Тёмный

WAZIRI BASHUNGWA KUKABIDHIWA KUKU NA MZEE KIMBWEMBWE, AFUNGUKA HAYA... 

Wizara ya Ujenzi
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 649
50% 1

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi - Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na Mzee Kimbwembwe kutoka Kijiji cha Somanga ikiwa saa chache kabla ya Bashungwa kuwasilisha bajeti yake bungeni kwa mwaka 2024/25.
Hata hivyo, Mzee huyo amesema kuna zawadi kubwa waliyomuandalia Rais wa awamu ya sita Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kutuma fedha nyingi za kurudisha miundombinu ilipoharibika lakini akasema hawezi kuitaja kwa sasa kwani hadi wakubaliane na wananchi wenzake.
Julai 30, 2020 Mzee Kimbwembwe alimkabidhi zawadi ya jogoo Rais wa awamu ya tano Hayato Dkt John Pombe Magufuli alipopita katika eneo hilo ambapo alimshukuru kwa kuwapelekea kituo cha afya.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@VitalessGalus
@VitalessGalus 3 месяца назад
❤❤❤
@VitalessGalus
@VitalessGalus 3 месяца назад
Mh....njoo mpwapwa nasisi tumemic kukuona ila kuna mradi hupo hunasumbua sana
@AnwarySaid-lj2ve
@AnwarySaid-lj2ve 2 месяца назад
Baba nimekupnda mnno mzee wangu
@dottosamsonmashine3125
@dottosamsonmashine3125 Месяц назад
Mzeee nakufatiria sana
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
Мой телеграмм: v1ann
00:14
Просмотров 45 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 55 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45