muheshimiwa wa zamani!!"
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
Kwa maelezo yako na pata point ya kwamba wazazi wa hawa watoto hawana makosa! Km hawana makosa,je kinachofanywa na watoto ni kizuri! Na je watoto wako wako na tabia hii? Km hawana tabia hii,je? Hao watoto wako walijilea wenyewe toka wanazaliwa? La hasha! Uliwalea ktk misingi bora na kuwa na tabia njema! Sasa je! Ni vipi ukiwashauri wazazi wengine kuwalea watoto wao ktk misingi hiyo? Naamini utakuwa umewasaidia pia,sio mpaka kila kitu ukisome kwenye katiba, sijui kifungu gani! Hapana. Binadamu tumepewa utashi,tutambue mema na mabaya! ACHA WAZAZI NA WAO WAPATE HAKI YAO
@eng.sosthenesmagoryusharry4117
@eng.sosthenesmagoryusharry4117 2 года назад
@@rehemamkalawa3801 Umewahi jiuriza kwanini serikali ilitengeneza magereza ya watoto??? Unadhani ilimaanisha ni kwa watoto wasio na wazazi??? Namaanisha hivi, hiyo waziri wenu anaposema atawashitaki kwa mujibu wa Sheria, anamaanisha Sheria ipi??? Ambayo aliwafundisha lini?? Kwamba hao wazazi walikutwa eneo la tukio?? Hakuna mzazi anayetamani siku moja mtoto wake awe jambazi!!! Ikitokea hivyo, utakuta mzazi huyo maumivu aliyonayo juu ya mwanaye Ni makubwa mnoo kuliko hizo kerere za waziri. Kama hawajafikisha miaka 18, magereza yao ipo, Kama wamefikisha miaka 18 magereza yao ipo pia. Waacheni wazee wamalizie siku zao kwa amani. Harafu dada Rehema, hebu fanya tuwasiliane, tupeane changamoto zaidi!!
@Rushbey99
@Rushbey99 2 года назад
Acha unafiki mzazi ndo kamuagiza au kwakuwa mwanao hayumo kwenye kosa hilo unaujuwa kama mzazi hukupaswa kuizungumza hiyo kauli
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 2 года назад
Mm nimzazi ila sikupenda nizae vibaka kwani hata mm nachukia mtu mwizi kama mmemshika mwanangu na ushahidi mpeni tu adhabu kali mm sita ingilia ila kama kunamzazi ataingilia kwenye adhabu hizo basi mkamateni na yeye huyo atakuwa kamtuma mwanae Hakuna mzazi anae beba mimba nakujua atazaa jambazi kungekuwa nakipimo basi watu wangezitoa hizo mimba
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 года назад
Haya Sasa Mama yetu kajikita kwenye Royal Tour. Filam😂🤣
@samudakuz6897
@samudakuz6897 2 года назад
Pia kunawatoto wengine nao wameshindikana jmn
@ireneassey9943
@ireneassey9943 2 года назад
Apo ni sawa mimi duka langu lilisha vunjw nikamkamata kijana mama yake akaja juu kweli na wazaz I wengine wanawatuma watoto na wengine wanaletew vitu na watoto wao awawauliz wanapokea tu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 года назад
mitoto jamani imeshindikana serikali mnasema tusiwapige mdomo mtupu hawaogopi kubwa huko mliko wakamata na kuwaweka wapigeni vizuri mtubakishie macho na miguu msivunje wapate kuonanjia yakurudia kwao na miguu watembelee lkn mwape adabu nzuri kabisa
@thubututv.5094
@thubututv.5094 2 года назад
Hapa kwenye wazazi ndo pazuri tena huwa wanakataa kabisaaa wanachekelea TU.
@camillahamis1069
@camillahamis1069 2 года назад
Huyu nae anaongea nn hvi mtoto wa kiume unadhan utaweza kumchunga uwiii anatoka huko katika makundi anavutshwa bangi baba mama akiongea anapgwa panga hvyo mama anaogopa .....wazaz wetu wanatupenda sana Ila kumlea mtoto wa kiume n kazi kubwa saaana makundi makundi ndio huaribu sio wazaz
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 2 года назад
Ni kwlei kabisa sisi tuna jirani yetu mtoto wake marehemu Sasa hivi alikua kibaka akaja kua jambazi mzazi wake ndio anamtuma na analetewa vitu na anavipokea na watu walienda kushatki kwa mzazi mzazi anamtetea mtoto Watu wakamwambia siku moja mzeee tutakuletea maiti hapa siku moja na Kweli miezi 2 mbele kapelekewa maiti Ali ingia darinikuiba Duka la mbao si mbali na kwao HIVYO ASILIMIA KUBWA WAZAZI WANAHUSIKA huwezi mtoto hana kazi aeleweki halali nyumbani na bado anakuletea vitu unapokea au la hasha humfatiliii Yani mlezi ndio kitu No.1 kuanza kujua nyayo za mwanao
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 2 года назад
#san wazazi ndio wanafuga watoto
@ramadhanihome1799
@ramadhanihome1799 2 года назад
Na kama baba ndo panya road mtamkamata mtoto?
@rehemaa597
@rehemaa597 2 года назад
Wanahucka saana wazazi japo sio wote mm ishanikuta walinifanyia fujo lakini wazazi wanawakinga vifua watoto wao tena nakunichukia juu
@issaausi3635
@issaausi3635 2 года назад
Sawasawa wazili wazazi ndio wausika wakuu
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 2 года назад
Hilo dera quiooo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Mhe. Waziri yaani wabanwe wazazi hao wanajua hao.
@kadeejadxbdxb5043
@kadeejadxbdxb5043 2 года назад
Hivi wewe kiongozi hujazaa au watoto wasiku hizi ukiongokewa wako mshkuru Mungu kizazi cha sasa hakina malezi jmn msiwalaumu wazazi watoto wa sasa ni wachache wanaoskiliza wazazi wao sidhani km kunamzazi anaependa mwanae aharibike
@amanidicksoni3945
@amanidicksoni3945 2 года назад
Aise hata wazazi nao ni changamoto sana una mpatia taarifa ya mwanae avokujibu unajua kabisa hapa kuna utemi mtoto anaiba akpelekwa polisi mzazi anaenda kumtoa
@zuberyjumbe1816
@zuberyjumbe1816 2 года назад
Toa taarifa police atanyooka tu acheni kuwatetea, scorpion aliemtoboa Macho bwana said si alifungwa? Tokea ametoka jela ushamsikia seham yyote, mtoto mtukutu usimwone huruma peleka police atanyooka tu.
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 года назад
Kosa afanye mtoto mzazi àshtakiwe!! sijawahi kumuelewa huyu waziri.Ngoja nikamuulize askofu gwajima kama shemeji yake yuko sahihi.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Awa watt nikufunga tu gerezan miaka 5 mpaka 7 kbs wakitoka wamekuwa naakili pia zimekuwa namuwape adhabu zakutosha uko gerezan atawakirud huku uraiyani awatamani tena kufanya upuz wao. Ila mkiwapatia dhaman michezo ndoitakua hihi awatoacha upuz wao kbs
@aswileandrea86
@aswileandrea86 2 года назад
Bi mkubwa kaz imemshnda sasa wazaz wanaingiaje maisha magumu ndo maana watu wanakua iv akuna mzaz anaetuma mtoto
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 2 года назад
RAKINI TANYINYI SEREKARI MUNATUCHANGANYA MAHANA UKIPIGA MUTOTO KUNAWATU WANAITWA DAWATI RAJINJIA WANAKUKAMATA NATUKIWAHACHA NDOIVI WANAHARIBIKIA JE TUWAREEJE APO MUTUPE MUONGOZO
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 2 года назад
mama nimekuelewa uko sahii kabisa wazaz hawafatilii watoto mama kunywa pepsi
@zuwenazuena5639
@zuwenazuena5639 2 года назад
wanyogwe hao wanasababisha matatizo kwadugu zetu wasokua na hatia nyogerea mbali
@kiloposimba2012
@kiloposimba2012 2 года назад
Mbona baba hatajwi awakuzaliwa na mama tu wana baba zao kuwa makini na suluhisho lako sheria msumeno
@demicratia4071
@demicratia4071 2 года назад
Pia watoto wa sikuhizi hawaaambiliki korofi sana hatawazazi wanawaogopa kesi ya wende na ya yule mtozo arusha si ni watoto haohao kama panyaroad
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 года назад
Kila mtu atabeba Mzg wake mwenyewe Haiwezekani kosa la. Mtt abebeshwe mama
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Kama baba na mama ni mzee Sana mnafanyaje? Mna mchukuwa jilani akafungwe au hata .bana mdogo au mkubwa
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
🙄🙄🙄😭😭😭 RIP mzee baba 🙏 mbona nyie mnakula kutokana na ulefu wa kamba zenu nawao wamejiongeza baada ya TOZO wameamuwa kula kutokana na ulefu wa MAPANGA YAO 🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@zuberyjumbe1816
@zuberyjumbe1816 2 года назад
Unaongea sababu alijatokea kwenye Familia ako ukizingatia wale wote ni watoto wadogo Sana hata majukumu awajawanayo, unapo Sema Ivyo unakosea wakati ndugu zetu wanateseka mahospitalini.
@kusagakusaga729
@kusagakusaga729 2 года назад
W
@abrahamregnald1555
@abrahamregnald1555 2 года назад
kama unafikiri uongo mkamateni panyarodi mmoja kisha mkamsulubishe nyumbani kwao mbele ya wazazi wake then muone kama hamtashikiwa mapanga na wazazi wao.
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Ukiwa waziri wa afya watu walilalamika dawa Zina ibiwa wewe
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 2 года назад
Huyo mama anayo yaongea anadikiria kweli kabra ya kuongea jamani.hivi Kuna mzazi ambae anaweza kumruma mtoto akaibe jamnani?
@peterjohn1969
@peterjohn1969 2 года назад
Kuwakamata sio tatizo tatizo je selikali inakubali kupokea uwo ujumbe kwaajili ya taifa hiri
@hidayajonson8140
@hidayajonson8140 2 года назад
HAO WALITAKIWA WAPIGWE RISASI TU no way out..
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 437
WAZIRI WA AFYA  AWASHA MOTO OCEAN ROAD
6:46
Просмотров 47 тыс.