Тёмный

WAZIRI BASHE AOKOA FEDHA WALIZO DHURUMIWA WAKULIMA/ ATOA ONYO KALI KWA WANAO DHURUMU MAZAO 

Kilimo TV
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 Год назад
Namuona magufuli wa baadae.mungu akupe maisha marefu zaidi.
@noelkondwanimtonza1561
@noelkondwanimtonza1561 5 месяцев назад
kabisa😊
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Год назад
Bashe bashe bashe ukijitahid katka ibada peponi moja kwa moja INSHA ALLAH,
@emmanuelmwamanga
@emmanuelmwamanga Год назад
Huyu ndiye Mtumishi wa watu, huyu ndiye Waziri wa Kilimo kweli, Mungu amsaidie. Ndiyo Vijana tunawataka washike madaraka katika nafasi nyeti kama hizi. Waziri nakupongeza sana Kwa msimamo wa kuwasaidia wakilima namna hii.Mchungaji Emmanuel Lunda.
@salamaisayas8281
@salamaisayas8281 Год назад
Mungu ni mwema daima aliependa ikawa wazuri wetu WA kilimo ! Kwani wakulima tumeonewa tangu vizazi na vizazi sasa Bwana azidi kukulinda utuletee ktk Nyanja hii waziri Badge nakupenda ktk kauli zako na utendaji wako. UBARIKIWE
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 Год назад
Nimepata Waziri wakumsikiliza kwani anauburudisha moyo wangu.Mungu akulinde akubarikie afya na umri mrefu.akuzidishie hekima katika kuitenda iliyo haki🛐 That's my prayer 🤲
@johnmushi8777
@johnmushi8777 Год назад
Umeuburudisha moyo kaza but.kk yng huko aliko apumzike kwa aman. Hakukosea kukupa nafas hiyo
@omarymwwinyimvua5724
@omarymwwinyimvua5724 Год назад
bashe bonge la waziri
@omarymwwinyimvua5724
@omarymwwinyimvua5724 Год назад
kiongozi wakweli ni yùle mwenye maamuzi kama bashe namkubaei sanaa kwa kutetea wanyonge
@murtallamohammed381
@murtallamohammed381 2 года назад
Hongera mh.bashe Allah akujaalie afya uwasaidie wanaodhulumiwa
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 2 года назад
Bashe umetufuraisha sana Allah akupe umri mrefu na akujaze busara zaidi ,ujasiri,uchungu kwa Wananchi,ninaona uchungu wa Mzee Magu kwa masikini ndani Yako
@saimonj.sumley4667
@saimonj.sumley4667 Год назад
Labda Mushi kajinyonga
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 года назад
Mungu akuongezee umri mref kaka bash nakuelewa sana big💪 brother
@bahatimwikola2093
@bahatimwikola2093 Год назад
Mungu akubariki waziri Bashe, akupe Maisha marefu,ili iendelee kuchapa kazi nakuwatetea wananchi.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Yaani Bashe aseee Barikiwa mno mno mno...Mungu asimame na wewe..
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 года назад
Bashe Rais ajaye, Mungu mjalie maisha marefu. Huyu ni dhahabu ya Tanzania. Mungu mjalie Bashe, Mungu mjalie Bashe. Nimelia Sana. Magufuli ulifanya vizuri kumteua Bashe.
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 Год назад
Alimteua kama naibu waziri mengi alishindwa kufanya sababu hakuwa na full power ,awamu hii kapewa uwaziri kamili nadhani sasa umeona uwezo wake
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@tazrywiser5126 Niliishauona uwezo wake toka ubunge. Sijaanza kuuona leo. Na aliyemwingiza kwenye kiti cha Naibu pia nampongeza Sana sana. Awali ni awali.
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 Год назад
Aliyempa unaibu mpongeze na aliyempa uwaziri full pia mpongeze,maana pia angeacha kumteua tusingeyaona leo anayofanya vizuri, ila kama una mengine basi unaweza kusimama na wa mwanzo aliyempa unaibu ili tusije kutoana macho kwa ubishani usio na faida
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@tazrywiser5126 Naomba uzingatie,,, nimesema Mimi nilitambua utendaji wake mzuri toka akiwa mbunge. Naongezea hata yule aliyempa unaibu nilitambua utendaji wake mahiri toka akiwa kwenye uwaziri tofauti tofauti hakuwahi kushindwa. Mengineyo sina na siwezi kuthubutu kumtoa mtu kwenye hoja zake au kwa kile akiaminicho au kumdharau kwa akiaminicho.
@nuhubashiramubashira7233
@nuhubashiramubashira7233 3 месяца назад
Maashalaah maashalaah mwenyeezi mungu akuzidishie umli mlefu
@55goodmen
@55goodmen 6 месяцев назад
SAFI KABISA MH HUSSEIN BASHE i love you safi sana nimekufatilia sana kwa miaka sasa toka enzi za Hayati Magufuli...unaweza sana kazi i am really respecting and fond of you for serving the country. We need leaaders like you my Brother. Nahisii in future Mungu akubariki hata kazi ya Uraisi Unaiweza kabisa. Mwenyezi akulinde sana.
@noelkondwanimtonza1561
@noelkondwanimtonza1561 5 месяцев назад
The youth who are genuine and stand for business. Started following Hussein since a few as he entered Bungeni. He impresses alot
@matatamwaipopo9285
@matatamwaipopo9285 Год назад
Bashe hupo vizuri Sana .mwenyezi mungu hakulinde
@christopherkiiza3414
@christopherkiiza3414 Год назад
Mheshimiwa Bashe, 2030 chukua form; you deserve the Presidency
@jonasmasimo3498
@jonasmasimo3498 Год назад
Mheshimiwa waziri Bashe Mungu akubariki kwa kazi nzuri kuwasaidia wakulima
@davidkimario8197
@davidkimario8197 2 года назад
Good Sana mheshimiwa unafany kazi ya kizalendo👏👏
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Год назад
Kila la kheri kazi njema barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom
@moseskayinga100
@moseskayinga100 Год назад
Hawa ndiyo watu tunaowataka ktk nchi hii.mama Samia sikia.Huyu waziri ni chombo kinachofaa sana.Safi sana.Naomba usimuondoe huyu waziri kwenye wizara hii.
@odethaanacret4432
@odethaanacret4432 2 года назад
WAZIRI wewe ni mpambanaji Mungu akubaliki
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 года назад
Looio Bashe Mwanangu ningekuwa karibu hakika ningekubeba mgongoni kwangu. Hadi mchozi umenitoka. 😭😭
@fihiriachi8167
@fihiriachi8167 9 месяцев назад
God bless you hon.minister continue to be firm
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Wanunuzi wa Mazao wanadhulumu saana mwisho wa siku wanatoa rushwa tu mambo yanaisha, jambo hili life Mhe Bashe, Hongera kwa Kazi
@potiyowatz836
@potiyowatz836 Год назад
Uposahihi sana muheshimiwa.
@rashiedomary4818
@rashiedomary4818 2 года назад
Allah mjaalie mja wako waziri Bashe asiingizwe mfukoni mwa wezi Hawa wa wakulima
@cassimoa9217
@cassimoa9217 2 года назад
Lakusema mdogo wangu Bashe sina, ila nakuombea sn dua, Allah akulinde na uadui, akupe afya njema, umri mrefu na huu ujasiri wa kuendelea kutenda haki
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 года назад
Nampenda bash gombea urais baba tutakupa
@bwendabainga1231
@bwendabainga1231 2 года назад
Hongera sana waziri wa Kilimo kwa kazi nzuri ya kutetea wakulima
@selemsigala4771
@selemsigala4771 2 года назад
Hakika Magufuli aliona mbali kukuamini Mungu aendelee kukupigania Comrade Bashe
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 года назад
Hakuna atakayeondoka inje ya inchi Kati Yao. Full stop 🛑. Kaka Mbashe nimeipenda sentence hiyo ya mwisho. Unafanya kazi ambao unaielewa, God bless you richly 🤝👊🙏🙏
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp Год назад
Mashallah tabarakahllah hongera you're THE right person who has the way AL HAQ HUAL HAQ BRAVO KHUI I SALUTE YOU
@salamaisayas8281
@salamaisayas8281 Год назад
Aksante MH waziri WA kilimo Kaka angu Bashe kututetea wavuja jasho Kwa uhakika tena kuwahoji ni Haki kbsaaa ! ! Mungu awe nawe ktk kitengo hiki
@josephnjella4919
@josephnjella4919 Год назад
Asante Bashe na serikali iisiyo na huruma kudaiwa madeni waziri mhusika kwawatumishi wanao dai nauli areas had I wamestaafu wanafanya mini.
@kassawakassa5350
@kassawakassa5350 Год назад
Well done Bashe Huu ndiyo uongozi ulichofanya kwa kusimamia hili . Uko vizuri saana hebu waige mwenendo wako watu wataona amani ili kuondokana na dhuluma hii za akina .........!
@HafidhAli-lt5xt
@HafidhAli-lt5xt 7 месяцев назад
Namkubali huyu mwamba, Mungu amlinde na ampe maisha marefu.
@joelilukumay9137
@joelilukumay9137 Год назад
Hongera sana Mh waziri wa kilimo kwa kutetea wakulima. Mh Raisi Samia hajafanya makosa. Wanaumizwa kwa kutojua Sheria, au wanajua lkn hawana uwezo wakufuatilia. Barikiwa sana Mh Bashe.
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Год назад
Mungu akubariki mweshimiwa 🙏🔥
@moseskayinga100
@moseskayinga100 Год назад
Huyu waziri amenifuraisha sana.Asante mama Samia kwakumpa uwaziri huyu mtu.
@jayzeem14
@jayzeem14 2 года назад
Well done Mhe Bashe. Kwa kweli umewatendea haki kubwa wakulima. Mungu atanilipia thawabu yako!
@jayzeem14
@jayzeem14 2 года назад
Atakulipia
@yussufmohamed5120
@yussufmohamed5120 5 месяцев назад
Nakup3nda ❤❤❤❤❤❤bashee. Love you ❤❤❤❤
@georgekiruwa
@georgekiruwa 2 года назад
HONGERA sana Mh. Bashe ! MUNGU akubariki Daima
@kibwanasimba6431
@kibwanasimba6431 5 месяцев назад
Yani muishimiwa Bashe usiyaone madogo maamzi yako pale unapo yaamua huku wananchi tuna furahi adi machozi kwakweli mungu akuhifadhi nakila shari mwenyezimungu akupe umri mrefu wenye mafanikio natamani ungepewa wizara ya Kazi huku ndio upuuzi wadhullma umekithiri hasa sektar binafsi
@sunyareh
@sunyareh 4 месяца назад
Nani kusema Magufuli Kada, Tunae nwanae Bashe anafuata nyao zake ...asante Waziri Bashe..
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Hongera mh bashe Allah akupe afya njema na umri mrefu ili uzidi kuwatendea haki watu
@lucasharison2441
@lucasharison2441 Год назад
Ongera waziri kazi nzuri
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 Год назад
Congrats kwa elimu yako muheshimiwa, mungu akubariki bashe
@elizabethkalando849
@elizabethkalando849 Год назад
Mungu akulinde baba
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 Год назад
Waziri kijana mwenyezi MUNGU akupe afya njema 🙏
@saimonj.sumley4667
@saimonj.sumley4667 Год назад
Hatunaga viongozi sample hii Mungu akutangulie Dr Bashe
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Год назад
Safi Sana hawa watu wanafanya mchezo na wakurima.
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 Год назад
Upo vzr sana wazir wa kilimo mheshimiwa Bashe
@leonardnicolaus2758
@leonardnicolaus2758 2 года назад
Bashe Hela zetu umezitafuna au maana zimeliwa kimya kimya na upo kimya Ila kweli mungu atupe uvumilivu tu😭😭😭😭😭 tangu mwaka Jana mpaka leo hawajalipwa 😭😭😭😭😭 mungu atatenda
@tinertv1382
@tinertv1382 Год назад
Njoo Njome muheshimiwa tunaburuzwa sana
@josephkalegea5187
@josephkalegea5187 Год назад
Hongera baba Bashe wewe ndie kiongozi shupavu ndie tunaye kuheshim mungu akusimamia
@chezariboy
@chezariboy Год назад
Mungu wa Mbinguni akubariki Bashe.
@abdulazizhabib4581
@abdulazizhabib4581 Год назад
Kazi nzuri bashe wakulima wanaonewa sana,
@maulidabdulkadirguled1257
@maulidabdulkadirguled1257 4 месяца назад
Duwa ninyingi sana mungu atakulipa ishallah
@dahalibrahim9623
@dahalibrahim9623 Год назад
Mwenyezimungu akupe nguvu uwezo ndugu Bashe
@bakundaseth2753
@bakundaseth2753 2 года назад
Hongera mheshimiwa Bashe kwa kutetea wanyonge,tunaofanya biashara hiyo ya mazao wanatutapeli Sana,hasa hapa dar,lakini pia Hawa wanaotununulia hizi biashara hata kwenye bei wanatuumiza sana,mfano choroko imeanza na tsh 1650 lakini mpaka mda Huu inauzwa tsh 1150 utashangaa kutoka 1650 mpaka 1150 ni kitu kimetokea mpaka ikashuka kwa kiasi hicho kinatufanya Sisi wafanya biashara wadogo tunaumia na kukata mitaji,hivyo tunaomba nalo hilo ulishunghurikie
@selemanmoses1310
@selemanmoses1310 Год назад
Daah hicho kikao kimenifanya nitoe machozi... Hakika ni wengi wanadhurimiwa ndugu zangu ni siri tuu...
@karenstephen8738
@karenstephen8738 Год назад
I have wrote again and again that this gentleman Hussein Bashe is my president period,
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 4 месяца назад
EE BWANA EE SASA MAWAZIRI TUNAO !!VIZURI SANA
@allyjumakukulo3234
@allyjumakukulo3234 Год назад
Brother nimetokwa na machozi utafikiri Mimi ndo nadai Allah akuongoze Na mwomba mungu ikimpendeza uwe rais wa nchi siku zijazo
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Год назад
God bless you Mh. Bashe
@humphreymlagalila1886
@humphreymlagalila1886 Год назад
God bless you for caring farmers,
@magrethnyolobi6522
@magrethnyolobi6522 Год назад
Mungu akuzidishe katika uhaiwaziri wa kilimo tunakuombea unafaa kuwa rais
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Год назад
Hussein mungu akulinde brother kwa unayoyafanya hata wakikuondoa wizara hii maana tunasikia kuna campaignbkubwa wakutoe wizara hii lkn tutakuombea
@lianaelgomezulu2259
@lianaelgomezulu2259 Год назад
Bashe ana ufahamu mkubwa sn lkn exposure yake kwenye biashara na kilimo inampa uwezo mkubwa sn wa kutusaidia kuvuka kwenye sekta ya kilimo
@hassanikapela4011
@hassanikapela4011 2 года назад
Mh bashe mungu akulinde
@musamwafongo3430
@musamwafongo3430 Год назад
Ahsante Bashe / wakulima tunakushukuru.
@زيتون-ض9خ
@زيتون-ض9خ Год назад
Allah akubariki
@sulleyally5040
@sulleyally5040 Год назад
Bashe umenitoa machozi wallah tungepata mawaziri km ww wengine
@saidiyahya2432
@saidiyahya2432 Год назад
bashee you are the best
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Год назад
Good 👌 bashe💪
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Bashe your next president
@makoyekatosho311
@makoyekatosho311 Год назад
Mh. Kazi yako nzuri, Lakini sisi wakulima wa Tumbaku Mole Wilaya ya Sikonge, Pamoja na Mh Rais kuagiza tulipwe, hatujalipwa fedha za Tumbaku msimui 2020/21! Sijuwi kama wadaiwa wamo humo ukumbini!
@sultansaid992
@sultansaid992 2 года назад
Naam kaka Allah akulinde akujaze hekima
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Год назад
Mungu awe nawewe mhe bashe akupe ulinzi
@shabanissa8121
@shabanissa8121 2 года назад
May Allah bless you
@thomastemu3332
@thomastemu3332 2 года назад
Yes waziri bashe.ahsante..huyo muhindi alipe pesa ya wakulima.
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Год назад
Ubarikiwe sana mweshimiwa magufuli wa badaye 🙏🤣🙏
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Год назад
Viva Bashe Viva Samia Suluhu Hassani
@IddySeleman-w3w
@IddySeleman-w3w Месяц назад
Kwa sasa naona endapo kama kilakiongz atasimama kama bashe basi Tanzania itakua ni nchi ya amani
@KituMelaupeshuti
@KituMelaupeshuti 10 месяцев назад
Salunti Kawa mh bashe
@jumachilumba6258
@jumachilumba6258 Год назад
Bashe mungu mwema wewe mungu akipenda utakuja kuwa raisi wetu
@jojujjokyussa4699
@jojujjokyussa4699 13 дней назад
Bashe,waziri tunae
@richardburengengwa6998
@richardburengengwa6998 Год назад
Intelligent minister
@titusmwele6885
@titusmwele6885 Год назад
Wazir wa maana ktk awam hii, respect
@petercapasta802
@petercapasta802 Год назад
Kiongozi mzuri sana
@henrytany8422
@henrytany8422 Год назад
Waziri uko vzr Sana...kwanini wasiwe wanauza papo kwa papo? Hata nyingi serikali mnachangia .mkulima anaivisha mazao yake mnaanza kuwapangia namna ya kuuza...eti stakabadhi gharani ..mwacheni mkulima size kesho hand ili akahudumie family.au mna hisa na bank nini. .........
@ibrahimmwasene
@ibrahimmwasene Год назад
Mungu asante kutupatia huyu baba
@MlimalikwesoTunduru
@MlimalikwesoTunduru Год назад
Kweli kiongozi awe mwenye kujali na kutetea masilahi ya wananchi:""si unyonyaji na ubeberu wa viongozi kunyonya jasho letu mkulima ni uti wa mgongo wa taifa
@francisgituti2494
@francisgituti2494 Год назад
Well-done bashe Good decision you make
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Год назад
Nakubal sana bashe
@salamaisayas8281
@salamaisayas8281 Год назад
MH Bashe
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Год назад
Mwendo wa magufuli unafaa sana asante bashe
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Год назад
Mheshimiwa lazima sasa tutumie mabenki hasa letter of credit. Pole kwa juhudi za kusaidia wakulima nchi hii. Njoo na mpango wa kufuta jembe la mkono Tanzania.
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Год назад
Kama wakulima walikabidhi mazao yao kwa majina yao na address zao iweje umlipe mtu mwingine ambaye siye aliyekabidhi mazao kwako?
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Год назад
Unapokuwa mtu wa rangi nyeusi alafu umesomea Sheria na unatetea unyonyaji wa mtu mweupe kwa mtu mweusi hakuna tofauti na walinzi au askari waliokuwa wakiwa wakilinda misafara ya watumwa. Ila yote hii ni kukosa mipango thabiti juu ya hatma ya mkulima wa Tz.
@williammajani2152
@williammajani2152 Год назад
Kesi ya kwanza Bashe chukua pongezi Zangu kwa asilimia miamoja. Kesi ya pili Ukiwahusisha wazazi wa Mushi it is Injustice, Yes Injustice. Wanakosa gani? Pengine hâta Huyo Mushi hajawai kuwapa hâta kilo ya nyama wanaangaika wenyewe. Atafutwe Mushi na awajibike.
@williammaziku
@williammaziku Год назад
Uhakika wa jina.
@williammaziku
@williammaziku Год назад
Wapi kaka
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 2 года назад
Very good
Далее
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 545 тыс.
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 545 тыс.