Cjui ni uchawi ama niujinga coz mim na ngoma za maluini nikama jicho na kichwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations paul 4 ur good job mim hata jina nilingeusiwa huwa naitwa SUNGAI TU coz from msa to Kigali usb nimejaza kana mbovi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Congrats to this mzee, upcoming generations masome lessons 1 rhythm 2 dance's presentable and mature style 3 message delivered 4 composition ad not kutadika ithembe just for fun 🎉
Congratulations 🎉 kana mbovi ukite nesa vyu, uka ou ukite tuko na wewe kabxa tata, alfu hio climax umenimaliza uko poa , video 📸 nayo ni very high quality and classic one.🔥🔥🔥🔥
Hii dio wimbo inafaa ❤ sio nyimbo za hizi jinga huwa hazikomai akili na ni wanzee wanajifanya vijana na matusi wakuje wasikie ngoma tamu mbila matusi ........congratulations kana mbovi❤